17/02/2026
Nilikua nasoma Biblia kitabu cha kutoka sura ya 25:10-21... kuhusu sanduku la Agano na nikatamani kujua linafananaje... Baraka yaTeknolojia nikamwambia AI anichoree nione linafananaje...
Je kapatia?