KMKM Hospital Zanzibar

KMKM Hospital Zanzibar Hospitali hii inatoa huduma kwa wapiganaji wake pamoja na wananchi kwa ujumla.

Hospitali ya KMKM ni Hospitali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) iliyopo Kibweni Zanzibar Tanzania ambayo inasimamiwa na Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM).

Pima macho, pata matibabu, ondoa upofu! Huduma za kliniki ya macho zinapatikana siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa...
23/07/2025

Pima macho, pata matibabu, ondoa upofu! Huduma za kliniki ya macho zinapatikana siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 1:30 asubuhi hadi saa 8:30 mchana. Karibuni.

KMKM HOSPITAL:*USHAURI WA DAKTARI NA VIPIMO*KULAZA WAGONJWA WA KAWAIDA, VIP NA VVIP*DUKA LA DAWA*MAABARA*UPASUAJI*TIBA K...
22/06/2023

KMKM HOSPITAL:

*USHAURI WA DAKTARI NA VIPIMO
*KULAZA WAGONJWA WA KAWAIDA, VIP NA VVIP
*DUKA LA DAWA
*MAABARA
*UPASUAJI
*TIBA KWA MAZOEZI YA VIUNGO
*MACHO, MENO, KOO NA MASIKIO
*KLINIKI YA SUKARI, PRESHA NA KIFUA KIKUU
*HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO + VIP
*BIMA ZA AFYA
*HUDUMA ZA HALI YA DHARURA
*USHAURI NASAHA
*HUDUMA RAFIKI KWA VIJANA
*HUDUMA KWA WAGONJWA WA MOYO (ECG)
*X-RAY, ULTRASOUND NA ECHO.

Karibu tukuhudumie. Huduma zetu zinapatikana masaa 24.

WODI ZA VIP, KMKM HOSPITAL.HUDUMA ZA KULAZA WAGONJWA VIP ZINAPATIKANA!TUNAZO WODI MBALI MBALI ZA VIP KWA AJILI YA:1. WAN...
11/09/2022

WODI ZA VIP, KMKM HOSPITAL.
HUDUMA ZA KULAZA WAGONJWA VIP ZINAPATIKANA!
TUNAZO WODI MBALI MBALI ZA VIP KWA AJILI YA:
1. WANAUME 2. WANAWAKE, 3. WATOTO, 4. VIONGOZI, 5. WAZAZI, 6.WAJAWAZITO.
KARIBUNI KWA HUDUMA RAFIKI
SIMU: +255 778 669 123
EMAIL: hospital@kmkmzanzibar.go.tz

Karibuni katika banda letu la Maonesho ya Nane Nane 2022 yanayoendelea kufanyika katika Uwanja wa Kizimbani Zanzibar."Tu...
08/08/2022

Karibuni katika banda letu la Maonesho ya Nane Nane 2022 yanayoendelea kufanyika katika Uwanja wa Kizimbani Zanzibar.
"Tushiriki katika SENSA, tarehe 23 Agosti 2022 kwa maendeleo ya Taifa".

28/07/2022
14/07/2022
KAMPUNI YA USAFI YA HOSPITALI YA KMKM:Tunatoa huduma za usafishaji katika majengo ya Serikali na ya watu binafsi.Tunapig...
13/07/2022

KAMPUNI YA USAFI YA HOSPITALI YA KMKM:
Tunatoa huduma za usafishaji katika majengo ya Serikali na ya watu binafsi.
Tunapiga (tunafukiza) dawa ili kutokomeza wadudu wasumbufu k**a vile: panya, nzi mende n.k.

Huduma za Wodi za VIP zinapatikana katika Hospitali ya KMKM Kibweni Zanzibar kwa bei nafuu kwa wanaume, wanawake na waza...
10/07/2022

Huduma za Wodi za VIP zinapatikana katika Hospitali ya KMKM Kibweni Zanzibar kwa bei nafuu kwa wanaume, wanawake na wazazi k**a vile:-

- Presidential VIP Rooms
- VIP Rooms
- Maternity VIP Rooms.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia simu namba +255 778 669 123 au fika katika Hospitali yetu kwa maelekezo zaidi na kupatiwa huduma.
Karibuni nyote.

  katika Hospitali ya KMKM.Tunatoa huduma zote za wazazi, mama wajawazito na watoto, k**a vile: huduma za wakunga, hudum...
09/07/2022

katika Hospitali ya KMKM.
Tunatoa huduma zote za wazazi, mama wajawazito na watoto, k**a vile: huduma za wakunga, huduma za upasuaji, wodi ya watoto, wodi ya wazazi ya kawaida na VIP, kliniki ya wajawazito na watoto.
Karibuni.

Address

Kibweni Zanzibar
Zanzibar
71207

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KMKM Hospital Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to KMKM Hospital Zanzibar:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category