16/01/2026
Habari ndugu yangu đź‘‹
Natumaini unaendelea vizuri.
Nimekukumbuka kwa sababu kuna mkutano maalum wa mafunzo ya fursa za biashara unaofanyika:
📍 Mwenge – Dar es Salaam
đź“… 18 Januari 2026
⏰ Saa 07 mchana
Mafunzo haya yatasaidia kujifunza namna ya kuongeza kipato, kujiajiri na kujenga biashara endelevu.
Ningefurahi sana k**a ungepata nafasi ya kuhudhuria.
Je, utaweza kufika ili nijumuishe kwenye orodha ya washiriki?