13/12/2025
Faida za Edmark Café Troika
(Troika ina mchanganyiko wa Ginseng, Ganoderma na kahawa maalum)
Kwa ujumla:
• Huongeza nguvu na stamina ya mwili
• Huboresha mzunguko wa damu
• Husaidia kupunguza uchovu na stress
• Huongeza umakini na uwezo wa kufikiri
Kwa mwanaume:
• Huongeza nguvu za kiume kwa muda mrefu
• Husaidia afya ya mfumo wa uzazi
• Huimarisha mwili na kuongeza confidence
Kwa mwanamke:
• Huongeza nguvu ya mwili na hamasa ya kazi
• Husaidia kupunguza uchovu wa homoni
• Huboresha hali ya mwili kwa ujumla
Dalili za awali (ni kawaida):
• Mkojo au jasho kuwa na harufu ya Ginseng
• Kuhisi joto au nguvu zaidi mwilini
(Hizi ni ishara kwamba mwili unaanza kufanya detox na kusambaza virutubisho)
⸻
Faida za Edmark Cocollagen
Kwa ngozi na urembo:
• Husaidia kurudisha elasticity ya ngozi
• Hupunguza mikunjo na dalili za kuzeeka
• Huipa ngozi glow ya asili na ulaini
Kwa afya ya mwili:
• Huimarisha mifupa na viungo (joint support)
• Husaidia afya ya nywele na kucha
• Huboresha unyevunyevu wa ngozi (hydration)
Kwa wanawake hasa:
• Husaidia ngozi wakati wa mabadiliko ya homoni
• Inafaa kwa wanaopitia dalili za menopause
• Husaidia kujiamini kutokana na mwonekano bora wa ngozi