15/02/2022
TATIZO LA UKE MKAVU
MSHAURI: 0745871404 / / 0785226517
Uke mkavu: ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi yaani ESTROGEN HORMONES ambayo huleta ute na vilainishi vya uke.
⚫Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wa wastani ambao hufanya uke kubana, kuleta joto na raha katika tendo la ndoa.
VISABABISHI VYA UKE MKAVU
⏩Upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi
⏩Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, gonorea n.k
⏩U.T.I sugu
⏩Fangasi sugu ukeni
⏩Uke mchafu
⏩Matumizi ya sabuni zenye kemikali kusafishia uke
⏩Matumizi ya pedi zisizo na viwango.
DALILI ZA UKE MKAVU
⏩Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
⏩Kutokwa na damu wakati/ baada ya tendo la ndoa
⏩Kukosa/ kupungua hamu ya tendo la ndoa
⏩Maumivu ya chini ya kitovu wakati wa tendo
⏩Maumivu ya mifupa na viungo yasiyoisha
⏩Kuwa na ngozi kavu
⏩Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio maalum
⏩Kutofurahia tendo la ndoa
MADHARA YA UKE MKAVU
⏩Upungufu/ kiwango kidogo/ uwiano mbaya wa homoni za uzazi estrogen, progesterone, Endrogen, Testosterone, n.k (HORMONES IMBALANCE )
⏩kutoshika mimba
⏩Siku za hedhi kuto kuwa na mpangilio maalum
⏩Ni rahisi kushambuliwa na maambukizi katka mfumo wa uzazi k**a PID,PCOS n.k
JIBU LA TATIZO LA UKAVU UKENI LINAPATIKANA HIVYO USISITE KUJA KUPATA TIBA KWA KUWASILIANA NASI 0785226517/0745871404