MShauri wa afya

MShauri wa afya Tunatoa ushauri wa afya & Tiba kwa magonjwa mbali mbali. Piga sim no 0769229559
0684600587
0747586111

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE* +255747586111  Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makun...
19/09/2022

*UREMBO WA ASILI KWA MWANAMKE* +255747586111

Siri ya mwanamke kuonekana mrembo na kijana kuondoa chunusi, mabaka, makunyanzi ya usoni na ung'arisha ngozi kwa njia ya Asili.

*FEMINERGY CAPSULES* Imetengenezwa kiasili na kwa kiwango cha hali juu cha mbegu za zabibu ambazo hujulikana kuwa na kiwango kikubwa kinachopambana ba uzee kinachoitwa PROANTHOCY ANIDISM(OPC)

*_Kazi ya feminergy_*
➡Huondoa makunyanzi.
➡Huondoa makovu yaliyo achwa na chunusi.
➡Hung'arisha ngozi na kuondoa mabakaa yasiotakiwa.
➡Huifadhi unyevu wa ngozi.
➡Huzuia magonjwa yaletwayo na umri k**a kansa, kisukari, Magonjwa ya moyo, Macho na Alzheimer's (Watu wazima kupoteza kumbukumbu) Huifanya Organi zako kufanya kazi bila kuzeeka mapema.

*_Faida za feminergy_*
°Husaidia mishipa ya damu itanuke na kusinya hivyo kuiwezesha presha ya damu.
°Husaidia madhara ya mionzi ya jua, simu, Tv na mionzi mingine mwilini mwako.
°Husaidia kupambana na Allegy, Athma na mwili kukosa Nguvu.

**Kwa nini uchague feminergy**
--->Ni ya Asili.
Imetengenezwa na mbegu za zabibu.

**Ina matokeo Makubwa**
-->Ina 95% ya kiini cha PROANTHOCYADISM(OPC) Ambacho ndicho hupambana na uzee na kuchoka kwa ngozi.

**Ni salama***
>>Haina madhara kwa mtumiaji.

**Nani haswa anatakiwa kutumia feminegy**
>>Wanawake watu wazima, umri wakati na mabinti.
>>Wanawake wenye makunyanzi na wasiotaka makunyanzi.
>>Wanawake wenye mabaka ya chunusi na wasiotaka mabaka.
>>Wanawake wasiotaka kuzeeka haraka.
>>Watumiaji wa muda mrefu wa kompyuta, simu na TV.
>>Mtu mwenye ugonjwa wa moyo na damu katika ubongo.
>>Watu waliopigwa mionzi ya Chemotherapy.
>>Mtu anayechoka haraka na matatizo ya Allegy.
>>Mwenye matatizo ya kizunguzungu na kutojisikia vyema.

Kwa mawasiliano zaidi +255747586111

 # +255747586111 DRTS ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu  na kufanyiwa utafiti mkubwa.*Imeten...
19/09/2022

# +255747586111 DRTS ni dawa ya meno ambayo imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na kufanyiwa utafiti mkubwa.

*Imetengenezwa na mitishamba ifuatayo
*1️⃣. NOTOGINSENG
*Ambayo huzuia fizi kutoa damu
*2️⃣. HONEYSUCKLE
*Huzuia fizi kuvimba
*3️⃣. GREEN TEA
*Huleta harufu nzuri mdomoni, huondoa harufu mbaya
*4️⃣. BLUE CLEANING FACTOR
*Ambayo husafisha kabisa meno
*5️⃣. HERBAL FACTOR
*Ambayo hutibu kabisa meno, pia inaondoa sensitivity ya meno (hali inayotokea pale mtu anapouma kitu kigumu au msuguano wa vitu vya sauti ya ukwasi)

*KAZI YAKE
*1️⃣. Haina fluoride
*2️⃣. Inashambulia mdudu anaeharibu jino au kinywa
*3️⃣. Inaruhusiwa kumenzwa k**a tumbo linakusumbua kuuma.
*4️⃣. Ukiungua moto au ukajikata au jeraha la aina yoyote ile ikijipaka unapona bila kovu.
*5️⃣. Inaimarisha fizi za meno zisitoe harufu mbaya.
*6️⃣. Na unaweza kuitumia k**a huduma ya kwanza hadi kwenye fungasi na mapunye.+255747586111

+255747586111 Habari..!*🌹Haya Ndio Mambo Yanayochangia usishike Ujauzito..*Leo  nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni ...
18/09/2022

+255747586111 Habari..!

*🌹Haya Ndio Mambo Yanayochangia usishike Ujauzito..*
Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).

1. Kupata hedhi inayobadilika badilika.

2. Kuacha Kuona Siku Zako ghafla.

K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anakoma kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi na
Ukaona hedhi yako imekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo itakuwa ngumu sana kwako kubeba ujauzito.
3. Kutokwa na damu nyingi, nzito ma yenye mabonge k**a vipande vya maini.

Hii huashiria tatizo la hormonal imbalance, uvimbe au maambukizi

4. Maumivu wakati wa tendo la ndoa yanayo ambatana na uchafu

5. Kupata Maumivu makali chini ya kitovu

6. Kukosa hamu ya tendo la Ndoa kabisa na kuhisi ukavu ukeni

7. Kupata dalilobzote za ujauzito ihali sio mjamzito

Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye anatamani kupata mtoto +255747586111

+255747586111
18/09/2022

+255747586111

🌹Habari...!••▪️PID inasababisha ugumba sawa yaani kadri unavyoumwa zaidi au changamoto uliyonayo inazidi kuwa sugu ndivy...
15/09/2022

🌹Habari...!
••
▪️PID inasababisha ugumba sawa yaani kadri unavyoumwa zaidi au changamoto uliyonayo inazidi kuwa sugu ndivyo hatari ya kuwa mgumba na kupelekea madhara mengine makubwa zaidi
Unaweza ukawa na makovu kwenye mirija ya uzazi kiasi kwamba yai la mwanamke na mbegu za mwanamme vikashindwa kukutana.

▪️Kupata kansa ya shingo ya kizazi
PID ikiwa sugu inatoa nafasi au inapelekea mtu huyu Kupata Tatizo ya kansa ya shingo ya kizazi ambayo sasa ataondolewa kizazi ama tatizo inaweza kumpelekea kifo kabisa

▪️Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (Ectopic pregnancy)
Mimba kujishikiza mahari pasipo sahihi tofauti na mfuko wa Mimba Ni ishu kubwa au Ni risk ya kiafya na inahitaji uangalizi mkubwa wa kidaktari ili kuzuia uvujaji damu na hatimaye kupelekea kifo kwa mama

▪️ Kupata majeraha/Makovu kwenye mirija ya uzazi
Majeraha kwenye mirija inatoa nafasi kubwa Sana ya Mimba kuharibika au kuporomoka Mara kwa Mara kwasababu mfumo wako uzazi hauko salama

▪️ Mirija ya uzazi kuziba (salpingitis)
*Bila tiba*, Kuna madhara makubwa Sana yanayoweza kutokea endapo utakuwa na tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi kuugua Mara moja salpingitis kunaongeza ugumba kwa mwanamke kwa asilimia 15 na madhara mengineyo makubwa zaidi

*Tambua PID sio kitu Cha kukaa nacho kukivumilia Chukua hatua mapema....* kwa mawasiliano +255747586111

15/09/2022

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MShauri wa afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to MShauri wa afya:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram