16/05/2022
*UGONJWA WA KUTOKA/ KUOTA VINYAMA PUANI (KITAALAM NASAL POLYPS).*
Dr Sila Julius Mwaselela +255767866299
๐VINYAMA PUANI/ NASAL POLYPS NI NINI???
Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)
๐ELEWA KUHUSU NYAMA (Nasal polyps)
Hizi nyama za pua (Nasal polyps) zimegawanyika katika makundi mawili ambayo kitaalamu yanajulikana k**a antrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu. Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinuses. Antrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.
HIASHIRIA/ DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO
Kwa kawaida mtu mwenye nyama aina hii hupata viashiria k**a..
๐Kuhisi pua kuziba,
๐sinusitis,
๐Kupoteza uwezo wa kunusa harufu aina yoyote.
๐Kupata maumivu ya kichwa.
Lakini pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine ndani ya pua na jicho (orbit matter).
AINA ZA VINYAMA ( Nasal polyps.)
1. ANTTOCHOANAL
Aina hii huwa na tabia kuu tatu, japo siblazima zitokee zote kwa pamoja,
๐Huwa ni moja na hathili tundu moja la pua(Unilateral)
๐Lakini aina hii mara nyingi huwapata zaid watoto
๐ Inaweza kuanza kuota kutokea kwenye mirija ya sinus kwenye taya
2: ETHMOIDAL
Aina hii ya pili huwa na tabia kuu mbili...
๐ Kwanza kabisa huathili tundu zote mbili za pua (Bilateral)
๐ Tofauti na ile ya kwanza,, hii huwa Mara nyingi huawapata watu wazima
*_VISABABISHI VYAKE_*
Jinsi hizi nyama za puani zinavyojitokeza bado haifahamiki, ambapo kitaalamu tunasema "IDIOPATH" japo inatazamiwa kuwa nyingi husababishwa na mzio kitaalamu huitwa Allergy na kwa Mara chache sana husababishwa na cyst fibrosis.
*MAGONJWA YANAYO AMBATANA NA TATIZO HILI*
๐Chronic rhinosinusitis
๐Kartagener's syndrome
๐Young's syndrome
๐Churg-strauss syndrome
๐Asthma
๐Aspirin intolerance
๐Cystic fibrosis
*MATIBABU PEKEE* .
๐ K**a tulivyoona namna ambavyo tatizo hilo huwa husababishwa na tatizo lingine na imeonekana hakuna chanzo maalum..
Ila imeonekana kwa asilimia kubwa ni kwa wale wagonjwa / watu wenye matatizo ya allergy/ mzio na Athsma hivyo basi kufanya upasuaji si tiba na ndiyo maana tatizo hili hujirudia..
IPO hivi katika watu 10 waliofanyiwa upasuaji basi 7 wamerudiwa na tatizo..
nami kwaajili ya kupata msaada zaidi na matibabu yasiyo itaji upasuaji ktk kutibu kabisa tatizo hili la vinyama puani *+255767866299*