19/03/2024
Nini kinachofanya uume usimame? Kwa haraka unaweza kujibu ni msisimko. Naam, unaweza kuwa sahihi. Lakini msisimko ni matokeo. Kuna kinachosababisha msisimko huo. Bila hicho, msisimko hauwezi kutokea.
Kila mwanaume anapaswa kuwa na jibu sahihi la swali hili, ili atakapoona tatizo ajuwe pa kuanzia na pa kumalizia. Hata k**a si kwa undani, Elimu ya kujijuwa jinsi mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madakatari pekee k**a ilivyo dhana ya watu wengi.
Kutokuwa na chochpote kichwani kuhusu miili yetu ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia madawa kiholela na hivyo kujidhuru badala ya kujitibu.
Kinachofanya uume usimame ni mzunguko wa damu. Na kabla hujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ''Asilimia 94 ya damu ni maji''. Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini na k**a bado unasubiri kiu ndipo unywe maji na tena unakunywa maji ya baridi ya kwenye friji, POLE SANA.
Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri k**a inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika kusimama kwa uume wako. Kwanini?
Mzunguko wa damu ulio katika afya njema husambaza damu ya kutosha katika viungo vyako vyote vya mwili wako ikiwa ni pamoja na kwenye mishipa ya uume wako. Hii ni kwamba hata k**a utagusana na mwanamke hautaweza kufanya chochote k**a damu haizunguki katika viungo vyako inavyostahili. Tazama mtu aliyekufa, damu haizunguki, je anafanya chochote? Hata hivyo huo ni mfano wa juu zaidi.
Chochote ambacho huzuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. K**a mishipa yako ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume. Hii ni kwa sababu uume hautapata damu ya kutosha.
Mara nyingi vena zilizoziba sababu ya mzunguko dhaifu wa damu ni sababu ya kushindwa kusimama uume kwa wanaume walio na umri zaidi ya miaka 60, wanaume wenye kisukari na pia wanaume wenye ateriosclorisis (hali ya ugonjwa inayosababishwa na kukauka kwa vijiateri vya ateri), na wenye maradhi ya moyo.
K**a ungependa TUKUSAIDIE piga 0743303831