02/04/2026
Kutana na Dkt. Haitham – Bingwa wa Upasuaji wa Jumla
Kwa huduma bora za afya na upasuaji:
• Huduma za upasuaji wa dharura na wa kawaida
• Tathmini na matibabu ya hali mbalimbali za upasuaji
• Uangalizi wa wagonjwa kabla na baada ya upasuaji
Lumumba Hospital ndiyo chaguo lako sahihi kwa afya yako.
Karibu Lumumba Hospital, tunajali afya yako na ya familia yako.