Health care clinic

Health care clinic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Health care clinic, Medical and health, Ghana, Mwanza.

FAHAMU KUUSU P.I.DP.I.DNi maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu...
16/03/2022

FAHAMU KUUSU P.I.D

P.I.D

Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-
Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi.
ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.
DALILI ZA UGONJWA WA PID
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID
•Ugumba
•Kansa ya shingo ya kizazi
•Mirija ya uzazi kuziba
•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

MATIBABU
inatibika na kupona Kwa haraka
Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza Fika ofisini kwetu piga simu 0763766122,0684375726
# P.I.D

N.b - pia maradhi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yamekuwa Mengi ukiona unasumbuliwa na matatizo haya usisite kuwasiliana nasi
* Fungus sugu ukeni
* U.t.i mara kwa mara
* Tatizo la kutopata hedhi kwa wakati
* Maumivu wakati wa hedhi
* Vimbe kwenye kizazi
* Mirija ya uzazi kuziba
* Kutobeba ujauzito
* Kutokwa na uchafu na majimaji yenye harufu ukeni ..

Tiba ipo unapona kabisa bila kujirudia
Kwa mawasiliano zaid na ushari juu ya afya 0763766122,0684375726

Address

Ghana
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health care clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram