18/11/2025
NI KOSA KUBWA MNO KUTOTUMIA MAJANI YA MPERA...
Hebu ona hapa chini
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
1. Hurekebisha mno afya ya moyo
2. Ni kitulizo kizuri kwa mwenye Kisukari
3. Ni bonge la tiba kwa Presha
4. Kwa mwenye shida ya mmeng'enyo wa chakula, atumie unga wa majani ya mpera atainjoy choo kila siku
5. Dawa nzuri ya vidonda vya TUMBO
6. Majani haya ni neema kwa UZAZI WA WANAUME, yanasaidia kulinda na kuzalisha mbegu zenye afya na mwendo
7. Usichokujua ni kwamba, majani haya pia ni KINGA dhidi ya KANSA. Yaani yanakimbizana na majani ya Msitafeli kwenye kukinga KANSA
Sasa tuambie kwanini hujaanza kutumia majani hayo?
Maana siyo lazima ununue, andaa mwenyewe majani hayo yaanike kivulini saga upate unga. Huo unga ugeuze uwe majani yako ya chai ila usiweke sukari.
Somo hili ni ushauri kwa afya yako, andaa mwenyewe unga huo kwa ubora tuliouelezea.
Sisi hatuuzi unga huo, jitahidi uandae mwenyewe
KWA WANAUME WANAOKOSA HISIA, HAWAWEZI KULIMUDU TENDO SABABU WANA NGIRI MNAWEZA KUFIKA OFISINI AU KUAGIZA TUTAKUTUMIA POPOTE DAWA YA NGIRI PAMOJA NA DAWA YA KUPANDISHA HOMONI, ZOTE KWA TSH 75,000
Ofisi yetu ipo Mwanza peke yake, fika hadi lilipo Kanisa Katoliki Mkolani, mbele yako utaona jengo la bluu limeandikwa Nyota Rays, ukilivuka tu hilo jengo utaona ofisi ina bango limeandikwa MASHA HERBAL
Simu || WhatsApp
0767925000 || 0622925000