30/06/2021
🍀BAWASILI/MGOLO🍀
☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.
☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles
🍀AINA ZA BAWASILI🍀
👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.
👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.
☇Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo
👉Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida
👉Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)
👉Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.
👉 Daraja la 4. Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.
🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi
🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu
🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia
🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja kubwa.
👉MATIBABU👇
MATIBABU YA TATIZO HILI HUHUSISHA UPASUAJI KWA KUKATWA KINYAMA. BAHATI MBAYA NI KWAMBA UKIKATWA BAADA YA MUDA MFUPI KINARUDI TENA NA MADHARA YAKE YANABAKI VILE VILE MAKUBWA CHANZO CHAKE HAKIJATAMBULIWA BADO.
👉👉Tiba iliyothibitishwa inatoa matokeo mazuri kwa watu wenye matatizo haya
Tumia constirelax na novel depile kutoka bf suma