Tanzanite Hospital

Tanzanite Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzanite Hospital, Hospital, Iseni Butimba, Mwanza.

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

10/11/2025

Taifa la Mungu Salam 🙏🏾 Tunapenda kuwakumbusha kuwa ikiwa umepata changamoto zifuatazo

1. UMEVUNJIKA UTI WA MGONGO, FUVU LA KICHWA, Au MFUPA na pengine imesababisha KUPOOZA kwa kiungo chochote cha mwili wako

2. DAMU ZIMEVUJA NDANI YA UBONGO na Unahitaji wa huduma ya Upasuaji wa Ubongo

3. Jeraha katika Tumbo au wneo lolote la Mwili wako

Tunalo auluhisho kwa ajili yako, Tunashauri utembelee klinike zetu za Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, uti wa mgongo, mishipa ya fahamu na Mifupa

Tunatoa huduma kwa wagonjwa wanaolipa fedha taslim, Wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, UNISURE & CIGNA Insurance

Tunapatikana Kituo cha daladala Iseni Butimba Mwanza

☎️ 0744-442-444

A MULTY SUPER SPECIALITY REFFERAL HOSPITAL LOCATED AT ISENI, BUTIMBA, MWANZA, TANZANIA
Super Specialized in Brain, Spine, Orthopedic & Trauma Surgeries
+255-744-442-444
ceo@tanzanitehospital.co.tz

https://chat.whatsapp.com/F3Jfogb9EQl4sQTKwL5H2r

MAUMIVU WAKATI WA HEDHIUmekuwa Ukipata Maumivu makali wakati wa Hedhi? Na pengine Damu inayotoka inakuwa nyingi zaidi ku...
22/10/2025

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI
Umekuwa Ukipata Maumivu makali wakati wa Hedhi? Na pengine Damu inayotoka inakuwa nyingi zaidi kuliko kawaida yako na 'mabonge mabonge'

Kuna uwezekano ukawa na 'UVIMBE' katika mji wa Mimba

Tunalo suluhisho kwa ajili yako. Tembelea kliniki yetu kila siku kwa ushauri, uchunguzi na matibabu

Tunatoa huduma kwa wagonjwa wanaolipa fedha TASLIM na wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA na UNISURE

Tunapatikana Kituo cha daladala Iseni Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444

KIPIMO CHA KUCHUNGUZA MIRIJA YA UZAZI K**A IMEZIBA (HSG) Je Unachangamoto ya Kubeba Ujauzito na Pengine unahitaji Kipimo...
21/10/2025

KIPIMO CHA KUCHUNGUZA MIRIJA YA UZAZI K**A IMEZIBA (HSG)
Je Unachangamoto ya Kubeba Ujauzito na Pengine unahitaji Kipimo cha Kuangalia k**a Mirija yako ya uzazi k**a imeziba au haijaziba
Tunapenda kukujulisha kuwa Huduma hii inapatikana kila siku
Tunapatikana Kituo cha daladala Iseni Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444

HUDUMA ZA KIPIMO CT SCAN1. Unapata Maumivu ya Muda mrefu ya Mgongo, Kiuno, Kichwa?2. Umepata kiharusi na kupooza3. Umepa...
20/10/2025

HUDUMA ZA KIPIMO CT SCAN
1. Unapata Maumivu ya Muda mrefu ya Mgongo, Kiuno, Kichwa?
2. Umepata kiharusi na kupooza
3. Umepata Ajali na kuumia maeneo mbali mbali ya Mwili ikiwemo uti wa Mgongo?
4. Una uvimbe maeneo mbali mbali ya mwili ikiwemo Ubongo na tumbo?

K**a Jibu ni ndiyo, kuna uwezekano mkubwa unahitaji kipimo cha CT Scan ili upate matibabu sahihi. Tunapenda kukujulisha kuwa Huduma hizi zinapatikana saa 24 kila siku

Tunatoa huduma kwa WAGONJWA WANAOLIPA FEDHA TASLIM na wanachama wa JUBILEE, BRITAM, ASSEMBLE, CIGNA, UNISURE na NHIF

Tunapatikana Kituo cha Daladala Iseni Butimba Mwanza

☎️ 0744-442-444

Unapata maumivu makali Katika Goti kwa muda mrefu ambayo hayaponi kwa matumizi ya dawa pekee? Pengine umeambiwa Uteute u...
14/10/2025

Unapata maumivu makali Katika Goti kwa muda mrefu ambayo hayaponi kwa matumizi ya dawa pekee? Pengine umeambiwa Uteute umepungua, Mifupa ya Goti imelika na nafasi imepungua k**a inavyoonekana katika picha ya CT Scan ya mgonjwa wetu hapa chini?

Tunalosuluhisho kwa ajili yako, Tembelea kliniki yetu ya mifupa kwa ushauri, uchunguzi na matibabu yakiwemo ya Kubadilisha Goti

Tunatoa Huduma kwa wagonjwa wanaolipa FEDHA TASLIM na wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA na UNISURE

Tunapatikana kituo cha daladala ISENI, BUTIMBA MWANZA
☎️ 0744-442-444

UMEKUWA UKIPATA MAUMIVU YA MGONGO au UMEVUNJIKA UTI WA MGONGO?umekuwa ukitumia dawa bila kupona au unapata nafuu ya Muda...
13/10/2025

UMEKUWA UKIPATA MAUMIVU YA MGONGO au UMEVUNJIKA UTI WA MGONGO?
umekuwa ukitumia dawa bila kupona au unapata nafuu ya Muda mfupi? Baadhi ya sababu ni kupungua, kugongana, kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo, maambukizi ya TB au Saratani
Mfano halisi wa kupungua kwa nafasi katika pingili za uti wa mgongo ni k**a inavyoonekana katika Picha halisi ya CT Scan ya Mgonjwa wetu

Tunashauri utembelee kliniki yetu ya Daktari Bingwa Bobezi wa Upasuaji wa Mgongo, Uti wa Mgongo, na Mishipa ya fahamu kwa ushauri, Uchunguzi na matibabu

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, BRITAM, ASSEMBLE, NHIF, CIGNA, UNISURE na wanaolipa FEDHA TASLIM
Tunapatikana kituo cha daladala Iseni, Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444

Habari. Tunawatakia Wiki njema yenye afya tele. Ikiwa unahitaji huduma za Afya usisite kututembelea Iseni Butimba Mwanza...
13/10/2025

Habari. Tunawatakia Wiki njema yenye afya tele. Ikiwa unahitaji huduma za Afya usisite kututembelea Iseni Butimba Mwanza Tupo Tayari Kukuhudumia
Tunatoa Huduma kwa wanachama wa JUBILEE, BRITAM, ASSEMBLE, NHIF, CIGNA, UNISURE na wanaolipa FEDHA TASLIM
☎️ 0744-442-444

Habari. Tunapenda kuwatakia Mapumziko mema ya Mwisho wa wiki. Tunawakumbusha tu kiwa ikiwa utahitaji huduma za afya sisi...
11/10/2025

Habari. Tunapenda kuwatakia Mapumziko mema ya Mwisho wa wiki. Tunawakumbusha tu kiwa ikiwa utahitaji huduma za afya sisi tupo hapa saa 24 kuwahudumia.
Tunatoa huduma kwa wanachsma wa JUBILEE, NHIF, ASSEMBLE, BRITAM, CIGNA, UNISURE na wanaolipa kwa fedha taslim
☎️ 0744-442-444

Bodi, Menejiment na watumishi wote Tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa kutuamini na kuchagua kuhudumiwa nasi. Tun...
10/10/2025

Bodi, Menejiment na watumishi wote Tunapenda kuwashukuru wateja wetu wote kwa kutuamini na kuchagua kuhudumiwa nasi. Tunapo adhimisha wiki ya Huduma kwa wateja, Tumepata nafasi ya kujifunza na kutambua mahitaji ya ninyi wateja wetu. Tutaendelea kuboresha huduma zetu kila siku ili tuweze kuzidi matarajio yenu

Tunawapenda sana 😍

Tunaendelea kutoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM , NHIF, CIGNA, UNISURE na WANAOLIPA FEDHA TASLIM

Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

Ikiwa unahitaji kipimo Cha CT Scan kwa Uchunguzi wa Magonjwa Mbali mbali Ikiwemo Ubongo, Uti wa Mgongo, Mishipa ya Faham...
08/10/2025

Ikiwa unahitaji kipimo Cha CT Scan kwa Uchunguzi wa Magonjwa Mbali mbali Ikiwemo Ubongo, Uti wa Mgongo, Mishipa ya Fahamu, Vimbe katika maeneo mbalimbali ya Mwili, Maungio na Mengineyo, Tunakujulisha kuwasiliana Huduma hizi zinapatikana saa 24
Tunatoa Huduma kwa wanachama wa JUBILEE, NHIF, ASSEMBLE, BRITAM, UNISURE, CIGNA na wanaolipa FEDHA TASLIM
Tunapatikana Kituo cha Dala dala Iseni Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444
Ungependa tukuoatie Huduma Hii?

HUDUMA ZA UPASUAJI WA UBONGO, UTI WA MGONGO, MISHIPA YA FAHAMU & UPASUAJI WA JUMLATunapenda kukujulisha kuwa tunaendelea...
06/10/2025

HUDUMA ZA UPASUAJI WA UBONGO, UTI WA MGONGO, MISHIPA YA FAHAMU & UPASUAJI WA JUMLA

Tunapenda kukujulisha kuwa tunaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wenye maradhi yafuatayo

1. Saratani (uvimbe), Damu kuvuja kwenye ubongo
2. Watoto wenye Vichwa maji na waliozaliwa na mgongo wazi
3. Kiharusi na kupooza
4. Uvimbe, maumivu, na kuvunjika kwa uti wa mgongo
5. Ngiri, Busha, bawasiri, utumbo kujifunga, uvimbe maeneo mbali mbali ya mwili, na magonjwa mbali mbali ya upasuaji wa jumla

Tembelea Kliniki yetu kila siku Jumatatu hadi Ijumaa
Tunapatikana kituo cha daladala Iseni, Butimba Jijini Mwanza

Wasiliana nasi kwa namba 0744-442-444

NEURO & GENERAL SURGERY SERVICES

We would like to inform you that we continue to provide services to patients with the following diseases

1. Cancer (tumor), Bleeding in the brain
2. Children with hydrocephalus and those born with Spinal Bifida
3. Stroke and paralysis
4. Swelling, pain, and spinal fractures
5. Hernia, hemorrhoids, intestinal obstruction, swelling in various parts of the body, and various general surgical diseases

Visit our Clinic every day Monday to Friday
We are located at the Iseni, Butimba, Mwanza City, Daladala Center

Contact us at 0744-442-444

UPASUAJI WA KUBADILISHA NYONGA & GOTIHizi ni picha za X Ray za Mgonjwa wetu 1. kabla ya upasuaji inayoonyesha Jinsi 'Shi...
04/10/2025

UPASUAJI WA KUBADILISHA NYONGA & GOTI
Hizi ni picha za X Ray za Mgonjwa wetu
1. kabla ya upasuaji inayoonyesha Jinsi 'Shingo' na 'Kichwa' cha Mfupa wa Nyonga (Femur) wa upande wa kulia 'vilivyoharibika' ukilinganisha na upande wa Kushoto
2. Baada ya Upasuaji ikionyesha akiwa tayari amebadilishiwa nyonga kwa kuwekewa kifaa mbadala (Inplant)

Ikiwa una ndugu jamaa au rafiki anayepata maumivu ya Goti/Nyonga ya Muda mrefu ambayo hayaponi kwa dawa pekee, tunashauri utembelee kliniki yetu ya upasuaju wa Mifupa

Tunatoa huduma kwa wanachama wa JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA na Wanaolipa fedha Taslim

Tunapatikana kituo cha daldala Iseni Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444

TOTAL HIP & KNEE REPLACEMENT SURGERIES
These are X-Ray images of our Patient
1. Before surgery showing how the 'Neck' and 'Head' of the Femur on the right side 'deteriorated' compared to the left side
2. After surgery showing that he has already had a hip replacement with an implant

Incase you have a relative or friend who has chronic knee/Hip pain that does not improve with medication alone, we recommend that you visit our orthopedic surgery clinic for Consultations

We provide services to JUBILEE, ASSEMBLE, BRITAM, NHIF, CIGNA, UNISURE, GA members and Cash paying clients

We are located at Iseni Butimba Mwanza
☎️ 0744-442-444

Address

Iseni Butimba
Mwanza
5282

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanite Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category