18/07/2022
TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI
MAWASILIANO; +255744002870
Wanaume wote wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka 50.
Kutanuka kwa tezi dume (Prostate Enlargement)
Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa, na Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume. Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.
Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka.
DALILI ZA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
🍎Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo
🍎Mtiririko dahifu wa mkojo
🍎Kukojoa kwa shida
🍎Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo
🍎Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza
🍎Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla
🍎Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo
🍎Pressure ya Mkojo kua ndogo
Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunashabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tezi iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.
MADHARA YA UVIMBE WA TEZIDUME
📌 kuugua UTI, kutokana na kuwa wadudu k**a bakteria waliomo kwenye njia ya mkojo hawataweza kusukumwa nje wakati wa kukojoa, .
📌Mkojo kushindwa kabisa kutoka
📌Madhara kwenye kibofu na figo
📌Upungufu wa Nguvu za kiume, na kushindwa kuhimili tendo
📌Kansa ya Tezi dume & Kufanyiwa upasuaji wa mara kwa mara.
📌Huweza kusababisha kupoteza maisha K**a utashindwa kutibu tezi dume
TIBA YA UVIMBE WA TEZIDUME
🌀Tiba ya tezi hutolewa kulingana na hali iliyofikiwa.
🌀Piga simu kwa Mshauri ili kupata ushauri nasaha na uhakika wa tiba iokoayo bila upasuaji
Mshauri: +255744002870