DAWA ZA kulevya-Zanzibar

DAWA ZA kulevya-Zanzibar TUME YA KITAIFA YA KURATIBIU NA UDHIBII WA DAWA ZA KULEVYA NI TAASISI YA KISERIKALI.

Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kitaifa ya Kuratubu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya akitoa taarifa fupo ya dawa za Kulevya si...
01/07/2021

Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kitaifa ya Kuratubu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya akitoa taarifa fupo ya dawa za Kulevya siku ya kupiga vita matumizi na usafirishaji wa dawa za Kulevya tarehe 26/062021 katika Ukumbi wa Idrissa Abdul Wakil

“Mkurugenzi Mtendaji Tume ya kitaifa ya kuratibu na udhibiti wa dawa za Kulevya amemtaka Mhe: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi aridhie Tume kuwa Mamlaka ya udhibiti Dawa za Kulevya Ambapo itakuwa na uwezo wa kukama ,kufunga.”

09/05/2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya akikabidhi Televisheni kwa msimamizi w...
01/07/2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya akikabidhi Televisheni kwa msimamizi wa nyumba ya upataji nafuu ya Mkoroshoni- Pemba.

Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya katika kuadhimisha Siku ya Kupiga Vita Usafirishaji na Matumi...
01/07/2020

Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya katika kuadhimisha Siku ya Kupiga Vita Usafirishaji na Matumizi ya Dawa za kulevya tarehe 26 Juni , Idara ya Kinga, Tiba na Marekebisho ya Tabia , katika kutekeleza majukumu yake ilifanya mafunzo ya DAWA ZA KULEVYA NA CORONA kwenye nyumba za upataji nafuu zilizopo Unguja na Pemba.

Maonesho ya sita ya biashara ya kudhimisha miaka 56 ya Mapinduzi matukufu ya  Zanzibar. Karib kwenye banda la Tume ya Ki...
16/01/2020

Maonesho ya sita ya biashara ya kudhimisha miaka 56 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. Karib kwenye banda la Tume ya Kitafa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya (OMPR) Maisara wilaya ya Mjini Unguja upate taaluma ya athari za matumizi ya dawa za kulevya
Lakini pia utapata kuwaona vijana walioacha matumizi ya dawa hizo wakifanya mambo mbali mbali ya ujasiriamali.

Kinga ya Msingi (Primary Prevention) ni msingi wa Maisha ya Vijana na Watoto ili waweze kujitambua dhidi ya matumizi ya ...
30/10/2019

Kinga ya Msingi (Primary Prevention) ni msingi wa Maisha ya Vijana na Watoto ili waweze kujitambua dhidi ya matumizi ya Dawa za Kulevya.
Pichani ni wanafunzi wa SKULI YA SEKONDARI KIYONGWE iliyopo Wilaya ya Kaskazini B Unguja wakipewa taalima juu ya athari ya matumizi ya Dawa za Kulevya.

04/10/2019

Katika kuadhimisha wiki ya upataji nafuu watumiaji wa Dawa za kulevya waliopata nafuu, wameamua kuadhimisha wiki hiyo kwa kuwasaidia wanafunzi na watu mambalimbali kuvuka barabara ili kurudisha fadhila kwa walio waumiza kipindi walipokuwa wakitumia dawa za kulevya.
Zoezi hilo limefanyika katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa mjini Magharib.

Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Kitafa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurug...
10/09/2019

Baadhi ya Watendaji wa Tume ya Kitafa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume hiyo Baada ya kumalizika kwa Kongamano la kupiga vita matumizi na usafirishaji wa Dawa za Kulevya lililofanyika katika ukumbi wa Makonyo Pemba.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe: MOHAMED ABOUDB MOHAMED akifungua kongamano la kupiga vita matumizi n...
09/09/2019

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe: MOHAMED ABOUDB MOHAMED akifungua kongamano la kupiga vita matumizi na usafirishaji wa Dawa za Kulevya katika ukumbi wa Makonyo kisiwani Pemba. Na kuwasa wananchi kushirikiana na serikali katika ya kupiga vita janga la Dawa za Kulevya nchini.

Kamati ya uangamizaji wa Dawa za Kulevya ya Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Uthibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar imeteket...
06/05/2019

Kamati ya uangamizaji wa Dawa za Kulevya ya Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Uthibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar imeteketeza dawa za kulevya zilizokuwa kwenye uhifadhi wa kisheri ambazo kesi zake zimekamilika, dawa hizo ni zenye uasili wa majani makavu (bangi) na zile zenye uasili wa unga (he**in).

Katika kutekeleza majukumu ya Tume ya kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti Dawa za Kulevya, Tume inaendelea na utaratibu wake...
14/02/2019

Katika kutekeleza majukumu ya Tume ya kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti Dawa za Kulevya, Tume inaendelea na utaratibu wake Wa kutoa taaluma juu Athari ya matumizi ya Dawa za kulevya katika skuli mbalimbali za Zanzibar.PICHANI NI WANAFUNZI WA SKULI YA WASICHANA YA BEN BELLA.

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAWA ZA kulevya-Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram