SAMSO

SAMSO SAMSO is a Non-Profit Organisation dealing with Mental Health and Rehabilitation.

Say no to Va**ng.
30/12/2024

Say no to Va**ng.

It is one of the neglected aspect of mental health in our work places, there is no shame of opening up to colleagues or ...
23/01/2024

It is one of the neglected aspect of mental health in our work places, there is no shame of opening up to colleagues or mental health professionals about whats going on at work place or home.

We are available 24/7
24/12/2023

We are available 24/7

19/11/2023
Si kila anayekula chakula kichafu au jalalani amethibitika kuwa na ugonjwa wa akili. Hata hivyo tafiti zinaonyesha wapo ...
18/09/2023

Si kila anayekula chakula kichafu au jalalani amethibitika kuwa na
ugonjwa wa akili. Hata hivyo tafiti zinaonyesha wapo baadhi ya watu
wanaokabiliwa na dalili za ugonjwa wa akili wanaokosa usaidizi
wa kifamilia au kijamii na kutelekezwa hali inayoweza kusababisha
kukosa huduma za msingi k**a chakula, malazi na mavazi pamoja na huduma za afya hivyo mazingira yao huwa ya vyakula visivyofaa au jalalani.

Fuatilia ukurasa wetu kujifunza zaidi kuhusu afya ya akili.

Hiyo inaweza kuwa dalili ya matatizo ya afya ya akili na dalili kwa wagonjwa ambao wamepoteza kumbukumbu kwa sababu ya k...
18/09/2023

Hiyo inaweza kuwa dalili ya matatizo ya afya ya akili na dalili
kwa wagonjwa ambao wamepoteza kumbukumbu kwa sababu ya
kudhoofika kwa mfumo wa fahamu.

Fuatilia ukurasa wetu kujifunza zaidi kuhusu afya ya akili.

Kujitenga ni hali yenye uamuzi hasa pale tunapohitaji faragha. Inapojitokeza pasipo maamuzi yako ni ishara ya kukabiliwa...
18/09/2023

Kujitenga ni hali yenye uamuzi hasa pale tunapohitaji faragha.
Inapojitokeza pasipo maamuzi yako ni ishara ya kukabiliwa na
matatizo ya afya ya akili. Wapo watu ambao katika utekelezaji wa
kazi au shughuli zao hujikuta wakiongea wenyewe. Hii ni kawaida
kabisa hata katika kipindi cha ukuaji wa watoto wanapojifunza
kuongea. Kuongea kunakoashiria ugonjwa wa akili hujitokeza
pale mtu anapokuwa anaongea mwenyewe k**a anaongea na mtu asiyeonekana kwa wengine.

Fuatilia ukurasa wetu kujifunza zaidi kuhusu afya ya akili.

Mtu anaweza na tabia ya kuwa mchafu na asionyeshe kujali. Hata hivyo mtu kuwa na tabia iliyopitiliza ya uchafu k**a vile...
18/09/2023

Mtu anaweza na tabia ya kuwa mchafu na asionyeshe kujali.
Hata hivyo mtu kuwa na tabia iliyopitiliza ya uchafu k**a vile
kutoweka mwili katika hali ya usafi kwa mfano kutokuoga kwa muda
mrefu ni kiashiria kimojawapo cha dalili za ugonjwa wa akili.

Fuatilia ukurasa wetu kujifunza zaidi kuhusu afya ya akili.

Kicheko huja kutokana na kisababishi ama cha kuona, kusikia, kuhisi, kunusa au kufikirika. Kicheko kinachokuja pasipo sa...
18/09/2023

Kicheko huja kutokana na kisababishi ama cha kuona, kusikia, kuhisi,
kunusa au kufikirika. Kicheko kinachokuja pasipo sababu ya msingi,
kinajitokeza ghafla, mara kwa mara na yamkini mahali pasipohusika,
ni kiashiria cha dalili ya ugonjwa wa akili na huambatana na dalili
nyinginezo.

Fuatilia ukurasa wetu kujifunza zaidi kuhusu afya ya akili.

Address

Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766223321

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAMSO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram