Health good tz

Health good tz Pata SULUHISHO LA KUDUMU LA NGUVU ZA KIUME..

dume
uliopitiliza
KINGA NI BORA KULIKO TIBA

Kuna muda mtu akipitia msongo wa mawazo kwa muda mrefu hujikuta akiingia kwenye njia ambazo sio sahihi kwaajili ya Kupun...
28/07/2022

Kuna muda mtu akipitia msongo wa mawazo kwa muda mrefu hujikuta akiingia kwenye njia ambazo sio sahihi kwaajili ya Kupunguza mawazo tu.

Maana kuwa na Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa kishawishi cha kutumia madawa ya kulevya k**a vile pombe, sigara, bangi, mirungi na vitu vingine.

Ingawa dawa hizi zinaweza kukusaidia kwa muda mfupi, ila husababisha hatari kubwa sana kiafya za muda mrefu.

Jambo linalo sikitisha ni kwamba Matumizi makubwa ya pombe, Sigara na bangi Huleta Athari Kubwa sana kiafya k**a magonjwa ya moyo, Matatizo ya Kansa, Shinikizo la damu, tatizo la ini, Uharibifu wa mfumo wa FAHAMU na pia Huchochea Upungufu wa nguvu za Kiume.

Kwa hiyo k**a ni Mwanaume umepata janga la Upungufu wa nguvu za Kiume na ukaenda Kutumia pombe na vilevi vingine Ili Kupunguza mawazo! Yani unazidi kujiweka hatarini ya Kupata Matatizo mengi zaidi kwenye Afya Yako! Na nguvu za Kiume zitazidi Kupungua.

Maana Matumizi mabaya ya pombe, Sigara na bangi husababisha ulevi kuongezeka, viwango vya msongo wa mawazo kuwa vikubwa zaidi na athari mbaya za kitabia na kijamii.

Kwasababu watu Wengi wanaotumia vilevi na Dawa zingine huwaga ni wakali sana na wenye visirani hata wakiwa na wapenzi wao jambo ambalo hupelekea Mahusiano yao pia kuvunjika.

NOTE; Kuimarisha Afya yako ndio njia pekee itakayo kusaidia kuondokana na Changamoto ya Upungufu wa nguvu za Kiume na sio utumiaji wa Dawa za kulevya.

*TUNA PROGRAM ZA VIRUTUBISHO PAMOJA NA MIONGOZO MAALUM ITAKAYO KUSAIDIA KUIMARISHA AFYA YAKO YA UZAZI NDANI YA SIKU 30 TU*

K**A UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

TUWASILIANE KWA NAMBA 👇🏽👇🏽👇🏽

𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 #0652570543

Pia Follow education31

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume hii nikulingana na tafiti zilizo fanyika.1. Kutokuwa na Mzunguko mz...
14/07/2022

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume hii ni
kulingana na tafiti zilizo fanyika.
1. Kutokuwa na Mzunguko mzuri wa damu mwilini, hasa sehemu za
viungo vva uzazi kwa mwanaume
2. Kutokuwa na kiwango cha kutosha cha homoni ya Testosterone,
3. Kupungukiwa protini na hivyo kukosa amino asidi mwilini
4. Mongo wa mawazo/Sonona
5. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari
nyingi

Je? Una swali lolote Au una changamoto gani ina kusumbua? Kiafya niandikie hapa chini kwenye Comment nitaisoma a kukujibu au kukupatia njia sahihi ya kuitatua changamoto yako Kuhusu Ushuri na Huduma za Virutubisho Bora Nipigie sasa hivi au

Pia usisahau kuturn on post notification kwaajiri ya kupata taarifa
pale tuu ninapo chapisha ujumbe mpya kuhusu afya!

JE WEWE PIA UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA Nguvu za kiume
Follow Instagram
education31

Kwa ushauli, Elimu, Miongozo, Suluhisho sahihi kwa upande wa
afya ya uzazi tupigie sasa hivi au tuma jumbe whatsapp andika
"BORESHA afya " +255652570543
Utapata kuhudumiwa haraka

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUMEVyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vin...
10/05/2022

FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME

Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

✍️Kisukari

✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi

✍️Matumizi ya madawa mbalimbali

✍️Umri hasa wazee

✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

✍️Kuwa na tatizo la kibofu

✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu

✍️Kutopata usingizi kamili

✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa k**a kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

✍️Kuwahi kufika kileleni

✍️Kukosa hamu ya mapenzi

✍️Kushindwa kurudia tendo la ndoa

✍️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

✍️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

✍️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

✍️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

✍️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

TIBA YETU ITAKUSAIDIA;
👉Kuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni
👉Kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
👉Kuondoa tatizo la Homon Imbalance
👉Kuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu
👉Kuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume
👉Kuupa Msuli wa Pelvic nguvu
👉Kuepusha uume Kusinyaa katikati ya mchezo
👉Kuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa
👉Kusafisha kibofu Cha Mkojo
👉Kuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume
👉Kuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa

Kwa mawasiliano zaidi
WhasApp Call 0652570543

MY BROTHER K**A UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU NA UMEKOSA SULUHISHO LA CHANGAMOTO YA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA UUME KUSINYAA...
05/05/2022

MY BROTHER K**A UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU NA UMEKOSA SULUHISHO LA CHANGAMOTO YA KUWAHI KUFIKA KILELENI NA UUME KUSINYAA ( KUWA MDOGO ). Ninahabari njema Kwako. Na pia nimekuletea Bedroom pack ambayo ni suluhisho kamili 🙌🏽.

𝗨𝗞𝗜𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗩𝗜𝗥𝗨𝗧𝗨𝗕𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔𝗬𝗢 𝗬𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗢𝗞𝗘𝗢 𝗬𝗔𝗞𝗘;

•UUME KUWA IMARA.

•KUDUMU ATLEAST DKK 30 KILA ROUND!!

•KUPIGA ROUND 4 MPAKA 5!!!

•KUTOA MBEGU NYINGI NA NZITO

•BALANCE NZURI YA HORMONES

•KUONDOA UWEZEKANO WA KUPATA TEZI DUME

•UTATOA MBEGU ZENYE AFYA ZENYE UWEZO WA KUOGELEA NA KULIFIKIA YA KIURAHISI.

•ONGEZEKO LA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA.

•UTULIVU, BALANCE, CONFIDENCE NA STAMINA YA HALI YA JUU WAKATI WA TENDO LA NDOA.

•HUONDOA HORMONES ZINAZOSABISHA DEPRESSION.

•KUONDOA MSONGO WA MAWAZO.

•KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.

‼️k**a una changamoto yeyote katika mfumo wako wa uzazi tafadhali usiache kutujulisha tukakusaidia kwa kukupatia muongozo mzuri juu ya vyakula na virutubisho muhim unavyo paswa kutumia ili uweze kuimarika.

𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 0652570543
wa.me.//255652570543

Offer HII BADO SIKU 3 ITASHA WAHI USIJE IKOSA

KARIBU SANA.

Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansiBaadhi ya wataalamu wa afya nchi...
02/05/2022

Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansi

Baadhi ya wataalamu wa afya nchini Tanzania wanakiri kuwepo kwa ongezeko la watu wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume.

Hali hii imeelezwa kuwa chanzo cha baadhi ya watu kuamua kutumia dawa za kisasa na hata za mitishamba ambazo mara nyingi zinakuwa hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, hivyo kutotibu tatizo.

Utafiti uliofanywa mwaka 2016 na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, unaonesha takriban mwanaume mmoja kati ya wanne ana tatizo la nguvu za kiume.

Utafiti huo ulifanyika kwa wanaume elfu kumi na nane mia nne arobaini na mmoja (18,441) huku umri wa waliochunguzwa ni miaka 47.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau amefanya mahojiano na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo, Remigius Rugakingira kutoka hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo jijiji Dodoma na kwanza alimuuliza nini hasa maana ya upungufu wa nguvu za kiume

Je UNAPITIA CHANGAMOTO HII YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUPO HAPA KUKUSAIDIA NA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU

WASILIANA NAS
WhatsApp👇/Call 0652570543
wa.me.//255652570543

TUMA NENO SULUHISHO

*MADHARA 36 YA PUNYETO.JUA CHUKUA HATUA*1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu k...
01/05/2022

*MADHARA 36 YA PUNYETO.JUA CHUKUA HATUA*

1.Ni chanzo kikubwa cha kupoteza kumbukumbu na kukufanya ushindwe kufanya vitu kwa umakini.

2.uleta infection na kusababisha,manii kuwa nyepesi na unapofanya jimai manii kutoka kwa mkewe badala ya kuingia ukeni na huweza kuwa sababu ya kutopata mtoto

3.Huuwa na kumaliza nguvu za kiume kabisa.

4.Husababisha uchovu muda wote.

5.Humfanya mtu kupoteza nguvu za mwili na kumfanya kuwa legevu na mvivu.

6.Husababisha mwanaume kutoa mbegu haraka wakati wa tendo la ndoa.

7.Husababisha msongo mkubwa wa mawazo.(mawazo kuwa mengi)

8.Husababisha mtu kukosa hamu kabisa Ya tendo la ndoa hata akiwa na mke wake.

9.Husababisha ukhanithi (ugumba).

10.Humfanya mtu ambae hajaowa ashindwe kuowa

11.Husababisha mtu kuathilika kisaikolojia.

12.Huzidisha woga kwa wanawake.(kuogopa wanawake).

13.Humfanya mtu ashindwe kuona umuhimu wa wanawake.

14.Inaweza kumfanya mtu kukonda na mifupa ya mashavu kutokeza.

15.Humfanya mtu kuwa mtumwa wa kitendo hicho.

16.Ni maasi na athari ya kudumu inayouwa afya ya mwili na akili.

17.Kushindwa kusimamisha uume zaidi ya mara 1 na uume kuwa legevu.

18.Maumivu ya mgongo.

19.Kusinyaa kwa nywele.

20.Maumivu ya makende.

21.Maumivu ya kiuno.

22.Pia inaweza kusababisha umasikini kwa sababu mtu hupoteza nguvu,kumbukumbu, na kuwa mlegevu na mvivu.

23.Inachangia kushindwa kufikia malengo kwa sababu huuwa mfumo wa fahamu na uwezo wa kufanya jambo kwa makini.

24.Inadhoofisha mwili na kuufanya jalala la maradhi

25.Huondoa nuru ya macho.

26.Huzidisha mapigo ya moyo k**a mtu mwenye presha.

27.Hufanya ngozi ionekane k**a ya mzee.

28.Husababisha kuvunjika kwa ndoa.

29.Humfanya mtu kutazama na kuwaza sana wanawake, na pia kutazama sana picha na video za ngono.

30.Kuumwa ma kichwa mara kwa mara.

31.Kukosa nguvu kwenye jointi za magoti.

32.Kupungukiwa mbegu katika mfuko wa uzazi.

33.Kuharibika kwa mishipa ya fahamu na uti wa mgongo.

34.Humfanya mtu kusinzia ovyo kila anapomaliza punyeto.

35.Mpiga punyeto hana uwezo wa kumfikisha mwanamke kileleni.

36.Ni aibu kubwa sana kwa jamii kujihusisha na punyeto hali yakuwa Allah amewataka waoane na kutangamana kwa wema na ktk hili ni sababu ya kupata utulivu wa nafsi na akili pia kupata kizazi

KUPATA SULUHISHO Wasiliana nas
WhatsApp 👇/ Call 0652570543
https://wa.me/message/ZPVP6HPTT3ZXC1

💥💥BIDHAA BORA YA C9 YA ASILI KWA KUSAFISHA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UZITO.💥💥JE, UNENE IMEKUWA NI SHIDA KWAKO?? 💥💥 JE, U...
17/04/2022

💥💥BIDHAA BORA YA C9 YA ASILI KWA KUSAFISHA SUMU MWILINI NA KUPUNGUZA UZITO.
💥💥JE, UNENE IMEKUWA NI SHIDA KWAKO??
💥💥 JE, UMEHANGAIKA KUPUNGUA MARA KWA MARA IMESHINDIKANA?
NAMBA YAKO TUPEANE USHAURI

🔷KUWA MNENE SIO MBAYA, LAKINI UZITO UKIZIDI UNA MADHARA MAKUBWA KIAFYA

♦Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya. Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na unene wa kupindukia.

♦Tatizo hili la UNENE
uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.
♦Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua k**a mtu ni mnene kupita kiasi (Obese) inafahika k**a kipimo cha Body Mass Index (BMI) vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha k**a unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu,na uzito wako.

♦Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene uliopitiliza Ni:
▪Kisukari
▪shinikizo la damu (hypertension)
▪Matatizo ya kizazi (Infertility)
▪kiharusi (Stroke),
▪Magonjwa ya moyo (Heart Failure)
▪Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu ( Cholesterol )
▪Saratani ya matiti. ▪Saratani ya tezi dume ( prostate Cancer) ▪Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa ( Colorectal Cancer)
▪ Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa Vena za miguuni ( Varicose veins)
▪kutokupumua vizuri wakati mtu yupo usingizini.
▪Kutoku perform vizuri kwenye TENDO la Ndio.
▪Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi. Nk nk

💥💥 Epuka kupunguza UZITO kwa kufanya DIET na MAZOEZI. Kiafya sio nzuri, kupungua utapungua lakini huwezi kudetox mwili wako kwa kutoa sumu tulizonazo na vilevile ngozi yako itanyauka kwa kuunyima mwili virutubisho muhimu kwa kufanya diet.

💥💥PATA NJIA SAHIHI NA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KIAFYA ILIYOTHIBITISHWA KWA AJILI YA AFYA YAKO.

🔷Clean9 ni njia sahihi ya kupunguza mwili kiafya iliyothibitishwa kwa ajili ya afya yako.

WhatsApp 👇Call 0652570543
.me.//255652570543

Kua kijana na muonekano mzur sio kijana Unakua K**a mzee wa miaka 70 kumbe kijana unaumri wa miaka 20 Tumia product full...
13/04/2022

Kua kijana na muonekano mzur sio kijana
Unakua K**a mzee wa miaka 70 kumbe kijana unaumri wa miaka 20
Tumia product full package ya C9 kwa ajili ya kupunguza UZITOTUMBONA HATA KUONDOA MAFUTA MABAYA MWILIN

NA MUONEKANO MZURI KARIBU
WHATSP👇 CALL 0656570543
wa.me//255652570543

09/04/2022
Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansiBaadhi ya wataalamu wa afya nchi...
07/04/2022

Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansi

Baadhi ya wataalamu wa afya nchini Tanzania wanakiri kuwepo kwa ongezeko la watu wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume.

Hali hii imeelezwa kuwa chanzo cha baadhi ya watu kuamua kutumia dawa za kisasa na hata za mitishamba ambazo mara nyingi zinakuwa hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, hivyo kutotibu tatizo.

Utafiti uliofanywa mwaka 2016 na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, unaonesha takriban mwanaume mmoja kati ya wanne ana tatizo la nguvu za kiume.

Utafiti huo ulifanyika kwa wanaume elfu kumi na nane mia nne arobaini na mmoja (18,441) huku umri wa waliochunguzwa ni miaka 47.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau amefanya mahojiano na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo, Remigius Rugakingira kutoka hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo jijiji Dodoma na kwanza alimuuliza nini hasa maana ya upungufu wa nguvu za kiume

Je UNAPITIA CHANGAMOTO HII YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUPO HAPA KUKUSAIDIA NA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU

WASILIANA NAS
WhatsApp👇/Call 0652570543
wa.me.//255652570543
TUMA NENO SULUHISHO

MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITOLeo  nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria v...
05/04/2022

MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO
Leo nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba(kukosa kupata mtoto).
1️⃣.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA
usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.
Kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kuwa hupevushi mayai kila mwezi. Hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi na sio ili mradi yai bali yai bora linaloweza kurutubishwa.
2️⃣.KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA.
K**a hujafikia menopause(kipindi mwanamke anastop kupata hedhi yake ya kawaida kutokana na umri),au sio Mjamzito na hutumiii njia ya uzazi wa mpango zinazosababisha kubadilika kwa hedhi
Ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana yake ni kwamba haupevushi mayai ambapo huwezi kubabe ujauzito bila kupevusha yai.
3️⃣.KUTOKWA DAMU NYINGI, NZITO NA YENYE MABONGE K**A VIPANDE VYA MAINI (VINYAMA NYAMA)WAKATI WA HEDHI HUASHIRIA KUWA HORMONE HAZIJABALANCE kutobalance kwa hormone huvuruga uzalishaji wa mayai bora.
4️⃣.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA YANAYOAMBATA NA UCHAFU MWEUPE MZITO K**A MAZIWA YA MGANDO AMBAYO HUASHIRIA KUNA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAMKE
5️⃣.KUPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MAUMIVU CHINI YA KITOVU
6️⃣.KUKOSA KABISA HAMU YA TENDO LA NDOA PIA KUSIKIA DALILI ZOTE ZA UJAUZITO IKIWA SIO MJAMZITO HUONYESHA KUNA INFECTIONS KATIKA KIZAZI
Hizo ni baadhi ya dalili Mbaya kwa mwanamke ambaye bado hajawahi Kubeba ujauzito, Ni Dalili Mbaya Pia Kwa Mwanamke Ambaye Tayari ana Mtoto/Watoto, ni muhimu sana kupata suluhisho la Changamoto hizo maana zinatibika kabisa na UNAPATA SULUHISHO LA KUDUMU KABISA NA KURUDISHA TABASAMU KATIKA FAMILIA YAKO.
Piga/whatsap __________0652570543

Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansiBaadhi ya wataalamu wa afya nchi...
20/03/2022

Upungufu wa nguvu za kiume na athari za matumizi ya mitishamba isiyoidhinishwa kisayansi

Baadhi ya wataalamu wa afya nchini Tanzania wanakiri kuwepo kwa ongezeko la watu wenye matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume.

Hali hii imeelezwa kuwa chanzo cha baadhi ya watu kuamua kutumia dawa za kisasa na hata za mitishamba ambazo mara nyingi zinakuwa hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, hivyo kutotibu tatizo.

Utafiti uliofanywa mwaka 2016 na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, unaonesha takriban mwanaume mmoja kati ya wanne ana tatizo la nguvu za kiume.

Utafiti huo ulifanyika kwa wanaume elfu kumi na nane mia nne arobaini na mmoja (18,441) huku umri wa waliochunguzwa ni miaka 47.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau amefanya mahojiano na daktari bingwa wa mfumo wa mkojo, Remigius Rugakingira kutoka hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo jijiji Dodoma na kwanza alimuuliza nini hasa maana ya upungufu wa nguvu za kiume

Je UNAPITIA CHANGAMOTO HII YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUPO HAPA KUKUSAIDIA NA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU

WASILIANA NAS
WhatsApp/Call 0652570543
TUMA NENO SULUHISHO

Address

Stone Zanzibar
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Health good tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram