16/03/2023
🍎🍎JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI?
Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao.
Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.
🍎🍎VYANZO VYA SUMU MWILINI
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana
🍏Matumizi ya dawa mara kwa mara
🍏Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
🍏Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
🍏Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
🍏Matumizi ya madawa makali.
🍏Uzito mkubwa
🍏Mitindo ya maisha
🍏Njia za uzazi wa mpango za kisasa
🥭🥭DALILI ZA KUWA SUMU MWILINI
🍎Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
🍎Kuwa na uzito wa kupindukia
🍎Kutopata choo au kupata choo kigumu
🍎Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
🍎Kichwa kuuma kila mara
🍎Kupata miwasho sehemu mbali mbali za mwili
🍎Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
🍎Kuwa na hasira mara kwa mara.
🍎Tumbo kujaa gesi nk
🥭🥭MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
🍎Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🍅Kupata maambukizi ya figo
🍎Kupata maambukizi ya Ini
🍎Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
🍎Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
🍎Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
🍎Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
🍎Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
🍏🍏SULUHISHO LA KUDUMU
Kwa watu wenye changamoto hizo tumewaandalia tibalishe / virutubisho muhimu ili kuondokana na matatizo hayo.
Bidhaa hii ni asili iliyo tengenenzwa kwa ubora wa hari ya juu sana,,ni salama kwa mtumiaji na haina madhara kwa mtumiaji.
🌶🌶FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI.
🍏Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke
🍏Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.
🍏Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya na kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na laini.
🍏Huondoa uchovu Na kuupa nguvu.
🍏Huondoa sumu zote mwilini
🍏Inaimarisha ubongo na kutunza kumbu kumbu
🍏Inaondoa madhara ya pombe na kulinda ini na figo
🍏Inaondoa mafuta yaliyo zidi mwilini
🍏Inazuia kuota kitambi baada ya kuitumia
🍏Inaondoa sukari iliyo zidi mwilini
🍏Ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu(presha)
Tupo dar es salaam mlimani city na mikoa yote tanzania,tupigie simu yetu kwa msaada wa tiba na ushauri.
Whatsap no,0769229000.