15/04/2023
Matatizo ya macho yanaendelea kuongezeka katika jamii kila kukicha , je wewe ni miongoni mwa watu wenye matatizo ya macho?
Naitwa DENIS KAILEMBO ni OPTOMETRIST mtaalamu wa afya ya macho . ninatoa huduma ya afya ya macho kwa watoto na watu wazima.
Hakika utakubaliana na mimi kua matatizo ya macho yanaongezeaka katika jamii kila kukicha , dalili za matatizo hayo ni k**a macho kutoweza kuona mbali, kushindwa kusoma maandishi madogo , macho kuwasha ,kuuma kua mekundu na kutoa machozi mara kwa mara. Macho kuogopa mwanga, ila pia macho kuota vinyama kwenye weupe
Matatizo hayo ya macho ni k**a uoni hafifu wa mbali na karibu, mtoto wa jicho, presha ya macho, vinyama machoni n.k
Matatizo haya usababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo umri , kazi zetu pamoja na mazingira tunayo ishi.
K**a wewe ni miongoni mwa watu wenye dalili zozote za shida ya macho , Tuma ujumbe inbox ukianza na neno MACHO kisha nitawasiliana na wewe na kujua Zaidi unasumbuliwa na nini na kukufahamisha jinsi ya kutatua na kujirinda dhidi ya maradhi ya macho
ASANTE SANA