Edna_Afya_Uzazi

Edna_Afya_Uzazi Ninawasaidia Wanawake WA Maofisini wenye changamoto ya mvurugiko wa homoni "hormone Imbalance" kwa kutumia mpangilio wa chakula na tiba lishe

Uke wenye afya ni ishara ya mwanamke anayejiweka vizuri – kimwili na kiafya.  Sifa tano muhimu ni:  1. Harufu ya kawaida...
12/11/2025

Uke wenye afya ni ishara ya mwanamke anayejiweka vizuri – kimwili na kiafya.
Sifa tano muhimu ni:
1. Harufu ya kawaida (si kali wala chungu)
2. Uwepo wa ute wa kawaida
3. Hakuna muwasho wala maumivu
4. Hupata hedhi kwa mpangilio
5. Hauna uvimbe au vipele visivyoeleweka

Jitunze, jifunze na fanya uchunguzi wa mara kwa mara. Afya yako ni kipaumbele!

Kukosa kuona siku zako kwa muda mrefu bila sababu ya ujauzito ni dalili ya tatizo la kiafya.Hali hii inaweza kusababishw...
12/11/2025

Kukosa kuona siku zako kwa muda mrefu bila sababu ya ujauzito ni dalili ya tatizo la kiafya.
Hali hii inaweza kusababishwa na matatizo ya homoni, uzito kupita kiasi, msongo wa mawazo, PCOS au matatizo ya kizazi.
Ikiachwa bila tiba, inaweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito, kusababisha uvimbe wa kizazi, au matatizo ya mifumo mingine ya mwili. Usikae kimya.

Wasiliana nasi Namba 0750451050 kwa ushauri na tiba zaidi

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yohane Pamagila, Elisha Siwiti, Happy Kadege, Jonh Jonh, ...
03/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yohane Pamagila, Elisha Siwiti, Happy Kadege, Jonh Jonh, M'mùnga Romain, Ďerry Mikel

uchafu mweupe mzito ukeni ni ishara mbaya kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuwa mama,kwani huashiria maambukizi kwenye via v...
22/07/2025

uchafu mweupe mzito ukeni ni ishara mbaya kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuwa mama,

kwani huashiria maambukizi kwenye via vya uzazi, maambukizi ambayo huzuia ukuaji wa utando ndani ya mfuko wa uzazi(endometrium) na kuotesha uvimbe wa usaha ndani ya mirija,

Hali ambazo hupelekea mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi na utokaji wa mimba, kushindwa kushika mimba na kutolewa kwa kizazi,

bahati mbaya zaidi wengi hamjui na mnahisi ni mabadiliko tu ya mwili na ipo siku yatapotea ila ukweli wa mambo ni ugojwa hatari sana.

*JIFUNZE KITU HAPA*👇Period siyo ugonjwa kila mwanamke lazima aingie period awe amejiandaa au hajajiandaa.Kwa kuwa siyo u...
22/07/2025

*JIFUNZE KITU HAPA*👇

Period siyo ugonjwa kila mwanamke lazima aingie period awe amejiandaa au hajajiandaa.

Kwa kuwa siyo ugonjwa hautakiwi kupata dalili yoyote, kuumwa popote kuwa umekaribia au upo period.

Siyo kiuno, siyo tumbo, siyo kichwa, siyo chunusi, siyo maziwa kujaa au kuuma.

Haitakiwi.❌

Ni ugonjwa pekee ndiyo una dalili lakini period siyo ugonjwa.

Ukiona umepata dalili kuwa umekaribia period na ukaingia ujue kuna kitu hakipo sawa hata k**a siyo kikubwa lakini kipo.

Watu hawaamini k**a unaweza kuingia period bila kuumwa chochote lakini baada ya kutumia juisi wameamini.

Mfano 👇

Ukiumwa tumbo, kiuno, nyonga, ukikaribia au ukiwa period *hilo ni chango la Uzazi.* juisi ya bamia na chai ya mchaichai inakuhusu.

Ukiona maziwa yamejaa, yanatoa maji maji, yanauma au yanatoa maziwa kabisa ukikaribia au ukiwa period hiyo ni mvurugiko wa homoni. Tena ni prolactin homoni ipo juu ndiyo maana inafanya maziwa yaume, wengine kujaa, wengine kutoa maji maji na baadhi kutoa maziwa maziwa kabisa ilihali siyo WAJAWAZITO wala hawanyonyeshi hasa wanapokaribia au wawapo period.

Kwa ufupi *period siyo ugonjwa hivyo hutakiwi kupata dalili yoyote au maumivu yoyote kuwa umekaribia kuingia period au upo period.*🙏

*JE, WAJUA?.*

Period/hedhi nzuri kwa mwanamke inatakiwa iwe:.

1. Itoke siku 3 mpaka 5 lakini isizidi siku 7.

2. Itoke damu ya kawaida isiwe na mabonge, isiwe nyeusi wala isiwe na harufu yoyote.

3. Usipate maumivu yoyote au ishara yoyote kuwa umekaribia au upo period.
Mfano: Tumbo lisiume, kiuno kisiume pia maziwa yasiume, yasijae, yasitoe maziwa au majimaji.

4. Isitoke damu matone kiasi kuwa ushinde na pedi moja tu siku nzima. (Kawaida kwa siku unatakiwa ubadili pedi 3 mpaka 4).

5. Zinaweza kupishana tarehe lakini idadi ya siku kuufanya mzunguko wako kuwa wenye siku zinazofanana kila mwezi.

6. Usiruke wala kupitisha mwezi bila kuingia period ilihali wewe siyo mjamzito.

7. Usiingie period mara mbili au zaidi ndani ya mwezi mmoja.

*Je, wewe hali ya period/ hedhi yako ikoje namba ngapi inakuhusu hapo?.*

*JINSI YA KUSAFISHA UKE ILI USIWE UNATOA HARUFU MBAYA.*🤧🤧Sehemu za siri  za mwanamke zimegawanyika katika sehemu kuu mbi...
22/07/2025

*JINSI YA KUSAFISHA UKE ILI USIWE UNATOA HARUFU MBAYA.*🤧🤧

Sehemu za siri za mwanamke zimegawanyika katika sehemu kuu mbili.

Kuna sehemu ya nje (Outer part) na kuna Sehemu ya ndani (Inner part).

Hivo basi hata katika kusafisha uke wako unatakiwa kuzingatia kwa makini maeneo haya. Sehemu ya ndani pamoja na sehemu ya nje. *Sehemu ya ndani ya uke hairuhusiwi kuoshwa au kuguswa na kitu chochote k**a sabuni nk.*

Kwani sehemu hii hujisafisha yenyewe (self cleansing) na kutoa uchafu nje, hivyo sehemu ya kuosha ni sehemu ya nje ya uke tena kwa uangalifu mkubwa.

Vitu vingine vya kuzingatia ili kulinda uke wako👇

1. Usifukize na moshi, maji ya moto, sabuni.

2. Usiingize vidole vyako ukeni wakati wa kujisafisha bali kwa juu kwenye mashavu na kwa ndani kidogo lakini usijichimbe sana.😀

3. Jisafishe kuanzia mbele kwenda nyuma kwenye njia ya haja kubwa na siyo kuanzia kwenye njia ya haja kubwa kuja mbele ukeni.❌

4. Usipulizie marashi yoyote ukeni.

5. Meza punje tatu za vitunguu swaumu na tatu jioni kwa wale wanaotoa harufu mbaya ukeni aidha baada ya kushiriki tendo au hata kabla ya kushiriki tendo na maji mengi ya kunywa.

6. K**a changamoto ina mda mrefu tumia chai ya mchaichai, tangawizi na asali kila siku asubuhi na jioni utakuwa salama na harufu itaisha.

7. Vaa nguo za ndani zilizokauka vizuri na usirudie nguo kabla ya kuifua.

Ukizingatia hili hata viupele vya fangasi, miwasho na UTI ya kujirudia rudia haitakusumbua tena na uke utakuwa mzuri.💋💃

*Kipi ulikuwa unakosea katika kusafisha uke wako?.*

NDIYO PID ni chanzo cha.Saratani ya shingo ya kizazi ana kansa ya kizazi.Kuziba na kujaa maji kwenye mrija.Kushindwa kup...
21/07/2025

NDIYO PID ni chanzo cha.

Saratani ya shingo ya kizazi ana kansa ya kizazi.

Kuziba na kujaa maji kwenye mrija.

Kushindwa kupata mimba kiwepese

Mimba kutungwa nje ya kizazi.

Chukua hatua ya kuanza matibabu leo. Tuma sms *NATAKA KUANZA MATIBABU LEO*

Address

Bodi Ya Pamba
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Edna_Afya_Uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram