Tiba asilia na Dr Victoria

Tiba asilia na Dr Victoria SULUHISHO LA MAGONJWA MBALI MBALI KUPITIA TIBA ASILIA

K**a mwanamke alievunja ungo tayari,  ni haki yako kupata hedhi kila mwezi k**a;‼️Sio mjamzito 🤰🏻‼️Hunyonyeshi 👩‍🍼‼️Huja...
17/07/2025

K**a mwanamke alievunja ungo tayari, ni haki yako kupata hedhi kila mwezi k**a;
‼️Sio mjamzito 🤰🏻
‼️Hunyonyeshi 👩‍🍼
‼️Hujafikia ukomo wa hedhi🩸

Vinginevyo k**a huna sababu hizo, inatakiwa utambue kwamba hiyo ni shida ya mvurugiko wa homoni

Hivi ni baadhi ya sababu za mvurugiko wa homoni kutokea;
✔️Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
✔️Matumizi ya vidonge vya dharura vya kuzuia mimba maarufu k**a P2 kiholela

✔️Lishe duni
✔️Uzito mdogo au uzito kupita kiasi
✔️Magonjwa yanayokulazimu kutumia dawa zenye kemikali kwa mda mrefu

✔️Mzunguko mbovu wa damu na kushindwa kwa vichocheo (homoni) mwilini

Mbali na kukosa baadhi ya vipindi vyako vya hedhi, dalili zingine za mvurugiko wa homoni ni;
👉Uke mkavu wakati wa tendo la ndoa
👉Kupoteza hisia za kushiriki tendo la ndoa

👉Kutohisi radha yoyote ya tendo la ndoa unaishia kufanya mradi tu kumridhisha mwanaume wako huku ukiugulia maumivu makali

👉Mzunguko wa hedhi kutoeleweka
👉Kuhisi maziwa kujaa na wakati mwingine kutoa maziwa wakati si mjamzito wala hunyonyeshi

👉Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi
👉Kutokwa na hedhi kidogo k**a matone au nyingi kwa mda mrefu kiasi cha kusababisha kizunguzungu, maumivu ya kichwa

👉Kupata hedhi mara 2 ndani ya mzunguko wako mmoja au kukosa kabisa baadhi ya vipindi vyako vya hedhi
👉Kujawa na hofu na wasiwasi

K**a umefika hospitali kwa hayo na ukapewa dawa lakini hazijakusaidia chochote, Tunayo Dawa maalum *(Female plus)* kwa ajili ya changamoto zote za uzazi kwa mwanamke garama yake ni 180,000/= Tsh Kwa Dozi,nusu dozi pia ipo 90,000

K**a una changamoto hizo, usisite kuwasiliana na *DR VICTORIA* msaada zaidi

Mawasiliano ni 0654498254

*Victoria healthcare*🌿
Suluhisho la Afya yako

Ujue Mzunguko wako pia siku zako za hatari. Siku za hatari ni muhimu Sana kwa ajili ya kutafuta Mtoto 🫄💃K**a Mzunguko wa...
17/07/2025

Ujue Mzunguko wako pia siku zako za hatari. Siku za hatari ni muhimu Sana kwa ajili ya kutafuta Mtoto 🫄💃

K**a Mzunguko wako haueleweki ,tarehe zina badilika badilika Nijulishe sasa 📲 0654498254

*Victoria healthcare* 🌿
Suluhisho la Afya yako

*DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS):*1.?️Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.2.?️Maumivu makali wa...
17/07/2025

*DALILI ZA MWANAMKE MWENYE UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS):*

1.?️Kupata damu nyingi wakati wa hedhi.

2.?️Maumivu makali wakati wa siku za hedhi.

3.?️Kuvimba miguu.

4.?Unaweza kuhisi una ujauzito.

5.?️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.

6.?️Kuhisi kuvimbiwa.

7.?️Kupata haja ndogo kwa taabu.

8.?️Kutokwa na uchafu ukeni.

9.?️ Kupata choo kigumu au kufunga choo.

10.?️ Maumivu nyuma ya mgongo.

?️Maumivu katika miguu ikiwa ni pamoja na miguu kuwaka moto.

12.?️ Upungufu wa damu.

13.?️ Maumivu ya kichwa.

14.?️ Uzazi wa shida.

15.?️ Kutopata ujauzito.

16.?️ Kuvimba sehemu ya chini ya tumbo.

17.?️ Maumivu ya nyonga.

18.?️ Mimba kutoka mara kwa mara (miscarriage).

19.?️ Kukojoa mara kwa mara kwan uvimbe huweka mgandamizo katika kibofu cha mkojo

20.?️ Hedhi zisizokuwa na mpangilio

*UNGANA NASI KUPATA TIBA YA UVIMBE BILA UPASUAJI PIGA 0654498254*👇

*Victoria healthcare*🌿
Suluhisho la Afya yako

*K**A UNATAFUTA UJAUZITO* 🫄🤰🏻Fanya hivi baada ya kutoka hedhi🩸   Chukua karafuu na uzitwange ili kupata unga wakeUtachuk...
14/07/2025

*K**A UNATAFUTA UJAUZITO* 🫄🤰🏻

Fanya hivi baada ya kutoka hedhi🩸
Chukua karafuu na uzitwange ili kupata unga wake

Utachukua unga wa karafuu kijiko kimoja cha chai, utatia kwenye kikombe cha maji ya moto au kwenye kikombe cha chai ya moto na kukoroga

Utakunywa kinywaji hiki asubuhi na usiku mpaka utapofika siku za hatari... Utashiriki kisha utaskilizia mwezi ujao k**a imenasa

Karafuu ina viambata muhimu vyenye kukusaidia kupevusha mayai siku za uzazi

Usisahau kuzingatia mlo wako, ikumbuke kachumbari, parachichi, bamia na mboga za majani
Usisahau pia kutumia iliki, mdalasini, tangawizi, mchaichai, manjano, pilipili manga, kotimiri n.k kwenye mapishi yako

K**a kuna changamoto ya uzazi na hujafahamu uitatue vipi na ungependa kupata msaada, tuandikie changamoto yako sasa kupitia 0654498254 au piga simu moja Kwa moja

K**a unaona mambo ya uzazi hayapo vizuri, Nitafute na utumie *Female plus*

Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo

- Inasafisha via vya uzazi.... inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi na kuondoa majimaji au uchafu na fangasi kwenye kizazi

-Inaondoa makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst)

- Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii inawasaidia wanawake kuondoa changamoto ya mvurugiko wa homoni wa wale wasiopata hisia za kufanya mapenzi, tatizo la uke mkavu, period kupishana, maziwa kujaa/kuuma damu ya hedhi kutoka mabonge, utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

Dozi hii unaitumia kwa siku 30

Tupo Mwanza,...mikoa mingine tunatuma Kwa uaminifu mkubwa

Kwa mawasiliano zaidi
PIGA SIMU 0654498254

N.B

Dawa za wanaume wenye changamoto za uzazi MEN FERTILITY pia ipo

Kawaida Kila mwezi mwanamke ambae alishavunja ungo anatakiwa kuingia period. Wengine miezi inapitiliza bila kuona hedhi ...
14/07/2025

Kawaida Kila mwezi mwanamke ambae alishavunja ungo anatakiwa kuingia period. Wengine miezi inapitiliza bila kuona hedhi na wanadhani ni jambo la kawaida, HAPANA HILO NI TATIZO
Nipigie nikusaidie 0654498254

Address

Mwanza
33314

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asilia na Dr Victoria posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram