Doctar Abubakar Health Clinic

Doctar Abubakar Health Clinic DOCTOR ABUBAKAR HEALTH CLINIC

Ninatoa Tiba ya Magonjwa Sugu kama:-
_U.T.I SUGU
_PID.
_Presha..
_sukari
_Shida ya Mfumo wa Mifupa
_Changamoto ya uzazi wanawake
.Mfumo wa uzazi kwa wanaume Kama
TEZI DUME,
HENIA
_Vidonda vya tumbo
_Bawasiri

magonjwa yote.
_Usafi binafsi
Afya ya ngozi na urembo

KARIBU SANA�

Hatuwezi kusahau yote yaliyoacha makovu kwenye mioyo yetu. Lakini kuna namna Mungu anatupa nguvu ya kusonga mbele. ✍️🙏By...
24/02/2023

Hatuwezi kusahau yote yaliyoacha makovu kwenye mioyo yetu. Lakini kuna namna Mungu anatupa nguvu ya kusonga mbele. ✍️🙏

By dr abuu

Talaka za siku hizi kiboko Mtu anaacha mke na watoto, inafika mwaka mtu hajui wanawe wanakula nini wala wanavaa nini, Ki...
24/02/2023

Talaka za siku hizi kiboko
Mtu anaacha mke na watoto, inafika mwaka mtu hajui wanawe wanakula nini wala wanavaa nini, Kisa kaachana na mama yao! Huo ni ushenzi

Jamana wamama na wadada pamoja na mabinti Nawakumbisha kwamba kizazi Cha Sasa uzazi ni washida mnoo acheni KUTUMIA p2 ac...
24/02/2023

Jamana wamama na wadada pamoja na mabinti Nawakumbisha kwamba kizazi Cha Sasa uzazi ni washida mnoo acheni KUTUMIA p2 acheni KUTOA MIMBA ovyo unaweza ukameza p2 Kwa kipindi hicho Ukaona umepatia maisha wapendwa ndoa bila mtoto ni kilio wahanga wengi wa WATOTO mkatubu dhambi zenu mlizozifanya nyuma Mungu hajaumba mgumba mrudieni Mungu wenu huenda siku uliyo meza p2 ndo Mungu alikuandalia mtoto huenda mimba ulizotoa ndo watoto aliokupangia Mungu katika yoye hakuna mkamilifu ila turudi Kwa Mungu kabla ya kulalamika na kuwaza nani kakuroga kumbuka na uliyoyafanya nyuma huko 👏👏👏👏👏👏👏

16/02/2023

Tuseme hivi wewe una kilo 70 na urefu wako ni sentimita 150 yaani mita 1.5..sasa chukua huo uzito gawanya na urefu kwenye mita..itakuwa hivi 70kg/(1.5m)²..jibu lake ni sawasawa na 31.1kg/m² yaani huyu ana uzito wa kupindukia aka kiribatumbo huyu p**o linamfaa...au tuseme una kilo 60 na urefu wako ni sentimita 154(1.54M) ....itakuwa hivi 60/(1.54m)² .jibu lake ni sawasawa na 25.2kg/m² huyu yeye ana uzito mkubwa... hiyo inaitwa BMI ndio wataalam huwa wanatumia kujua k**a wewe una uzito mkubwa au uzito mzuri...haya hebu pige hesabu na wewe uone uko wapi...k**a hesabu ilikupiga chenga andika kwenye comments hapo uzito wako na urefu wako nitakuambia ukoje...!

𝟭. KULA CHAKULA KIASI.Kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la...
16/02/2023

𝟭. KULA CHAKULA KIASI.

Kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la ndoa.

Epuka vyakula na vinywaji vinavyongeza nguvu kwani vitachangia kukuchosha wakati wa tendo.

2. USIBISHANE NA MWENZIO.
Hii itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo.

Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo.

3. USIWE NA HOFU JUU YA MWILI WAKO NA MAUMBILE YAKO.

Hii itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na

Jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wa mwenza wako unayoikubali zaidi.

4. USITEGEMEE MENGI NA MAZURI TU.

Kumbuka miili ya binadamu iko tofauti hivyo jiandae kukubaliana na lolote asa unapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza au na mpenzi mpya .

5. USIFANYE MAPENZI KIMYA KIMYA.

Ongea au toa sauti pale unaposkia raha itasaidia kuongeza hamu na kupata hamasa zaidi ya kumfurahisha mwenzio.

-

K**a umejifunza kitu, Save post hii Itakusaidia kwa Matumizi yako

Kwa msaada wa haraka wa changamoto zote za Afya ya Uzazi kwa Mwanamke,

NITUMIE UJUMBE WHATSAPP

0688172758, Dr abuu.

Vinginevyo makadirio ni tarehe 8 November
13/02/2023

Vinginevyo makadirio ni tarehe 8 November

Leo ni siku ya watu kondomu duniani..si mnakwenda sleep over...mkipaki panty zenu msiache kupack na kondomu..kwa  sleep ...
13/02/2023

Leo ni siku ya watu kondomu duniani..si mnakwenda sleep over...mkipaki panty zenu msiache kupack na kondomu..kwa sleep over na k**a umetumiwa nauli minimun ni 6..🤣🤣

Na mkumbuke zina ni dhambi unachukua lana za ukoo za yure unae enda kufanya nae ila pia tambua mwakaa nsensa ukimwi imeongezeka napita🙈🙈

Ukiona hii  kwenye  diaper jua mwanao hashibi.Hii sio damu, hii ni kemikali inaitwa urate crystal. Huwa inatokea siku ta...
24/01/2023

Ukiona hii kwenye diaper jua mwanao hashibi.
Hii sio damu, hii ni kemikali inaitwa urate crystal. Huwa inatokea siku tatu hadi nne za mwanzo baada ya mtoto kuzaliwa na k**a hapati maziwa ya kutosha. Dalili nyingi ambazo huwa zinaonyesha mtoto hashibi ni pamoja na mtoto kutoongezeka uzito, na mtoto anayeshiba anapata kupata mkojo angalau mara 1 siku ya kwanza baada ya kuzaliwa, mara mbili siku ya 2 nk..vipi umewahi kuona hivi kwenye diaper ya mwanao..?

Vipi wanawapa hela au wanataka period ivurugike😂😂...!?
24/01/2023

Vipi wanawapa hela au wanataka period ivurugike😂😂...!?

18/01/2023
Njia ya Kuchomoa ( Coitus Interruptus) Hii ni njia ya asili ya kuzuia mimba ambayo  mwanaume kabla ya kumwaga anachomoa ...
16/01/2023

Njia ya Kuchomoa ( Coitus Interruptus)
Hii ni njia ya asili ya kuzuia mimba ambayo mwanaume kabla ya kumwaga anachomoa uume wake kutoka kwenye uke na kuweka mbali kabisa na sehemu ya nje ya uke. Njia hii inazuia manii kuingia kwenye uke, na hivyo kuzuia mawasiliano kati ya mbegu na yai.
Njia hii inaweza kuwa mwafaka kwa wanandoa:
• ambao wana uthubutu wa hali ya juu na wanaweza kutumia njia hii kwa ufanisi;
• kwa sababu za kidini au za kifalsafa za kutotumia njia zingine za kuzuia mimba;
• wanaohitaji uzazi wa mpango kwa haraka iwapo wanataka kufanya ngono na hakuna njia nyingine za kuzuia mimba;
• wanaohitaji njia ya mpito wakati wakisubiri kuanza njia nyingine;
• ambao hawafanyi mapenzi mara kwa mara.

Sasa swali je anauthubutu wa kukuachia...au ndie baadae anakuomba msamaha..sorry baby nilizidiwa 🤣🤣

By dr abuu

Address

Mwenge
MLIMANTOWN

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 11:00 - 16:00
Saturday 11:00 - 14:00
Sunday 01:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctar Abubakar Health Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Doctar Abubakar Health Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram