13/11/2022
*DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*
⚫Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na kuendelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vina dalili k**a:
1.📎 Kupata maumivu ya tumbo ya kuwaka moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
2.📎 Kupatwa na kiungulia(heartburn) karibu na chembe ya moyo
3.📎 Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
4📎 Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
5.📎 Kupata haja kubwa ya rangi ya kahawia au nyeusi cheenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
6.📎 Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
7.📎 Kushindwa kupumua vizuri.
8.📎Kuharisha hasa unapokula vyakula vinavyochochea vidonda vya TUMBO.
9.📎Kupata choo kigumu k**a cha mbuzi
10.📎 Maumivu ya mgongo
11.📎 Tumbo kuwaka moto.
12.📎 Kupungukiwa damu na kupelekea kupata kizunguzungu.
13.📎 Mwili kudhoofika na kupungukiwa kilo
14.📎 Dhakari(Uume) kulegea/kusinyaa na kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
15.📎Mapigo ya moyo kwenda mbio.
16.📎 Macho kupunguza nguvu ya kuona vizuri.
*UFANYEJE ILI KUTATUA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO*
Ili mtu atumie dawa ya vidonda vya TUMBO na kupona anatakiwa kuzingatia yafuatayo:
1.📎 Apate dawa sahihi (yenye uwezo wa kutibu vidonda vya TUMBO)
2.📎 Ajiepushe na vichochezi vya Vidonda vya TUMBO.vichochezi hivyo ni k**a vile
-Msongo wa mawazo (Stress)
-Vyakula visivyokuwa rafiki kwa mwenye vidonda vya tumbo basi. Hapo utakuwa umemaliza shida ama kulipunguza kwa kiasi kikubwa.
KUPATA DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0654498254 / 0624421594
*Victoria healthcare* 🌿
Suluhisho la Afya yako