14/12/2025
PCOS SIYO HUKUMU—NI ONYO LA MWILI LINALOHITAJI MSAADA SAHIHI.
Hedhi kupotea au kuja bila mpangilio, maumivu ya tumbo, chunusi, nywele zisizotarajiwa, kuongezeka uzito, na ndoto ya kuitwa mama kuanza kufifia—haya yote ni mateso ya PCOS kwa mwanamke.
PCOS huvuruga homoni, huzuia yai kupevuka vizuri, na huathiri ubora wa mayai—ndiyo maana mimba inakuwa ngumu au kuharibika mara kwa mara.
Habari njema? Mwili unaweza kurudishiwa balance, ovulation ikarejea, na uzazi kulindwa ukipewa msaada sahihi mapema.
Nipo hapa kukusaidia uanze safari ya kupona leo.
📞 +255 627 780 216