Edwin Mwambusye

Edwin Mwambusye I assist men and women facing various health challenges especially Blood System related challenges s

I assure my customers that our products/supplements are safe for Human consumption. Additionally for men and women facing Diabet problems, we don't have any food consuming conditions except instead of using normal shop sold Sugar we recommend the alternative use of honey

25/12/2023

Nawatakia heri ya Krismas na mwaka mpya ndugu zangu. Haijalishi unapitia nn jua Mungu yupo siku zote 🙏🙏🙏

24/12/2023

AGIZA NAMI

Kwa mahitaji ya magari yaliyotumika (used) kutoka Japan na UK, ushauri wa aina ya gari inayokufaa piga +255755155330/621387466 zote whatsaap.

Napatikana Jijini Mbeya Tanzania

09/02/2023

Good health, settled mind and positive fear to God matters alot for our well being!

Changamoto ya viungo na MIFUPA ni tatizo linalowatesa watu wengi. Changamoto hizi zinahusisha maumivu ya mgongo, kiuno, ...
31/01/2023

Changamoto ya viungo na MIFUPA ni tatizo linalowatesa watu wengi.

Changamoto hizi zinahusisha maumivu ya mgongo, kiuno, nyonga, magoti, mabega na gauti.

Kwa sababu ya kukosa fursa ya kupata taarifa sahihi juu ya tatizo hili watu wengi wamenakata tamaa na hawaamini iwapo Kuna siku watapona.

Ukweli ni kwamba changamoto hizo zinatibika kirahisi Sana kwa kutumia bidhaa salama zisizo na madhara yoyote kwa Afya yako.

Karibu nikushauri juu ya chanzo Cha tatizo lako, madhara ya kutotibu tatizo lako kwa wakati na namna bora ya kutibu tatizo hili. Nipigie kwa namba 0621387466 napatikana Mbeya Mjini.

10/02/2022
MADHARA YA UGONJWA WA UTIUTI ni kifupi cha maneno ya kingereza yaani "urinary track infection" ikiwa na maana ya maambuk...
14/07/2021

MADHARA YA UGONJWA WA UTI

UTI ni kifupi cha maneno ya kingereza yaani "urinary track infection" ikiwa na maana ya maambukizi katika mfumo mzima wa mkojo ikiwa ni pamoja na; Figo, Kibofu cha mkojo,njia ya mkojo, n.k

Uti isipotibiwa na kushambulia kwa muda mrefu huweza kusababisha madhara makubwa sana, Soma hapa kwenye makala hii kujua baadhi ya madhara ya ugonjwa wa UTI

MADHARA YA UGONJWA WA UTI ni Pamoja na;

- Kusababisha tatizo la Figo kuharibika kabsa na kushindwa kufanya kazi

- Kuongeza uwezekano wa mama mjamzito kujifungua mtoto kabla ya wakati yaani Premature birth au kujifungua mtoto mwenye tatizo la uzito mdogo sana(low birth weight)

- Kusababisha tatizo la njia ya mkojo kubana na kuwa ndogo zaidi kwa wanaume ambao hushambuliwa na tatizo hili la UTI mara kwa mara bila kupata tiba

- Mtu kupatwa na maambukizi makali ambayo hupelekea kuhatarisha maisha yake(sepsis), hasa pale mashambulizi ya bacteria yanapozidi kwenye njia ya mkojo na kupanda juu kwenye figo

BAADHI YA DALILI ZA UTI NI K**A VILE;

•.... mkojo kuchoma wakati wa kukojoa...• mtu kukojoa mara kwa mara na mkojo kutokutoka wote.....• joto la mwili kupanda au mtu kuwa na homa......• maumivu ya viungo,joint, misuli nk•... maumivu ya tumbo hasa upande wa kushoto....• mwili kuchoka kupita kiasi.....• maumivu makali ya kichwa nk....

Sawa sawa.......

Washirikishe na wengine....

Hello..nawatakiwa jumapili mbashara ©ushauri kwa akina mama baada ya kumnyonyesha mtoto jitahidi kumweka mtoto begani......
11/07/2021

Hello..nawatakiwa jumapili mbashara

©ushauri kwa akina mama baada ya kumnyonyesha mtoto jitahidi kumweka mtoto begani...hapa unakuwa unampasapsa mgongoni au unaufanyia massage mgongo wa mtoto,...ili kuweza kumtoa [kumcheulisha] ile hewa ambayo inaingia baada ya kunyonya ,hewa hii huingia sana kwa watoto wachanga hasa chini ya miezi 3 kipindi ambacho mtoto hawezi kuliweka au kulishikiria ziwa vizuri....hewa hi inaweza sababisha chango la tumbo kwa mtoto ...hivyo kufanya mtoto kulia sana na kunyonga nyonga tumbo...baada ya kujamba au..kukojoa ..au kujisaidia haja kubwa ndiyo mtoto hupata usingizi na kulala haswa wasaa wa usiku .....pia hufanya mtoto kufunga choo...

©angalia kielelezo cha pia hapo chini...

Address

Madaba-Ruvuma
Songea

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Edwin Mwambusye posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Edwin Mwambusye:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram