Physbioch Website

  • Home
  • Physbioch Website

Physbioch Website This page is purposely created for sharing Science, Social, Political, Economical, Physical, Sports and Games news

Karibu, vinapatikana Tanzania nzima kwa Jumla na Reja reja.
26/05/2022

Karibu, vinapatikana Tanzania nzima kwa Jumla na Reja reja.

21/01/2022

NAMNA UNAWEZA KULIPWA KUPITIA YOU TUBE AU BLOG/WEBSITE YAKO.

Kuna Aina Nyingi Za Kuingiza Pesa Kupitia YouTube Channel.

1. Google Adsense
- Hii Ni Program Ya Google Wenyewe, Wana Kitengo Chao Cha Matangazo Kinaitwa Google Adwords (Hata Wewe K**a Una Biashara Yako Unaweza Kutangaza Pia),

Kwahiyo Wafanyabiashara Wanapotangaza Kupitia Hiyo Program, Hayo Matangazo Unaweza Kuyafanya Yakawa Yanaonekana Kwenye YouTube Channel Yako Kupitia Setting (Utaona Kuna Kisehemu Kimeandikwa Monetize Your Account).

2. Direct Ads
- Hata Inatokea K**a Channel Yako Imekuwa Maarufu Sana ( Eg Diamond Platnumz & AyoTv ) Na Inatazamwa Na Watu Wengi Zaidi, So Makampuni Yanaweza Kutangazwa Kupitia Channel Yako Directly, Mfano. VodaCom Wanatangaza Directly Kwenye AyoTV Na Diamond Alipata Direct Ad Kutoka Kwa Dr Mwaka

3. Affiliate Marketing
- Hii Mara Nyingi Ni Kwa Wale Ambao Hutengeza Tutorials, Unaweza Kufundisha Watu Kufanya Make Up, Then Ukawapa Direct Link Ya Amazon Ya Hizo Bidhaa Unazotumia, Wakizinunua Unapata Commission

N.B.Hakikisha Video Ni Zako Na Ni Quality, Na Si Za Ubaguzi Au Ngono

Kwenye Malipo Kuna namna Mbili ambazo YouTubers wanalipwa na GOOGLE kwa kila watazamaji 1000 au 1k (1k Viewers);

1.Kwa Video ambayo maudhui yake Ni ya Kingereza(Lugha iliyotumika ikiwa Ni Kingereza) GOOGLE inamlipa YouTuber Dola za Kimarekani 7.52 kwa kila watazamaji 1000. ( $7.52 per 1k Viewers)

2. Kwa Video ambayo Maudhui yake Sio Kingereza YouTuber analipwa Dola za Kimarekani 2.00 kwa kila watazamaji 1000. ( $2.00 per 1k Viewers)

Tuchukulie Mfano wa Video ambayo Ina watazamaji Milioni Moja (1M Viewers?).

--- K**a Video hiyo Ni Maudhui ya Kingereza maana yake YouTuber analipwa (1,000,000/1,000) × 7.52 = $7520. Hizo Ni takribazi Tsh 18M kwa pesa za Kitanzania.

--- K**a Video Ina Maudhui tofauti na Kingereza YouTuber atalipwa (1,000,000/1,000) × 2.00 = $2000 sawa na Tsh 4.6M.

K**a Viewers wataendelea kuongezeka baada ya Kulipwa,Basi Video yako inawekwa kwenye List ya POPOUT VIDEOS ya YouTube na utaendeleo Kulipwa $ 4.5 kwa kila watazamaji 1000 wa Kingereza watakao ongezeka au $ 1.6 kwa video isiyo ya Kingereza.

*JE MEENA ALLY KWELI KAJIRECORD FILAMU YA NGONO*Kwa wiki imtrend sana taarifa na video ya mlimbwende huyu ikiwa ni ya ng...
21/01/2022

*JE MEENA ALLY KWELI KAJIRECORD FILAMU YA NGONO*

Kwa wiki imtrend sana taarifa na video ya mlimbwende huyu ikiwa ni ya ngono ilopelekea yy mwenyewe kuikanusha.

Mimi k**a mdadisi ilinifikirisha sana na kunifanya nifanye utafiti wangu mdogo kuhusu tukio hili.

Wakati mwingine ili uwe supersta inahitajika uwe na pesa, wakati mwingine uwe na matukio mazuri ya kukutambulisha wakati mwingine hata skendo mbaya ili utambulike na kuwa na followers na viewers zaidi.

Kuna tetesi kidogo eti Mfano inasemekana Tanzania - Mitaa ya Sinza Kuna Ofisi maalumu ya KIWANDA Cha Filamu za Ngono kwa wasiojua ofisi hiyo ukienda hapo unapewa mkataba wa kurekodiwa Filamu ya ngono video ya dakika 2 unalipwa 200MILLION shart uwe tayari umejitegenezea PLATIFORM, Je ni kweli kuhusu hili?

Meena Ally mimi namjua tangu ameingia kwenye sanaa ya Presentative amekuwa ni mwanamke mchanga wa kuingwa kwa kujiepusha na zile skendo za kishamba na hiyo ikamfanya mwaka 2018 akiwa na Ayo , hadi KUFIKIA 2021 kuaminika na kampuni za China K**a Startimes kumpa donge la mkataba mzuri,

Video inayoonesha Meena Ally kwenye tape ya ngono hapa utaikuta kwenye website ya P**n maarufu K**a Vporn , XNXporn na zingine ili kuziona uwe na VPN kwenye simu yako.

utaiona video hiyo imetegenezwa na mtu anaitwa BILL huyu BILL ni mnyanyua vyuma pale Corilas, anachokifanya huyu jamaa huwa ananunua Mwanamke Kisha anaigiza Filamu ya ngono.

Katika video hiyo, Ameigiza na mwanamke ambaye ni Black Africa jina lake anaitwa Morgan Hutty umri wake ni 26, Urefu wake ni 4.38,
- Group lake la damu ni A+
- Makadhi anayoishi ni Carifonia
- Dini yake ni Mkristo wa Catholic
- Upana wa hips zake 36mmz
- Amezaa mtoto 1
- Ameachika kwa taraka 2008

Je huyu kwenye picha ni yeye au siyo yeye?

*Precautions: Sitaki uniombe link, Do at your own Risk*

IS IT THE SO CALLED MOCK THE CHURCH?The man in the picture is Mensah Mark, the CEO of Phens Multimedia. He is an enterta...
04/01/2022

IS IT THE SO CALLED MOCK THE CHURCH?

The man in the picture is Mensah Mark, the CEO of Phens Multimedia. He is an entertainer who goes by the stage name "pastor Blinks"

He is not a pastor. He is not claiming to be a pastor. He doesn't own a church.

As an entertainer, Mr. Mensah makes skits and short films about the Church and things that will generate clicks.

His latest work is a skit depicting him acting the role of a pastor in a cross over night, bathing female members.

He is the same "pastor" who played the role ,in a skit last year, of a pastor shaving female members p***c hairs in a make- believe church.

In 2020, he acted having his bath and giving church members the water to drink.

There was one, I think in 2019, showing him touching the privates of a female, as he was praying for her.

People are reporting this as if it is real. Some are using it to further their hobby of mocking the church. They don't bother to check it out.

A simple Google search will do. The man has been granting interviews saying he is only an actor.

This man is an entertainer making skits and videos on YouTube to earn a living.

Calling him a pastor and bashing the church is like calling Mercy Johnson a witch for acting the role of a witch in a movie .

Or calling Genevieve Nnaji a reverend sister for interpreting the role of a reverend sister so well in a film.

19/07/2021
05/03/2021

Soma makala hii kuhusu historia ya Elimu yetu Tanzania toka Ukoloni hadi leo japo kwa ufupi ili uone wapi tumetoka na wapi tunaelekea.
Makala hii itakuwa na mwendelezo wake, tafadhali usisahau ku-like, follow na kushare ili uweze kupata updates zote pindi mwendelezo wake unapofanyika.

HISTORICAL DEVELOPMENT OF EDUCATION IN TANZANIA
a) Pre colonial era(Traditional education)
b) Colonial education
c) Post independence education
d) Education for self reliance

A: PRE COLONIAL ERA EDUCATION
It is sometimes known as African indegenous education on or traditional education. It offered knowledge, skills, and values based on the traditions and customs of a given particular local ethinic groups both to Tanganyika mainland and Zanzibar Island.
Traditional education was offered on the basis of the following
i. Basis of the family level
When the baby was born the family (father, mother, sisters and brothers) were responsible to educate the baby.
ii. At the society level
The education gained by a child to his family went on expanding by being sometimes shaped by the society.
iii. On the basis of gender
Boys got education mostly from fathers and brothers, girls from mothers and senior sisters. And the education was taught to the s*x roles .e.g. girls’ food preparation, handle family, care baby
Boys-Hunting, war fighting methods, medicine.
iv. Learning by observation
v. By practical learning

Objectives of Traditional Education
1) Impart knowledge and values to young children
2) To indicate relevant skills to young children self in future
3) To enhance tradition and customs to young children that they can maintain future cultural heritage of their society
4) It was offered according to the education level.

TRADITIONAL EDUCATION IN SOMEWAYS HAD CURRICULUM
i) Nature of the economy - farmers taught children on farming etc
ii) Methods of teaching (pedagogy) -techniques and strategy (learning by doing)
iii) Specialization of labour of a family- medicine
PRE COLONIAL ERA
1) It was imparted to children through their active participation
2) Special training for particular skills existed e.g. cookery, drama, fishing, and leadership etc
3) It prepared the child to be independent to his or her society
4) It trained youth social practice within the society
5) It emphasized respect, love, cooperation.
(Weakness) normally pre colonial education can simply be grouped
i. Education of the heart
─ Was the religious education which inculcated how to pray and respect their gods .It also this taught respect, love, cooperation etc.
ii. Education of the hand
─ It taught how to make various things like arrows, ferubes, knives, baskets etc.
─ It taught also how to engage in various economic activities like husbandry, fishing, farming, etc.
iii. Education of the head
PHILOSOPHICAL BASES ON AFRICAN INDEGENEOUS EDUCATION FORMS:
i. Communalism
Composed of:-
a) Tradition
b) Norms
c) Aspects
d) Customs
A child was taken as an atom of the society
ii. preparedness –usefulness of a person in the society
iii. Perenialsm –transmit knowledge and skills from one generation to another and this makes life long education.
iv. Functionalism –people were learning to be productive.
v. Holistism – there was learning of way things in multiple learning design and perfection workshop in the gold, silver and copper.
QN: How long did traditional education survive in Zanzibar?
ANS:Traditional education in Zanzibar existed for a long period .It was then affected as time gone .for position of Zanzibar and Pemba started to be suffering from foreigners contact very early since 8th c most of the foreigners were from Arabia ,Persia and china .
However, the experience tells that this was due to the commercial business conducted by Arabs in East Africa .Arabs and Persians inhabited Zanzibar since 11th c.
As the year went by after the 11th c there was infiltration of Islam in Zanzibar which largely introduced new kind of education to help the people of Zanzibar referred to as Islamic education which resulted into subjugating tradition education (subjecting –controls ,eliminating, super seeding)Islamic education which was newly adapted by the people of Zanzibar led the black children and other mature people to acquire knowledge in confined classrooms known as madras (madrasi) in which learners were scattered on the mates receiving instructions from the teachers called maalim who taught Islamic faith by cramming and writing in Arabic alphabetical order by which the learner would qualify in the period between 3 to 6 years of education.
In the knowledge of Islamic scriptures learners were able to conduct translation of Arabic to Swahili language writing Swahili poems and be able to offer other written skills in Swahili language.
CONTRIBUTION OF ISLAMIC EDUCATION
a) IN TANZANIA
1) Led to formation of Swahili language
2) Facilitated communication between Arabs and indigenous
3) Facilitated reading and writing skills
4) Lead to spread of Islamic religion
5) Lead to spread of Arabic culture

b) TO WESTERN EDUCATION
1) In maths-muslim introduced Arabic numerals and decimals and make great advance in geometry
2) In physics-Muslims introduced pendulum and knowledge of optics and built many astronomical observation
3) In chemistry-discovered new substance like Silva metal polish and sulfate
4) In medicine –studied or taught physiology hygiene and methods of treatment
5) In manufacturing –surpassed (exceed) the rate of world in variety of built, design and perfection workshop in gold, silver and copper

ITAENDELEA ............................

03/09/2020

5G HAS BEEN ASSOCIATED WITH FREEMASONS HOW TRUE IS THIS.

Please read this

5G is an improvement over 4G it is 10x faster than 4G. 5G is not the 666 but 5G is part of the medium for introducing the 666. How ? Now read this.

With a 5G phone! You don't need to move around with your Phone, You just keep it at home.

But a MicroChip will be implanted under your skin! With that Micro Chip. you can answer your phone with your body and you can call someone with your body without using phone.

The device can read your mind,They know your next action before you do it.

With a 5G and the Implant MicroChip you don't need an International Passport at the air port and you can do any bank transaction any where in the world.

Meaning, you can use it to buy and sale.

(Can you see the similarities in BUYING AND SELLING, Rev 13 )

Suddenly a leader would rise up and say nobody should buy and sale until you have that microchip (666) clearly that is what the Bible warned us about over 2000 years ago.

They know Christians will not accept the Idea of microchip Implant, that's why people like Bill Gate who is a confirmed FREEMASON is saying everybody should take vaccination.

They want to secretly introduce the Implant through the vaccination and we Christians say NO!!! to their vaccination, because whether the MicroChip is the 666 or not God has warn us in Rev:13 thousands of years before this evil people were born not to put any microchip Implant in our body.

They produce a disease called covid19 and they are now providing a solution to the disease they call vaccination for the prevention of the virus.

(Think about that).

We can't stop their plans, because God didn't say we (Christians) can stop them, but we have to warn people, not to fall to their traps.

They introduce CORONA VIRUS a man made disease since 2012.

Over 50% of this evil people who created this CORONA VIRUS lived in America, but God brought in Donald Trump to re**rd their plans greatly that was why they had to move to China an ungodly nation to launch it.

But God is above them, they are trying to go faster than God. The foolish people thought they are intelligent but unknown to them they can not destroy Earth that they did not create.

The CORONA VIRUS, 5G and the microchip is just a rehearsal by this devilish people , they can not force it on everybody until Christians are Raptured from the earth for the Lord's wedding feast between JESUS CHRIST GLORIFIED and His bride (Church) .

CHRISTIANS please, do not panic by losing hope in life & faith in God by saying is JESUS CHRIST ever coming again? Then you may say what is the hope in life.

Yes JESUS CHRIST is coming very soon but nobody knows when, but his coming is like a thief in the night. Please go ahead with your normal activities.

Go to school, get married , aspire in life but be more wiser. Watch and pray with the consciousness that JESUS may come the next minute. Stop living carelessly anymore.

As we wait for his coming at anytime. Let's Preach the Gospel everywhere in the world and get as many people as possible to Jesus.

If you can share this write up, you might be saving previous life that will be counted for you as a soul winner.

REMAIN RAPTURE CONSCIOUS.

Anafana Sana na RONALDINHO GAUCHOKwa jina anaitwa Jaguar Paw (Almaarufu kwa jina la Jaguar)Amecheza Action movie iitwayo...
08/06/2020

Anafana Sana na RONALDINHO GAUCHO

Kwa jina anaitwa Jaguar Paw (Almaarufu kwa jina la Jaguar)

Amecheza Action movie iitwayo Acalypto. Movie hii Mara ya kwanza kuwa released ilikua Dec 8, 2006 inchin Canada baada ya hapo movie imekuwa ikifanyiwa editing Mara kadhaa

Director wa movie hii ni Mel Gibson

Movie hii ya Acalypto imegharimu kiasi Cha Dola Million 50 za kimarekani, imechezwa kwa lugha ya Maya au Yucatan.

Movie hii ni Kali Sana yaan ukiidownload ktk resolution ya 1080 x 1080 HD utaenjoy Sana kamwe hutojuta Wala kuchoka kuiangalia

Enjoy your day!

TUJIKUMBUSHE KIDOGO KUHUSU HUYU MWAMBARicardo Izecson dos Santos LeiteNimevuta picha miaka 13 iliyopita pale Rais wa FIF...
14/05/2020

TUJIKUMBUSHE KIDOGO KUHUSU HUYU MWAMBA
Ricardo Izecson dos Santos Leite

Nimevuta picha miaka 13 iliyopita pale Rais wa FIFA kipindi hicho 2007 pale Paris Ufaransa, ZeBLATA alipoitangazia Dunia kuwa KAKA ndo mchezaji Bora wa Dunia.

KAKA alikuwa akitwaa taji hilo akiwa na timu yake ya AC Millan alilopokea kutoka kwa beki mahiri na gaidi ktk mabeki walowahi kutokea duniani na mabeki wachache walowahi kutwaa tuzo ya mchezaji Bora wa Dunia "FABIO CANNAVARO" wa Italy aliyetwaa 2006.

Ukiniuliza goli Bora kabisa la KAKA Basi sio Mimi tu Bali hata washabiki wengi duniani watakuambia Goli lake la Pili Pale Old Traffod alipowafunga Mashetan wekundu MANCHESTER UNITED, alipokea pass ndefu murua kutoka kwa Mlinda lango wa timu Yake DIDA akautuliza kwa Kichwa na kuubetua kwa mbele Kisha kutupia k**abani, Kelele zaidi za watu 20,000 zilisikika ndan ya Par Opera House zikishangilia na kusema kuwa huyo ndo KAKA

HISTORIA YA KAKA

KAKA ni mtoto wa Mhandisi wa Majengo Mzee Bosco Izecson Pereira na Mama Semeon Dos Santos Mwalimu wa shule ya Msingi.

Kaka amezaliwa Brazili Magharibi ktk Mji wa Gama Fediro mji ambao umetoa miamba wengi wa soka duniani K**a JEZINO, CARLOS ALBERTO, Carlos Dos Dunga almaarufu K**a kapteni DUNGA, na wengineo wengi tu.

ASILI YA JINA LA KAKA

Shukuran za pekee zimwendee Kaka yake na Ricardo ajulikanaye kwa Jina la RODRIGO aliyeshindwa kutamka jina la mdogo wake na kuaamua kumwita "KAKA"

Baada ya miaka 8 wazazi wake na na KAKA walihama kutoka ktk mji wa Game na kuelekea Sao Paulo February 1, 2001 na kujiunga na timu ya SAO PAULO mwaka huo.

Ktk mechi 27 alizocheza alifanikiwa kufunga magili 12 ktk ligi ya miji ya Brazil. Ktk msimu ulofuata yaan 2002 ktk mechi 10 tu alikua ameshaifungia timu Yake ya Sao Paulo magori 22 kitu kilichomfanya au kumshawishi Rais wa AC Millan Carlos Ancelot kumweka ktk Rada zake

Ancelot alifanikiwa kumnunua KAKA kwa thamani ya Uro Mil. 8.5 na tarehe 1 Agost 2003 Alifanikiwa kufika kushuka uwanja wa ndege nchini Italy akiwa mtu mpole, Mwenye umbo Dogo akiwa ameshika Biblia yake huku akiwa amevalia Rozali takatifu. Ilkua maajabu Sana si kwa KAKA peke yake pia hata kwa Wahavidhina wa Italy. Moja ya mshangao wa KAKA ni kuwa hakuwahi kuwaza kucheza nje ya timu ya Sao Paulo na timu ya Brazil na alkua anaomba hivyo daima kumbe kwa Mungu ukiomba kidogo unapewa vikubwa, lkn kwa muda huu alkua nje kabisa na bara la Amerika.

Mashabiki wengi wa mpira pale Ac Millan na Italy kwa ujumla walimwangalia Ancelot kwa Jicho baya wakisema kwa Nini amewaletea mtoto? Je ataweza mikiki mikiki ya Ligi ya Italy? Je ataweza kukabana na mabeki Gaidi na hatari K**a Abdullah Konko? Ancelot aliwatuliza akiwaambia "tulien muda utaongea" kwa lugha ya Kimombo Just Cool time will tell.

Ktk muda mchache Sana KAKA Alifanikiwa kuwa sehem ya Kikosi Cha kwanza akichukua namba ya Manuel Lwikoser hivyo kazi alokuwa nayo Sasa ni kufunga tu. Hivyo wachezaji wenzake K**a Gatuso, Andrea Pillo walikuwa wakihakkisha wanautupia mpira ktk miguu ya dhahabu ya KAKA na kusubiria kushangilia tu.

Mnamo 8 Juni, 2009 Rais wa Real Madrid wakati huo Frorentino Perez alimnunua KAKA akitokea Ac Millan na kufanikiwa kutua ktk mji wa San Siro safari ambayo kwa KAKA haikuwa na mafanikio Sana maana muda mwingi alikuwa majeruhi. Aidha ktk mwaka 2013 mwez September aliteuliwa kuwa nahodha msaidizi wa klabu.

Tarehe 17 Desember, 2017 KAKA alistaafu masuala ya Soka.

Masharti na vigezo: unaruhusiwa ku share tu sio Kukopi na ku paste

Kalamu ya Mgalatia
MPIRA PIA NI FANI YANGU
0629669916

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Physbioch Website posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Physbioch Website:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram