SEMY Medica CARE

SEMY Medica CARE Ushauri na Matibabu sahihi ya magonjwa ya kinamama, wazee na watoto.

03/11/2021

Maumivu makali wakati wa hedhi ni dalili ya kua na magonjwa katika mfumo wa uzazi, muone daktari mapema kwa kujali afya yako.

10/10/2021

NAMNA YA KUPONA VIDONDA VYA TUMBO NDANI YA SIKU 7.
Huu ni ugonjwa unaopelekea ongezeko la asidi tumboni na kupelelea vidonda kwenye kuta za tumbo,
Ungonjwa huu unawapata zaidi watu wasio na tabia nzuri ya kula (kuto kula kwa wakati, kupitisha muda wa kula, kutozingatia ulaji wa chakula rafiki kwa tumbo), pia maambukizi ya bakteria (H, pylori) na pia watu wenye mawazo sana.
Dalili mbalimbali zinaweza kumpata mtu mwenye vidonda vya tumbo ni- tumbo kuunguruma, tumbo kuwaka moto, kutokupata choo, kiungulia, kichefuchefu, kutapika, maumivu makali yanayoelekea kifuani.
Ugonjwa huu unaweza kupona ndani ya siku 7 chini ya uangalizi mzuri wa daktari, WASILIANA NASI KWA MATIBABU SAHIHI👇👇👇

09/10/2021

Usipotumia chakula k**a dawa utakuja kutumia dawa K**a chakula.
Afya yako ni muhumu

02/10/2021

Ugumba ni miongoni mwa madhara makubwa ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango, muone daktari mapema K**a una tatizo la kutopata mtoto.

22/09/2021

Ukiona unapata maumivu makali sana wakati wa hedhi ujue sio kawaida, ni magonjwa yaliopo kwenye mfumo wako wa uzazi
Haraka muone daktari.....

Kuna ulazima mkubwa sana wa watanzania kuzingatia kula matunda, hupungukiwi kitu Bali unaboresha Kinga ya mwili na AFYA ...
21/09/2021

Kuna ulazima mkubwa sana wa watanzania kuzingatia kula matunda, hupungukiwi kitu Bali unaboresha Kinga ya mwili na AFYA kwa ujumla.
Afya yako ni muhimu kwako na kwa wenzako, jali afya yako na zingatia kula matunda.

Kua makini sana na AFYA ya mwanao sio wewe tu Bali jamii nzima inamtegemea. Jali afya yako na familia yako
20/09/2021

Kua makini sana na AFYA ya mwanao sio wewe tu Bali jamii nzima inamtegemea.
Jali afya yako na familia yako

17/09/2021

Kufanya ngono salama kutakuepusha na magonjwa mengi ya zinaa,
Je unafahamu ugonjwa gani wa zinaa?

16/09/2021

Afya isiwe changamoto kwako kwenye kutekeleza majukumu yako.
Afya kwanza

Upcoming hero
16/09/2021

Upcoming hero

16/09/2021

Thamani yako katika dunia ni kubwa sana na bado kuna mengi unapaswa kuyafanya na wapo wengi wanakutegemea,
Jaliafyayako

Address

Mwanza

Telephone

+255626004262

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SEMY Medica CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram