Tibu magonjwa kwa virutubisho.

Tibu magonjwa kwa virutubisho. Nawasaidia watu kuboresha Afya zao, na kutatua magonjwa yasiyo ya kuambukiza na pia Afya ya uzazi.

19/12/2025

Hakuna nguvu mwilini? Chanzo kinaweza kuwa mzunguko mdogo.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

19/12/2025

Mwili hauponi bila mzunguko mzuri wa damu.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

19/12/2025

Mzunguko wa damu unaathiri ubora wa usingizi pia.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

19/12/2025

Tatizo hili linatibika k**a chanzo ni mzunguko mdogo wa damu.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

19/12/2025

Mzunguko mdogo → pressure inasumbua.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

16/12/2025

Usipuuzie dalili za moyo — chanzo kinaweza kuwa mzunguko mdogo.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

14/12/2025

Uvimbe wa miguu mara nyingi ni ishara ya mzunguko wa damu kusimama.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

14/12/2025

Usipochukua hatua mapema inaweza kuathiri kumbukumbu na nguvu ya mwili.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

11/12/2025

Hii dalili watu wengi hui-ignore, lakini ni hatari.
Ni ishara ya mzunguko wa damu kushuka.
Afya Yako Dr Sila — +255767866299

08/12/2025

Virutubisho vinaposhuka mwilini, mzunguko wa damu hushuka pia.
Ili kudumisha mishipa imara, mwili unahitaji:
✔️ Omega 3
✔️ Iron
✔️ Antioxidants
✔️ Vitamin B Complex
Ndio maana watu wengi hupata nafuu haraka wakianza kutumia Supplements sahihi.
Afya Yako Dr Sila — +255 767 866 299

08/12/2025

Kukaa masaa mengi ni adui mkubwa wa mzunguko wa damu.
Kila dakika 45 simama, tembea, kunja miguu na kunyoosha.
Mwili wako utakushukuru!
Afya Yako Dr Sila — +255 767 866 299

06/12/2025

Unaweza kupata dalili za mzunguko wa damu kushuka lakini hujui chanzo.
Hapa ndipo ambapo watu wengi hukosea—wanatibu dalili badala ya kutibu chanzo!

Leo nimekuletea sababu 3 zinazopunguza mzunguko wa damu bila wewe kujua.
Afya Yako Dr Sila — +255 767 866 299

Address

Mwanza

Telephone

+255767866299

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tibu magonjwa kwa virutubisho. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram