24/09/2025
FAIDA YA TANGO KATIKA MWILI WA BINADAMU
MATANGO - si matunda mageni katika jamii ya Watanzania kwani hulimwa katika mikoa mbalimbali na mengine kuagizwa kutoka nchi za nje, hivyo kufanya upatikanaji wake uwe mzuri katika masoko ya ndani.
Kihistoria,asili ya matango ni bara la Asia, hasa nchini India. Na matango yalianza kulimwa huko Asia zaidi ya miaka 3000 na baadae zao hilo kusambaa na kupokelewa vizuri na nchi za magharibi hasa Ufaransa katika karne ya tisa. Baadae Uingereza na Marekani walianza kulima zao hilo katika karne ya 14 na 16.
MATANGO yana uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali na kwa njia rahisi isiyokuwa na madhara kwa mtumiaji, pia matibabu yake ni rahisi yenye kumuwezesha kila mwanajamii kumudu gharama, kwani yamekuwa yakiuzwa kwa kwa bei nafuu sana.
Baadhi ya madini yanayopatikana katika matango ni :
** Calcium, ** Phosphorus,
** Potassium, ** Zink,
**Vitamin B, C na E.
Madini haya ni muhimu sana katika mwili wa binadamu na yanapopungua au kukosekana mwilini husababisha magonjwa mbalimbali k**a magonjwa ya moyo na saratani.
FAIDA ZA TANGO MWILINI ( 0769 591 285 RESAKA HP )
1. Madini ya Potassium yanayopatikana katika matango ndicho chakula cha moyo kwa sababu huwezesha moyo kupiga mapigo katika hali ya kawaida.
2. Ulaji wa matunda na vyakula vyenye kiwango kikubwa cha potassium - Husaidia mtu mwenye tatizo la moyo, shinikizo la chini la damu.
3. TANGO husaidia kupunguza kiwango cha rehemu, mafuta
yenye madhara mwilini, huimarisha misuli na pia husaidia usagaji wa chakula tumboni.
4. Pia husaidia katika mmeng`enyo wa chakula na Upatikanaji wa choo laini (kinyesi) kwa mtumiaji.
5. Virutubisho vilivyopo katika tango hutoa nafuu kawa mtu mwenye matatizo ya ini, kongosho, figo na matatizo katika kibofu cha mkojo.
6. Watalamu wetukutoka RESAKA HERBAL POINT wanatueleza kuwa tango lina kirutubisho kinachojulikana k**a �erepsin�
Ambacho husaidia uzalishaji wa �amino acids� ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa protini mwilini.
7. Vile vile tango lina kiwango kikubwa cha vitamin C hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo yatokanayo na ukosefu wa vitamin hiyo, k**a vile fizi kuvuja damu, upunguvu wa damu kwa watoto wachanga na kuota meno na mifupa vibaya.
8. Kinga ya Saratani Pengine faida kubwa kuliko zote unazoweza kuzipata kwa kula tango au juisi yake mara kwa mara ni kinga dhidi ya saratani za aina mbalimbali.
Jambo hili linalotokana na ukweli kuwa tango lina kiwango kikubwa cha uchachu �alkaline�, na kufanya seli za saratani kuwa katika mazingira magumu ya kusambaa mwilini, kwani kwa kawaida seli za saratani haziwezi kuishi kwenye mazingira zenye uchachu. Hivyo ni vyema kujijengea mazoea ya kula matango mara kwa mara.
KITUOC HA AFYA TIBA ASILI CHA RESAKA HERBAL POINT tutaendelea kuelimishana na kupeana faida mbalimbali za Matunda, Mimea, Mbogamboga pamoja na uoto wa asili unaotuzunguuka.
Kwa Maelezo zaidi piga simu leo 0769 591 285
- Kwa Ushauri
- Kwa Matibabu
- Kwa uhitaji wa dawa
- K wa masomo na kupeana elimu juu ya tiba na Afya bora
USISITE KUPIGA SIMU AU KUTEMBELEA KURASA ZETU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 0769 591 285