06/02/2026
🧠 JE, UNASIKIA GANZI, KUWASHA AU MAUMIVU KWENYE MIKONO AU MIGUU?
Huenda ni Peripheral Neuropathy.
👨🏽⚕️ Njoo umuone daktari bingwa wa magonjwa ya mishipa ya fahamu (Neurologist) kwa uchunguzi na ushauri wa kitaalamu.
📍 Mahali: Manjis Healthcare
📅 Tarehe: 6, 7 & 8 Februari 2026
📌 Nkomo Street, karibu na NBC Bank (Liberty)
🔹 Dalili zinaweza kujumuisha:
• Kuwashwa kwenye nyayo za miguu
• Ganzi mikononi au miguuni
• Maumivu au kuchoma k**a umeme
• Udhaifu wa misuli
📞 Piga simu kwa miadi: 0788 111 910
👉🏽 Usipuuzie dalili — afya yako ni muhimu.
Karibu Manjis Healthcare 💜