Nyumba Ya Afya foundation

Nyumba Ya Afya  foundation Nyumba ya afya is a Non Governmental Organisation based in Mtwara dealing with under five Children with malnutrition and victims of drugs use for rehab.

https://youtu.be/T5vd0Z_WDDY
19/03/2017

https://youtu.be/T5vd0Z_WDDY

Tangu kufunguliwa kwa shule mwezi Januari mwaka huu wanafunzi saba wa shule ya sekondari Tandahimba mkoani Mtwara wamekatishwa masomo kutokana na ujauzito. #...

18/02/2017
23/11/2016

Kwa wenye roho mbaya mtapita tu bila kulike hata kushare
Naombeni maombi yenu kwa watoto hawa please
k**a ungependa tupate maombi mengi zaidi

14/10/2016

LIKE & SHARE...Pamoja na shida aliyo nayo bado anatabasamu,ana upendo kwa mwenzake,anajua ipo siku,mungu atawatoa katika janga la njaa,mshukuu mungu kwa kila ulicho nacho,tuaombee hawa wenzentu bila kupuuza,mungu waokoe wanawo!!!!

07/03/2016
11/02/2016

Pichani ni watoto ambao wamekumbwa na njaa na magonjwa yatokanayo na kutokula chakula bora na sio kwa mapenzi yao hapana. Wengi wao familia zao zimewakimbia na wengine wamekufa na wao kujikuta hawana msaada. Je wewe ni bora zaidi kuliko wao? Au wao wamemkosea Mungu kitu? Mshukuru muumba wako asubuhi hii kwa kukupa maisha na uhai ulionao huku ukiwa unaishi kwa amani na furaha ukiwa na familia na marafiki wa kila aina wenye msaada kwako. Comment neno 'NASHUKURU' k**a kweli unathamini na unakijali kila unachopewa na muumba wako.

25/12/2015

Wakati wewe unatupa chakula, wenzako wanakihitaji sana. SHARE hii na wenzako mara nyingi kadiri uwezavyo!

Hali ya lishe barani Africa bado ni mashaka...mchango wako mdogo unaweza ukoa maisha ya mtoto
25/12/2015

Hali ya lishe barani Africa bado ni mashaka...mchango wako mdogo unaweza ukoa maisha ya mtoto

25/12/2015

Uongozi wa nyumba ya afya foundation unawatakia nyote heri ya christmass na mwaka mpya ..tumuombe mungu atuwezeshe tena kwa mwaka mwingine mafanikio na afya njema...tunashukuru serekali yetu kwa hatua inazochukua juu ya wauza dawa za kulevya pamoja na uboreshaji wa huduma za afya...mungu awajaalie uzima watimize malengo ila Taifa liwe na mazingira mazuri ya kijamii...asanteni kwa ushirikiano na imani mliyokuwa nayo kwetu juu ya kazi zetu asanteni sana God bless you all

20/12/2015
Cannabis....banghi....uvutaji wa banghi umezidi kuongezeka ....banghi ni kilevi kinavutwa k**a sigara...picha ya ubongo ...
09/12/2015

Cannabis....banghi....uvutaji wa banghi umezidi kuongezeka ....banghi ni kilevi kinavutwa k**a sigara...picha ya ubongo inaonyesha receptors zilipo zina kagua uwepo wa banghi au kutokuwepo kweli mwili ndipo mwili unakutuma uvute tena banghi.....wagonjwa wengi wenye schyzophrenia nchini mwetu wamepata tatizo hili kupitia uvutaji wa banghi....banghi ukiivuta baada ya muda fulani...akili inaharibika...jinsi unavyovuta unabadilika na kesho keshokutwa hautakuwa kamwe k**a wewe wa jana.....wagonjwa wa akili ni wagonjwa wanaohitaji tiba muda mrefu ...ni gharama sana kutibiwa kwa muda mrefu....banghi itakuharibia feature...wala si ujanja kuvuta banghi....wakati unaanza unajiona we ni mjanja unajificha ficha ...kwa muda ule wewe unajiona ndie mjanja....ikifika stage ya kuanza kupiga kelele,akili kuchanganyika,kuona maluweluwe....si siri tena ,ujanja wooote unakuwa umefikia ukingoni...unaanza kusumbua familia n.k....jiepushe na uvutaji wa banghi.....baghi ni hatari kwa afya ya akili yako.....usidhani wewe ni mjanja.....waj...... Ndio waliwao.....chukua tahadhari

Address

Mtwara
0232

Telephone

0784139139

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyumba Ya Afya foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category