Karibu hekima dispensary kwa huduma zilizo bora na za uhakika
Pata ushauri bure kwa afya yako
08/03/2018
Hekima dispensary iliyopo mtaa wa coco beach
Karibu na hotel la ville Nouville
Wanawakaribisha kwa ajili ya huduma bora za kiafya
Kwa matatizo
1.magonjwa ya wanawake utakutana na specialist
2.matatizo ya masikio pia utakutana na specialist
Utapata vipimo vya magonjwa mbalimbali pamoja na ushauri mzuri
Pia pata ushauri jinsi ya matumizi ya dawa sahihi
Karibuni wote
23/02/2018
Njoo ujifunze kuhusu BMI ya mwili wako kwani kuna faida kubwa kujua uwiano kati ta uzito na urefu wako kuepuka magonjwa yanayoweza kusababishwa na lifestyle ya maisha tunayoyaishi kwa sasa
Mfano wa magonjwa yanayoweza kukupata kutokana na uwiano mbaya wa uzito ni:
1 .Pressure
2 .kisukari
3.obesity (kitambi)
Hii pia itasababisha tatizo la kumwa na magoti pindi umri wa uzeeni
Karibu ushari ni bure
23/02/2018
Hekima dispensary
wapo karibu na la ville hotel
Wanatoa huduma za kiafya pamoja na ushauri bure
Huduma za vipimo ni nzuri na ni za uhakika
Fika upate huduma zenye uhakika
Piga simu 0742812205
Address
Hekima Dispensary Mtwara Near Hotel La Ville Nouvile, Coco Beach Street
Be the first to know and let us send you an email when Hekima Dispensary posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.