Kujali afya kwanza

Kujali afya kwanza Nasaidia maswala ya kiafya kwa jinsia zote katika jamii

26/02/2022

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.,(0742343981)
Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
Dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga (0742343981)
Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri
Usisubili mpka iwe cancer ni hatali
0742343981

Kwanini uteseke na changamoto hii ya kutoshika ujauzito wakati suluhulisho lipo Wai sas hujachelewa
20/02/2022

Kwanini uteseke na changamoto hii ya kutoshika ujauzito wakati suluhulisho lipo Wai sas hujachelewa

02/02/2022
26/01/2022

KINGA NA TIBA YA TEZI DUME BILA UPAUAJI.,(0742343981)
Tezi dume nini ..ni tez inayopatikana kwa mwanaume tu..ipo kuzunguka njia ya mkojo karibu na kibofu cha mkojo..kazi ya tezi dume ni kutengeneza majimaji ya shahawa,na kurutubisha mbegu za kiume yaani kuzipa chakula..
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana..
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo LA uvimbe wa tezi dume..
Mara nyingi suluhisho imekua upasuaji lakini upasuaji ukifeli watu wanakosa nguvu za kiume..
Sasa KUNA SULUHUSHO..
Dawa ya asili inayokinga na kutibu tezi dume bila upasuaji. Imewasaidia wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba unaoitwa prostaep(flavnoids na polypeptide) itakusaidia.imethibitishwa na Tfda,cGMP,na Halal,unaweza tumia kujitibu au kujikinga (0742343981)
Tazama video hapo chini kwa maelezo na ushauri

13/01/2022

Tazama video ya shuhuda apo Chini ya mtu aliyepona tatizo hili bila ya upasuaji

12/01/2022

* KWANINI U.T.I INAKUA SUGU? JIFUNZE ZAIDI KUHUSU CHANGAMOTO HII PAMOJA NA SULUHISHO LA KUDUMU LA UTI SUGU
(0742343981)

LIFAHAMU TATIZO LA U.T.I.
DALILI ZAKE NA JINSI YA U.T.I SUGU

U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na
wa maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na
viumbe k**a bakteria, fangasi na virus. bacteria.

Mara nyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na
mwili wenyewe. Lakini wakati mwingine bakteria wanaweza kuzidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.

U.T.I. inaweza kuathiri vitu vifuatavyo: ureta, urethra, kibofu cha
mkojo na hata figo.

TUANGALIE KIDOGO MFUMO WA MKOJO:

Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili
unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada kupitia njia ya mkojo. Mfumo huu unaundwa na vitu vifuatavyo: figo, ureta, kibofu na urethra.
(Kwa sasa sitachambaua kwa undani hizi sehemu ili kutorefusha sana mada. Ila ukitazama picha hapo chini utaona jinsi hivi vitu vilivyo na namna vilivyo connected.)

KISABABISHI CHA U.T.I.

Mara U.T.I. inasababishwa na
bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli). Yaani 65% ya maambukizi yote ya U.T.I. hutokana na huyu bakteria. U.T.I. nyingine zinaweza kusababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na U.T.I. hizi zinaathiri hadi mfumo wa uzazi na hapo wanandoa hupaswa kupata tiba kwa pamoja.

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA
WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje.

1.Urethra (mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana ukilinganisha na kwa wanaume. Hivyo ni rahisi kwa urethra ya mwanamke kuruhusu bakteria kufika kwa haraka hata kwenye kibofu.

2. Pia mrija huo unafungukia sehemu
ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni re**um.
Kwa wanaume ni vigumu sana kupata U.T.I. ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake.0742343981

10/01/2022

Ni sehemu ya mfumo wa uzazi wa kiume iliyo mbele kidogo ya puru (Re**um) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo na uume (Urethra) Ina ukubwa wa kawaida japo ukubwa huongezeka kadri umri unavyoongezeka.

PIGA 0742343981

1. Kupata shida wakati wa kukojoa
2. Kutiririkwa mkojo wakati na baada ya kukojoa
3. Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
4. Kukojoa mara Kwa mara hasa usiku
5. Kujikamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
na ili kujua k**a unatezi dume ni muhimu kufanya vipimo vifuatavyo:- Njia hii utaingiziwa kidole cha kati katika puru ili kuihisi katika ukuta wa puru
Unaweza kupona saratani ya tezi dume ima Kwa kufanyiwa upasuaji au Kwa kutumia njia mbadala ili kulikausha tezi hilo.
Endapo tezi dume itatibiwa kwa haraka, utakuwa umejiaepusha na magonjwa makubwa k**a vile saratani ya tezi dume.

TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
ni kirutubisho maalumu ambacho kimetengenezwa na mimea asili uitwao PROSTAEB-I (US Patent) Kwa ajili ya kulikausha tezi lililovimba katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Faida za mmea huu ni kuwa, hulikausha tezi lililovimba, husaidia wanaume wenye shida ya mkojo.

Vilevile ni vizuri k**a itatumiwa Kwa wenye umri kuanzia miaka 45, Ikiwa ni pamoja na kujikinga usipate shida ya tezi Kwa miaka ya baadae.

Kwa mawasiliano namna ya kutibu tezi dume piga namba

Piga simu 0742343981

inatibika bila upasuaji

MADHARA YA KUKAA MUDA MREFU.Katika maisha Kuna kanuni muhimu Sana ambayo Kila Mwanadamu anapaswa kuielewa vizuri na kuif...
17/11/2021

MADHARA YA KUKAA MUDA MREFU.
Katika maisha Kuna kanuni muhimu Sana ambayo Kila Mwanadamu anapaswa kuielewa vizuri na kuifanyia kazi sawasawa. Kanuni hiyo si nyingine Bali kanuni ya KIASI au Wastani. Kuosekana kwa kanuni hii huenda kukaleta madhara Sana katika maisha yako. Kwa mfano kula ni Jambo la muhimu ili kuendeleza maisha yako lakini kula kupita kiasi au ulafi huketa madhara katika mwili. Pia kulala kunahitajika lakini kulala Sana pia Kuna madhara mbalimbali kiafya na hata kiuchumi pia.

Mpendwa Leo nipe dakika chache nikufahamishe Madhara ya kukaa muda mrefu katika afya yako na maisha kwa ujumla.

Jaribu kufikiri muda unaotumia kwa siku ukiwa umekaa ofisini, kwenye mikutano, darasani, Nyumbani ukitazama Television na kadhalika.

Ukaaji kwa muda mrefu, zaidi ya masaa mawili bila kubadilika ni Maradhi. Kuna matatizo mbalimbali ya kiafya kwako kwa kukaa muda mrefu na hasa ukaaji usio zingatia kanuni za kiafya. Hii ni pamoja na
kukaza, maumivu ya misuli na kichwa kwasababu uzito wako haugawanyiki katika usawa ( Maria Trimarchi).

Mwaka 2009 Wakanada wapatao 17,000 walishiriki Utafiti kubaini uhusiano Kati ya kukaa muda mrefu na vifo. Utafiti huo ulibaini kuwa kukaa muda mrefu kunaathiri Afya kwa kudhoofisha misuli, kuongeza mafuta mwilini na kuongeza uwezekano wa kupata magonjwa.

Madhara ya kukaa muda mrefu ni pamoja na:-
Resistance. Watu ambao wanafanya kazi za kukaa muda mrefu, hawana mazoezi na hawapati lishe Bora wanaweza kupata Insulin pingamizi. Hii huleta maradhi ya Kisukari Aina ya pili (Diabetes Type 2).
Katika Utafiti wanawake 3,757 wanaokaa muda mrefu wanna nafasi kubwa kupata Kisukari kwa 56%

for Heart Disease. (Habari ya kupata maradhi ya Moyo).
Enzymes zinazounguza mafuta mwilini zinapungua kwa 90%( lipoprotein lipase) ambazo kazi yake ni kuzalisha lehemu nzuri ambayo inasaidia kuzuia maradhi ya moyo kwa kuzuia ukusanyikaji wa Lehemu mbaya kwenye mishipa ya damu ( Arteries).

kuwa dhaifu. Unapokaa misuli ya tumbo na miguu inalala. Ukiendelea na Hali hiyo misuli inaweza kudegenerate kwasababu kiasi Cha metabolism kinahusishwa ukubwa wa mwili. Misuli mingi inaongeza metabolism na kusaidia kuunguza Kalori nyingi zaidi.

# Mzunguko wa Damu kuwa hafifu au kidogo. Mzunguko wa Damu katika Ubongo na miguu unakuwa hafifu. Kukaa muda mrefu bila kusimama kunaongeza hatari ya damu kuganda ( Blood clots). Hii inaweza kusababisha tatizo kwenye mapafu na hata kuletea Kifo.

Become Brittle.
Kukaa muda mrefu kunasababisha udhaifu wa mifupa. Watu wanaotumia muda mwingi wakiwa wamekaa wanna uwezekano wa kupata "Osteoporosis" kuliko wasiokaa muda mrefu. Sababu ni kwamba kukosekana kwa shughuli zenye kuufanya mwili kuwa Imara kunasababisha mifupa kuwa dhaifu. Kujihusisha na matembezi kunaongeza maisha ya mifupa.

Mpendwa hayo ni baadhi ya matokeo hasi ya kukaa muda mrefu kwa siku.
Ili kuepuka madhara hayo yafuatayo yanaweza kufanyika

@ Usafiri. K**a unatumia gari kwenda kazini, week gari mbali ili upate fursa ya kutembea na kujinyoosha. K**a unafanya kazi ghorofani, panda ngazi badala ya kutumia lift, jaribu kutembea zaidi.

wa vitendea kazi au vifaa katika ofisi yako. Week vifaa vyako vya kazi mbali na ulipo ili upate fursa ya kusimama na kutembea Kila unapohitaji kuvitumia vifaa hivyo. Hii itakuoa mazoezi ya misuli na viungo vya mwili.

@ Badili namna ya ukaaji mara kwa mara. Fanya mazoezi yanayohusisha misuli ili kuweka sawa.

@ Ukiweza simama na kutembea kiasi Kila baada ya nusu saa au saa Moja ya kukaa

NB: "Sitting is the new smoking"
Kukaa muda mrefu Insulin inapungua kwa 24% na hatari ya Kisukari inaongezeka, shinikizo la damu linaongezeka mara mbili na kusababisha maradhi ya moyo.
"JALI AFYA YAKO CHUKUA HATUA LEO, ISHI LEO NA KESHO"

Kwa mawasiliano zaidi Wasiliana na me kwa namba zifuatazo 0742343981

SABABU YA MUWASHO SEHEMU ZA SIRI..Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani bila kujali jinsi, muwa...
17/11/2021

SABABU YA MUWASHO SEHEMU ZA SIRI..

Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani bila kujali jinsi, muwasho unaweza kuwa umesababishwa na ugonjwa wa ngozi, zinaa au mzio.

Kuwashwa hutokea pale ngozi inapokereketa ikiambatana na hamu ya kutaka kupakuna. Muwasho huongezeka pale unapokaa na kukiwa na unyevunyevu.

Sababu kuu za kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa inaweza ikawa ni sababu fulani k**a vile kutojisafisha vizuri baada ya haja, kula vyakula vyenye viungo vingi, kuharisha, vidonda kwenye njia hiyo, maambukizi ya fangasi, bawasiri (hemorrhoids) au minyoo.

Baadhi ya vitu vinavyosababisha muwasho huhitaji matibabu ya hali ya juu zaidi ili kuvikabili. Ikiwa unawashwa kwa muda mrefu ni vyema kumuona daktari.

Kwa wanaume
Kuwashwa uume au sehemu zingine za siri za mwanamume husababishwa na sababu zilezile zinazosababisha muwasho sehemu nyingine za mwili.

Maambukizi hasa ya magonjwa ya zinaa, ndio chanzo kikuu cha kuwashwa uume. Sababu nyingine ni maradhi ya fangasi, ugonjwa wa upele (scabies), chawa, mzio na maambukizi ya bakteria.

Kwa wanawake
Kinachosababisha muwasho katika sehemu za siri za mwanamke ni maambukizi ya fangasi ukeni, kuvimba uke wakati wa hedhi na usio wa hedhi, trikomonasi, minyoo, tatizo la shingo ya kizazi, wasiwasi, tatizo la mfumo wa kinga na kisukari.

Maambukizi ya fangasi ni moja ya tatizo kwa wanawake linalosumbua. Tatizo hili husababishwa na fangasi waitwao Candida. Dalili kuu ni kuwashwa ukeni, kuvimba na kutoa uchafu mweupe k**a maziwa.

Ugonjwa wa kuvimba uke kitaalamu unajulikana k**a Vulvovaginitis. Ni ugonjwa unaoathiri kwa kusababisha sehemu za nje za uke na uke wenyewe kuvimba. Dalili kuu ni kuwashwa ukeni, maumivu wakati wa haja ndogo, kukereketa unapokojoa na kutokwa na uchafu ukeni.

Kuvimba uke baada ya hedhi kukoma ama Postmenopausal Atrophic Vaginitis.
Kwa kawaida hutokea baada ya hedhi kukoma. Hali hii huongeza maambukizi ukeni na huweza kusababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Maambukizi ya trikomonasi. Ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na kimelea aitwaye trichomonas. Dalili kuu ni muwasho katika uke au uume na kutokwa na uchafu ukeni.

Ugonjwa wa minyoo wajulikanao k**a pinworm. Ni maambukizi ya minyoo wadogo wenye umbo la pini wanaoweza kuambukiza kwenye utumbo na kusambaa maeneo mbalimbali. Ugonjwa huu huwatokea zaidi watoto wa kati ya miaka mitano na 10.

Uvimbe wa mrija wa urethra ama kwa kitaalamu urethritis. Ni maambukizi kwenye njia ya kutolea mkojo nje inayoungana na kibofu. Dalili kuu ni mkojo kuchoma, maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kutokwa uchafu.

Tatizo la warts. Hivi ni viuvimbe vidogo vinavyotokea juu ya ngozi sehemu za siri.

Vinaweza kuota k**a kamba au vimikia vidogovidogo vinavyokua kwa kurefuka. Ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana na husababishwa na virusi vijulikanavyo k**a

Human Papillomavirus (HPV). Vivimbe vinaweza kusababisha muwasho na maumivu na hata kuvuja damu vikikandamizwa.
Saratani sehemu ya nje ya uke. Hutokea nje ya uke na kuambatana na hisia za kuwashwa sehemu hizo.

Ugonjwa wa wasiwasi ama Generalized Anxiety Disorder (GAD). unaotokana na hofu ya matukio fulani. Wakati mwingine husababisha kujikuna sehemu mbalimbali hata za siri.

Ugonjwa wa Sjogren. Ni tatizo katika mfumo wa kinga ya mwili unaoathiri tezi zinazosaidia mwili kutengeneza unyevunyevu kwenye macho na mdomo. Ugonjwa huu huathiri wanawake zaidi kuliko wanaume.

Tatizo la kisukari pia huweza kumuathiri mwanamke sehemu za siri. Ni ugonjwa sugu wa mfumo wa kuzalisha nishati mwilini unaosababishwa na kasoro katika utengenezaji wa insulini au utendaji kazi wake.

Kisukari kilichokomaa kinaweza kusababisha maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kizunguzungu na kuwashwa sehemu za siri.

Njia za kuepuka kuwashwa
Wanaume wanapaswa kufuata hatua mbalimbali ili kuepuka kuwashwa sehemu za siri. Miongoni ni kuosha vizuri uume na kwa wale ambao hawajatahiriwa wanapaswa kuosha kwa umakini zaidi hadi sehemu za ndani za govi.

Namna nyingine ni kuweka sehemu za siri katika hali ya usafi na ukavu, kwa maana unyevunyevu unaweza kusababisha maambukizi. Matumizi ya poda yanaruhusiwa hasa kipindi cha joto kali.

Vaa nguo isiyobana sana, iliyotengenezwa kwa vitu asilia k**a pamba. Badili nguo ya ndani angalau kila siku na vaa kondomu kila unapofanya ngono na mwanamke usiyejua hali yake kiafya.

Wanawake wanapaswa kila baada ya kukojoa au kujisaidia haja ndogo kuosha sehemu za siri kuanzia mbele yaani ukeni na baadaye nyuma kwenye njia kubwa. Huu ni mfumo wa kuzuia maambukizi ya bakteria walioko kwenye njia ya haja kubwa kwenda ukeni.

Mwanamke aepuke matumizi ya vitu vyenye kemikali k**a marashi katika kusafisha uke kwa maana huharibu hali ya asidi ya uke na kuua bakteria wanaolinda maeneo hayo na kufanya iwe rahisi kushambuliwa na maradhi.

Weka sehemu zako za siri katika usafi na ukavu. Tumia sabuni kidogo katika kusafisha sehemu zako za siri na maji mengi. Kausha sehemu zako za siri kila baada ya kuoga au kuogelea na epuka kukaa na nguo mbichi kwa muda mrefu.

Vaa nguo isiyobana, iliyotengenezwa kwa pamba ili unyevunyevu usitokee.
Badili nguo za ndani kila baada ya saa 24. Epuka ngono bila kinga hasa ukiwa na hofu na mpenzi kuwa ana maradhi.

Ukiwa na changamoto wasiliana na me
0742343981

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kujali afya kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Kujali afya kwanza:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram