Bwima Institute of Health and Allied Sciences

Bwima Institute of Health and Allied Sciences Bwima Institute of Health and Allied Sciences is a training institute Accredited and recognized by NACTE and MoHCGEC with registration number HAS/151

20/06/2018
02/10/2015

MATOKEO YA AWALI KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA AFYA
Date Posted: 28th September 2015 13:54:10 Posted By: NACTE


MATOKEO YA AWALI KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA AFYA

1. Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa ngazi ya Cheti (Astashahada) na Diploma (Stashahada) kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) kuwa, Uteuzi wa awali umefanyika na waombaji 9306 kati ya 21228 wameteuliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Matokeo ya uteuzi huo yanapatikana katika kurasa binafsi (Profiles) za waombaji.

2. Waombaji wote ambao wamechaguliwa katika awamu hii wanapaswa kuthibitisha kuwa wataripoti katika vyuo walivyopangiwa na mwisho wa kuthibitidha ni Ijumaa tarehe 16 Oktoba 2015. Iwapo muombaji hatathibitisha, nafasi hiyo itatolewa kwa mwingine. Kuweza kuthibitisha bonyeza hapa

3. Kwa wale ambao bado hawajapangiwa vyuo, kurasa binafsi zenu zina maelezo yenye sababu za kutopangiwa chuo katika awamu hii na maelekezo ambayo unatakiwa kuyatekeleza ili mfumo utakapochakata uteuzi wa awamu nyingine siku ya Jumatatu 19 Oktoba 2015 idadi kubwa zaidi ya waombaji iweze kupangiwa vyuo kwani hadi sasa nafasi zipatazo 11566 hazijajazwa.

Imetolewa na:

Katibu Mtendaji

Baraza la Taifa la Elimu yaUfundi (NACTE)

27 Septemba 2015
source : http://nacte.go.tz/en/update.php?id=1443437862&slug=MATOKEO-YA-AWALI-KWA-WALIOCHAGULIWA-KUJIUNGA-VYUO-VYA-AFYA

Address

Mwanza
33204

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bwima Institute of Health and Allied Sciences posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bwima Institute of Health and Allied Sciences:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram