Dr. Rujinama

Dr. Rujinama Nitafute kwa namba hii...0773420141 YouTube � https://youtube.com/channel/UCOyRiy0NkoHpedu7L6kBnRw

YouTube � https://youtube.com/channel/UCOyRiy0NkoHpedu7L6kBnRw
(Usiache KU_SUBSCRIBE CHANNEL YETU)
Kwa vipimo, matibabu pamoja na wale wanaohitaji kufanya kazi kwenye Kampuni yetu.

JOIN OUR BUSINESS TODAYEmpower Your Future. Build Economic Freedom.Are you ready to take control of your financial journ...
26/01/2026

JOIN OUR BUSINESS TODAY

Empower Your Future. Build Economic Freedom.
Are you ready to take control of your financial journey? Join a growing business community focused on knowledge, opportunity, and real impact.

Why Join Us?

Learn practical business skills

Access growth opportunities

Be part of a purpose-driven network

Build long-term economic empowerment

Who Can Join?

✔ Entrepreneurs ✔ Professionals ✔ Graduates ✔ Anyone ready to grow
Led by:

DR. RUJINAMA

Your journey to business success starts today.
📞 Contact us to get started 0773 420 141

*KWA NINI KYOOR?*Bidhaa hii ina faida zifuatazo kwa afya yako:* *Antioxidant:* Huondoa sumu mwilini.* *Anti-inflammatory...
21/01/2026

*KWA NINI KYOOR?*
Bidhaa hii ina faida zifuatazo kwa afya yako:

* *Antioxidant:* Huondoa sumu mwilini.
* *Anti-inflammatory:* Huzuia na kupunguza uvimbe.
* *Anti-cholesterol:* Hupunguza mafuta mabaya mwilini.
* *Anti-tumor:* Huzuia ukuaji wa vivimbe (tumors).
* *Anti-fungal:* Hupambana na magonjwa ya fangasi.
* *Hupunguza kiwango cha sukari mwilini.*
* *Hutibu matatizo ya mishipa ya fahamu.*
* *Hutibu tatizo la kukosa choo (constipation).*
* *Huondoa sumu mwilini.*
* *Hurekebisha shinikizo la damu na kusaidia uzalishaji wa seli nyekundu za damu zenye afya.*
* *Huboresha mfumo wa kinga ya mwili.*
* *Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.*
* *Huchochea ukuaji wa nywele.*
* *Huboresha afya ya ngozi.*
* *Huongeza nguvu na kuboresha utimamu wa mwili.*
* *Husaidia kuchangamsha ubongo na macho.*
* *Husaidia kutibu vidonda vya tumbo.*
* *Hupunguza msongo wa mawazo na sonona (depression).*
* *Huongeza hamu ya tendo la ndoa.*
* *Hupunguza mikunjo ya ngozi na dalili za uzee.*
* *Hutuliza maumivu na matatizo ya hedhi.*
* *Huimarisha meno na mifupa.*
* *Huzuia ugonjwa wa kulainika kwa mifupa (osteoporosis).*
* *Husaidia kudhibiti matatizo ya kibofu cha mkojo.*
* *Huharakisha uponaji wa vidonda.*
* *Husaidia kurekebisha hamu ya kula.*
* *Huongeza kasi ya mmeng'enyo wa chakula (metabolism).*
* *Hufanya marekebisho ya muundo wa seli za mwili.*
* *Huboresha utendaji kazi wa ini na figo.*
* *Husaidia kudhibiti tatizo la upungufu wa damu (anemia).*
* *Hutoa lishe kamili kwa mwili mzima.*
* *Huboresha afya ya mwili kwa ujumla.*

Nipigie tuongee

0773420141
Dr. Rujinama
Dar Es Salaam, Tanzania

05/12/2025

MENE MENE TEKEL UPHARSIN 🇹🇿

MENE MENE TEKELI NA PERESI 🇹🇿

Happy Birthday to me
15/09/2025

Happy Birthday to me

20/07/2025

Kwa matatizo ya
1. Kisukari 2. Matatizo ya utumbo 3. Presha N.k
Nipigie kwa namba zifuatazo kwa matibabu ya matatizo ya magonjwa mengine sugu.
0773420141
Vipimo ni vya mwili mzima vyenye uwezo wa kutambua tatizo, chanzo cha tatizo pamoja na matibabu yake.

Karibu sana Rujinama

12/07/2025

FISHI OIL SOFTGEL CAPSULE
● Inazuia kisukari
● Inashusha Presha
● Inaimarisha mishipa ya damu na ubongo
● Inaongeza kinga ya mwili
Ukihitaji bidhaa hii na vipimo pamoja na matibabu ya changamoto zingine nyingi Njoo WhatsApp 0773420141

ETERNAL INTERNATIONAL
12/07/2025

ETERNAL INTERNATIONAL

BROKEN GANODERMA LUCIDUMSPORE POWDER SOFT CAPSULEBidhaa hii ina uwezo wa kuongeza kinga ya mwili, kujenga na kuupa mwili...
12/07/2025

BROKEN GANODERMA LUCIDUM
SPORE POWDER SOFT CAPSULE

Bidhaa hii ina uwezo wa kuongeza kinga ya mwili, kujenga na kuupa mwili nguvu.
Bidhaa hii inatokana na mmea wa uyoga mwekundu unaojulikana k**a (GANODERMA LUCIDUMU POLYSACCHARIDES, PEPTIDES, TERPENE AND ORGANIC GERMANIUM)

Bidhaa hii ina uwezo mkubwa sana wa kuisaidia mifumo yote ya mwili, kuamsha kinga ya mwili na kupambana vyema na maradhi na wadudu wanao eneza maradhi

Inasaidia pia kuzuia uvimbe kukua au kuongezeka hasa uvimbe unaosababishwa na matumizi ya madawa au kemikali. Au uvimbe wowote unaotokana na magonjwa sugu k**a vile SARATANI (KANSA).
Pia husaidia kuyeyusha uvimbe uliokatika hatua za awali.

LISHE HII INAFANYA MENGI SANA ZAIDI YA NILIVYO ELEZA ILA TAMBUA KAZI HIZI NA NYINGINE NYINGI
1. Huongeza kinga ya mwili
2. Hujenga na kuupa mwili nguvu
3. Inazuia na kuyeyusha uvimbe katika hatua za awali
4. Huboresha afya ya seli za mwili.

WATUMIAJI
● Ni nzuri kutumiwa na wanaotumia matibabu ya mionzi kwaajili ya kutibu uvimbe na walifanyiwa upasuaji kwaajili ya matibabu ya tatizo fulani la kafya.

● Ni nzuri kutumiwa na watu wenye matatizo ya kinga kushuka kwa kiasi kikubwa na wanaosumbuliwa na maradhi sugu na ya muda mrefu kwaajili ya kuwaongezea kinga.

● Ni bidhaa nzuri kuuchangamsha mwili na kuupa nguvu ikitumiwa na wale wanaozongwa na ratiba ngumu ya kazi. Mfano wanaofikiri kwa kiasi kikubwa, na wanaokosa usingizi kwa sababu ya ratiba za kimaisha au kazi.

● Inawafaa wenye maradhi ya muda mrefu hasa ya moyo, ubongo, kisukari, homa ya ini, kibofu cha mkojo, matatizo sugu ya tumbo na mfumo wa chakula.

● Inawafaa watu wa rika lote kuweza kuwafanya wabaki na kinga na nguvu ya kutosha wakati wote. Na kwa wazee huwafanya kuwa na muonekano wa vijana zaidi na kuzuia mwili kutetemeka tetemeka.

Je unatamani kurejesha afya yako katika ubora tena?

Nipigie Simu nikupatie Vipimo kupitia machine za kisasa na upate pia dawa hii na nyingine nyingi kwa suluhisho la matatizo mbali mbali.
UMEBARIKIWA MILELE.
SEE YOU ON THE TOP
0773420141 Rujinama.

https://youtu.be/-33yJ0L2BS4?si=HzJgm6U9cFYFpl_6Mafanikio ya kujiunga na Eternal International..Piga Simu kujisajili 065...
10/07/2025

https://youtu.be/-33yJ0L2BS4?si=HzJgm6U9cFYFpl_6

Mafanikio ya kujiunga na Eternal International..
Piga Simu kujisajili 0659862515

```SOMA MPAKA MWISHO```*Gcat hii ni kampuni toka China iliyo anzishwa tangu 2001 Tz imefika 2013 Tanzania na 2014 ikasajiliwa rasmi na kupewa vibali vyotee m...

Bidhaa hii ni lishe maalumu ya "ISOMALTO-OLIGOSACCHARISE" inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na maji, chakula, hewa, pa...
10/07/2025

Bidhaa hii ni lishe maalumu ya "ISOMALTO-OLIGOSACCHARISE" inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na maji, chakula, hewa, pamoja na matumizi ya madawa yenye kemikali mwilini.

Bidhaa hii ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu kwa kiasi kikubwa na kwa muda mfupi.
Inasaidia kusafisha mfumo wa chakula hasa tumbo na kulifanya liwe katika hali nzuri zaidi.

Ni nzuri sana kwa watu wenye matatizo ya
1. VIDONDA VYA TUMBO
2. TUMBO KUJAA GESI NA ASIDI
3. TUMBO KUKATA AU KUHARISHA
4. HUSAIDIA KWA WALE WASIOPATA CHOO NA WANAOPATA CHOO KATIKA HALI YA UKAVU SANA
Husaidia kuwapa nguvu bacteria wa mwilini (ambao husaidia mfumo wa uyeyushaji wa chakula).
Wiki tatu baada ya kutumia bidhaa hii, kinga ya mwili huongezeka mara 10 zaidi, ikilinganishwa sawa na kinga ya kijana wa miaka 20.

Matokeo ya dawa hii huonekana baada ya siku moja mpaka siku tatu na matokeo mazuri zaidi huwa ni baada ya matumizi ya wiki moja mpaka wiki tatu.

NB: Bidhaa hii haina mafuta, homoni wala haijaongezewa kiambata chochote cha kuongeza nguvu

Nipigie Simu nikuelekeze kituo cha matibu uwze kupata vipimo pamoja na dawa hii na nyingine nyingi.
Piga Simu au tuma meseji
WhatsApp 0659862515
See you on the top
Dr. Rujinama

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Rujinama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr. Rujinama:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram