30/07/2021
KWA NINI UTUMIE COMPLETE KILA SIKU???
Binaadamu amekamilika baada ya hatua hizi 6 kukamilika.
1) Kuumbwa wa DNA, Gens & ambavyo hupatikana katika seli na ndii vijenzi vikuu vya seli. Huu ndio utu wa mtu.
2) Kuumbwa seli za mwili: Seli hizi hupatika katika maeneo maeneo yote ya mwili isipokuwa katika Moyo.
3) Kuumbwa kwa tishu: Hivi ni vipande vidogo vidogo vya nyama vilivyopatina baada ya seli kushik**ana.
4) Kuumbwa kwa viungo: Muunganiko wa tishu mbalimbali ndio huzaa viungo vya mwili k**a vile mkono, pua, figo, inni, kongosho, sikio, mdomo, ulimi nk.
5) Kuubwa kwa mifumo: Muunganuko wa viungo hupelekea kuzakiwa kwa mifumo ambayo hufanya kazi kwa mashirikiano kwa mfano:- Mfumo wa upumuaji, mfumo wa hisia, mfumo wa mmeng'enyo wa chakula nk.
6) Kuumbwa wa kiwiliwili: Muunganiko wa mifumo yote ya mwili ndio humkamilisha binaadamu na kumuona katija umbile tunaloliona.
Na hivyo ndivyo mwanaadamu anavyopatikana.
Bakteria na Virusi vyote vya magonjwa huivamia seli mara tu vinapofika ndani ya mwili kwani vinaelewa kuwa celi ndio uhai wa mwanaadamu yoyote. Na vingi vyao vinapofika katika seli huanza kuiharibu DNA maana hii ndio gunzo mama ya uhai wa seli.
Seli inapoharibika basi uhai na afya yote ya mwanaadamu huharibika na kuuacha mwili kuwa k**a jumba bovu lisiloweza kujilinda. Hapo ndipo mtu huanza safari za kumuona daktari mara kwa mara. Tabia ambayo inawachosha na kuwanyuma furaha takriban watu wote.
Kwa kiasi kikubwa seli huharibiwa na mambo 2 makuu.
1) Mlo usiokamili (chakula kisicho bora): Hiki ni chakula kisichomuwezesha mtu kupata virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika na mwili (vitamin, protein, carbohydrates, lipids). Vyakula hivyo humuwezesha mtu kulinda, kujenga na kukuza mwili.
2) Free redicals: Hizi ni single neutrons ambazo huelea kwenye hewa zinazotokana na mkandamizo mkubwa wa hewa, mionzi ya (jua, simu na umeme), moshi (sigara, mashine), stress, madawa ya mimea nk.
Kwa maisha yetu ya saiv ni ngumu sana kuupata mlo uliokamili kila siku maana ili kupata mlo uliokamili tunahitajika kula mbogamboga aina 5, matunda aina 5, nyama nyeupe (samaki & ndege), vyakula vya nafaka, nyama nyekundu (kwa uchache), na mayai kila siku.
Lakini pia ni vigumu kuepukana na free redicals maana vimegandamana na mzunguuko wetu wa maisha. Hali hii inatujengea picha ya kuwa hatuko salama hata kidogo hivyo ni lazima tupate visaidi kinga ili kuuwezesha mwili kupambana na bakteria na virusi maradhi.
Complete & C24/7 ndio imekuja kufanta kazi kubwa ya k