Inuka rehabilitation hospital

Inuka rehabilitation hospital INUKA Rehabilitation Hospital is a specialized hospital but not limited to Rehabilitation services.

It is a private facility owned by the Roman Catholic Diocese of Njombe, located in Wanging’ombe within Njombe Region about 25 km from Makambako Town.

06/11/2025

Transforming Lives: INUKA Helps Young Boy Walk Again After Losing His Leg.

His name is Azory Kimatile, a four-year-old boy who was amputated shortly after birth but is now able to walk again with the help of a prosthetic leg he received at INUKA Rehabilitation Hospital.

please visit our website : https://inukarehabilitationhospital.or.tz to learn more success stories.

//////////////////////////////////////////

Anaitwa Azory kimatile mvulana mwenye umri wa miaka 4 alikatwa mguu wiki tatu tu baada ya kuzaliwa, miaka miwili baadae alifika kupata mguu bandia na sasa anaweza kutembea mwenyewe...

ili kusoma zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu : https://inukarehabilitationhospital.or.tz pamoja na kurasa zetu zote za mitandao ya kijamii.

Transforming Lives: INUKA Helps Young Boy Walk Again After Losing His Leg.His name is Azory Kimatile, a four-year-old bo...
06/11/2025

Transforming Lives: INUKA Helps Young Boy Walk Again After Losing His Leg.

His name is Azory Kimatile, a four-year-old boy who was amputated shortly after birth but is now able to walk again with the help of a prosthetic leg he received at INUKA Rehabilitation Hospital.

please visit our website : https://inukarehabilitationhospital.or.tz to learn more success stories.

//////////////////////////////////////////

Anaitwa Azory kimatile mvulana mwenye umri wa miaka 4 alikatwa mguu wiki tatu tu baada ya kuzaliwa, miaka miwili baadae alifika kupata mguu bandia na sasa anaweza kutembea mwenyewe...

ili kusoma zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu : https://inukarehabilitationhospital.or.tz pamoja na kurasa zetu zote za mitandao ya kijamii.

New vacancy announcement  is currently seeking for a dedicated and detail-oriented "RADIOGRAPHY TECHNICIAN " to join our...
27/10/2025

New vacancy announcement

is currently seeking for a dedicated and detail-oriented "RADIOGRAPHY TECHNICIAN " to join our medical team.

How to apply: Qualified applicants should submit a detailed CV and a cover letter addressed to the Managing Director by 15th November 2025.
Applications should be sent to
info .or.tz OR
admin .or.tz.

PLEASE USE "Radiography Technician Application" as the subject line of your email.

Tunawatakia watanzania wote heri ya kumbukizi ya miaka 26 bila uwepo wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyere...
14/10/2025

Tunawatakia watanzania wote heri ya kumbukizi ya miaka 26 bila uwepo wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

13/10/2025

Je, ni kina nani ambao wapo katika hatari ya kupata shinikizo la juu la damu?

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube:inukarehabilitationhospital
Facebook: inukarehabilitationhospital

07/10/2025

Fahamu mambo muhimu ya kuzingatia ili kuepuka kupata shinikizo la juu la Damu/ Hypertension.

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube:inukarehabilitationhospital
Facebook: inukarehabilitationhospital

03/10/2025

Dalili zinazoonesha mtu kuwa katika hatari ama kuwa na ugonjwa wa shinikizo la juu la damu/hypertension

uonapo dalili hizi tafadhali nenda hospitali kwa ajili ya vipimo zaidi

Lakini pia usisahau kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili kujifunza mambo mengi kuhusu huduma za utengemao

Instagram:
Youtube:inukarehabilitationhospital
Facebook: inukarehabilitationhospital

29/09/2025

Fahamu kuhusu sababu changizi/ visababishi vya ugonjwa wa shinikizo la juu la damu/ Hypertension.................................................................................................................................
Ili uweze kupata elimu kuhusu huduma za utengemao, Hakikisha unatufuatilia katika mitandao yatu ya kijamii kwa anuani zifuatazo

Instagram:
YouTube :
Facebook: hospital

Siku ya Wafamasia huadhimishwa duniani kote Septemba 25 kila mwaka, ikiwa na lengo la kutambua mchango mkubwa wa wataala...
25/09/2025

Siku ya Wafamasia huadhimishwa duniani kote Septemba 25 kila mwaka, ikiwa na lengo la kutambua mchango mkubwa wa wataalamu wa dawa katika mfumo wa afya, kuhakikisha matumizi salama ya dawa, ushauri sahihi kwa wagonjwa na kuimarisha tiba kwa ujumla.

Kaulimbiu ya mwaka huu ni "think health, think pharmacist" – yaani, Fikiria afya , fikiria mfamasia.

Tunaungana na wadau wote wa afya kusherehekea "SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI" 2025

25/09/2025

Hypertension/ Shinikizo la juu la damu ni nini, sababu, dalili, na matibabu yake.

Endelea kutembelea, kufollow na ku-subscribe kurasa zetu za mitandao ya kijamii ili upate elimu kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo huduma za utengemao.

Instagram :
Youtube : Inuka rehabilitation hospital
Facebook : Inuka rehabilitation hospital

We're Hiring the “Orthopedic Surgeon"How to Apply:Qualified applicants should submit a detailed CV and a cover letter ad...
25/09/2025

We're Hiring the “Orthopedic Surgeon"

How to Apply:
Qualified applicants should submit a detailed CV and a cover letter addressed to the Managing Director by
15th October 2025. Applications should be sent to info@inukarehabilitationhospital.or.tz OR admin@inukarehabilitationhospital.or.tz. Please use “the name of the position applied” as the subject line of your email.

22/08/2025

Zingatia Mkao sahihi ili kuepukana na Tatizo la Maumivu ya Mgongo.

kujifunza zaidi tembelea chaneli yetu ya YOUTUBE

Lakini pia usisahau ku-subscribe, follow, share & like

Address

P. O. Box 216 Makambako
Wangingombe
59307

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inuka rehabilitation hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Inuka rehabilitation hospital:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category