28/12/2022
Kuna tatizo kubwa kwa baadhi ya wadau wa Afya ni mtaji kutaka kupata Elimu sahihi juu ya magonjwa yanayosumbua Afya zetu na pia kupata ushauri sahihi kwa wakati sahihi sambamba na matumizi sahihi ya dawa.kwa kuzingatia Hilo tunatarajia kutumia wataalamu wetu kutoa Elimu ya Afya kwa umma hivi karibuni, kwa maoni yako maeneo gani Katika Afya yazingatiwe tunapokea maoni yako.