03/09/2023
JIFUNZE KUHUSU HATUA ZA UCHUNGU MPAKA KUJIFUNGUA MTOTO.
Huu ni Mfulululizo wa Vipindi katika Darasa letu La Afya Maridhawa ya Mama na Mtoto linalorushwa kila Jumapili kupitia Dr Maroa Online Tv.
Katika Mfulululizo huu tutajifunza kuhusu Uchungu na Hatua zake, Jinsi ya Kutambua Uchungu Halisi na ule Usio Halisi, Jinsi ya Kuharikisha Uchungu na jinsi ya kupunguza Maumivu ya Uchungu wakati wa Kujifungua na pia Jinsi ya Kuepuka Kuchanika Msamba.
K**a bado haujajiunga na Darasa hili basi fanya hivyo wewe mama au dada kwa kubonyeza neno Subscribe na pia alama ya Kengele ili video hizi zikufikie moja kwa moja kwenye simu yako.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa njia ya WhatsApp 0784092636
Karibu katika Darasa hili na mada yetu ya leo ni ni mfululizo wa mada za Uchungu na Kujifungua na mada ya Hii Ya Uchungu na Kujifungua ndiyo mada ya Kwanza n...