AFYA NI MTAJI

AFYA NI MTAJI afya tiba na ushauri

06/04/2026

Nilikuwa Nakaa Na Mgonjwa Mmoja Jana.....Uso wake ulikuwa umejaa mawazo mazito sana
Nikamuuliza:
“Una tatizo gani hasa?”
Akanijibu kwa sauti ya chini kidogo...
“Mimi nahisi kuna tatizo kwenye mwili wangu... ila naogopa kuchukua hatua mapema”
Nikamuuliza tena:
“Unaogopa nini hasa?”
Akasema...
“Naogopa kuambiwa nina ugonjwa mkubwa... na pia naogopa gharama”
Nikacheka kidogo... sio kwa kubeza
Ila kwa sababu hii ni hali ninayoiona KILA SIKU
Ngoja nikuulize wewe unayesoma hapa...
Ukiwa unaona dalili hizi:
• Maumivu ya mara kwa mara yasiyoeleweka
• Mwili kuchoka bila sababu
• Mabadiliko ya kawaida kwenye mfumo wa uzazi
• Kukosa hamu ya tendo au mabadiliko ya hisia
• Hedhi kubadilika ghafla au kuchelewa
Alafu...
Unaamua kukaa kimya 😶
Unadhani unajilinda au unajiharibia?
Kuwa mkweli tu...
Ngoja nikupe mfano rahisi sana
Moto mdogo ukiwashwa ndani ya nyumba...
Unaweza kuuzima kwa maji kidogo tu 💧
Lakini ukiacha uendelee...
Unageuka kuwa janga la moto 🔥 ambalo hata maji hayatoshi kuuzima
Afya yako iko hivyo hivyo
Tatizo dogo leo...
👉 Linaweza kutibika kwa urahisi sana
👉 Gharama ndogo
👉 Muda mfupi
Lakini ukichelewa...
👉 Linageuka kuwa sugu
👉 Matibabu yanakuwa magumu
👉 Gharama zinaongezeka mara mbili au tatu
Na ukweli mchungu ni huu...
Wagonjwa wengi wanaokuja wakiwa wamechelewa huwa wanasema kitu kimoja tu:
“Laiti ningechukua hatua mapema...” 💔
Sasa rudi kwa yule mgonjwa niliyekuambia mwanzo...
Baada ya mazungumzo mafupi sana
Nilimwambia kitu kimoja tu:
“Hofu haitakiwi kukuongoza... afya yako ndiyo kipaumbele”
Alichukua uamuzi siku hiyo hiyo
Akaanza uchunguzi mapema
Na unajua nini kilitokea?
Tatizo lake halikuwa kubwa k**a alivyokuwa anahofia...
Na alitibiwa mapema bila mateso yoyote makubwa
Sasa jiulize wewe...
Unasubiri nini mpaka uchukue hatua?
Usingoje dalili ziwe kali
Usingoje maumivu yawe makubwa
Usingoje hali iwe mbaya zaidi
Kwa sababu...
Mwili wako huwa unakuonya kabla haujakusaliti
Ukipuuza sauti hiyo...
Kesho inaweza kuwa tofauti kabisa
Ukweli ni huu 👇
Watu wengi hawaugulii kwa sababu hawana suluhisho...
Wanaugua kwa sababu wanachelewa kufanya maamuzi
Chukua hatua leo
Usiogope kujua ukweli
Kwa sababu kujua mapema...
👉 Ni kujiokoa
👉 Ni kupunguza gharama
👉 Ni kulinda maisha yako
Kumbuka...
Afya yako sio sehemu ya kubahatisha
Ni sehemu ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi

0797914519

⚠️ USISUBIRI DALILI ZIWE MBAYA ZAIDI ⚠️Dalili ndogo unazopuuzia leo…ndizo zinageuka kuwa matatizo makubwa kesho.Gesi → V...
05/04/2026

⚠️ USISUBIRI DALILI ZIWE MBAYA ZAIDI ⚠️
Dalili ndogo unazopuuzia leo…
ndizo zinageuka kuwa matatizo makubwa kesho.
Gesi → Vidonda vya tumbo
Maumivu ya kawaida → Tatizo sugu
Hedhi isiyo sawa → Changamoto za uzazi
Ukavu ukeni / hamu kushuka → Kuvuruga mahusiano
Maumivu ya mifupa → Kuathiri maisha yako ya kila siku
👉 Huu ndio ukweli ambao wengi huuchelewesha kuuelewa.

Tumekuandalia PROGRAM ya matibabu inayomaliza kabisa tatizo bila kubahatisha
Tunabaini chanzo cha tatizo na kukupa suluhisho la kudumu la tatizo lako

Wengi wanaokuja sasa wanajuta wakisema:
“Laiti ningechukua hatua mapema…”
Usisubiri kusema maneno hayo.

⚠️OFFA maalumu Kwa wagonjwa 20 wa MWANZO,wahi sasa uwe miongoni mwao
⚠️ Nafasi ni chache, wagonjwa ni wengi
👉 Huduma zetu zinapatikana kwa urahisi kupitia uchunguzi na ushauri wa kitaalamu kulingana na tatizo lako.
👉 Tunashughulikia chanzo halisi cha tatizo, sio dalili tu.

📲 Wasiliana nasi moja kwa moja sasa,tuma neno PROGRAM kupitia WhatsApp:
0797914519
🕒 Huduma ni ya haraka – unapata majibu na mwongozo papo hapo.
Ukichelewa… gharama inaweza kuwa kubwa zaidi.

⚠️ Tibu tatizo leo… kabla halijageuka tatizo sugu la maisha kesho, AFYA YAKO MTAJI WAKO

⚠️ USISUBIRI DALILI ZIWE MBAYA ZAIDI ⚠️Dalili ndogo unazopuuzia leo..,...................ndizo zinageuka kuwa matatizo m...
03/04/2026

⚠️ USISUBIRI DALILI ZIWE MBAYA ZAIDI ⚠️
Dalili ndogo unazopuuzia leo..,...................
ndizo zinageuka kuwa matatizo makubwa kesho.
Gesi → Vidonda vya tumbo
Maumivu ya kawaida → Tatizo sugu
Hedhi isiyo sawa → Changamoto za uzazi
Ukavu ukeni / hamu kushuka → Kuvuruga mahusiano
Maumivu ya mifupa → Kuathiri maisha yako ya kila siku
👉 Huu ndio ukweli ambao wengi huuchelewesha kuuelewa.
Wengi wanaokuja sasa wanajuta:
maswali
“Laiti ningechukua hatua mapema…”
Usisubiri kusema maneno hayo.

⚠️ Wagonjwa 20 wa mwanzo wanapewa kipaumbele
⚠️ Nafasi ni chache, wagonjwa ni wengi
📲 Wahi sasa:
Ili kupata huduma zetu, usahihi na kuuliza karibu WhatsApp tukuhudumie
0797914510
Ukichelewa… gharama inaweza kuwa kubwa zaidi.

UMECHOKA NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA MARA KWA MARA? 😔Je…❌ Umehangaika na matatizo ya afya kwa muda mrefu?❌ Umetumia dawa n...
25/03/2026

UMECHOKA NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA MARA KWA MARA? 😔
Je…
❌ Umehangaika na matatizo ya afya kwa muda mrefu?
❌ Umetumia dawa nyingi bila mafanikio?
❌ Unapata nafuu kidogo kisha tatizo linarudi tena?
⚠️ USIPUUZE HII!
Magonjwa k**a:
🔴 Matatizo ya uzazi
🔴 Presha
🔴 Kisukari
🔴 Vidonda vya tumbo
🔴 Gesi tumboni
🔴 Maumivu ya mifupa
🔴 Tatizo la nguvu za kiume
🔴 UTI sugu
🔴 Uvimbe na mengineyo…
➡️ Haya yote yanaweza kuwa na CHANZO kimoja ambacho bado hujakigundua!
💡 Habari njema ni hii:
Tumewasaidia zaidi ya watu 500+ waliokuwa na changamoto k**a hizi…
Na leo wanaendelea vizuri baada ya kufuata mfumo sahihi wa uchunguzi na matibabu.
📌 Siri iko hapa:
✔️ Kujua chanzo halisi cha tatizo
✔️ Kupata vipimo sahihi
✔️ Kutibiwa kulingana na majibu ya vipimo, si kubahatisha
🚨 USICHELEWE!
Afya yako ni muhimu kuliko unavyofikiria.
📲 Bonyeza hapa / Wasiliana nasi sasa upate maelezo zaidi:
0797914519

Na bonyeza link kujiunga na group la AFYA YAKO ili kupata tips mbalimbali zinazohusu afya
👇👇👇
https://chat.whatsapp.com/CHPenwPTiACL7l2CmFuYrE?mode=gi_t

Chukua hatua leo… badilisha maisha yako kesho! ✨

Ukipuuza hili… unaweza kuendelea kupunguza uzito bila kuona matokeo ya kweli.”Kuna sababu moja ambayo watu wengi hawaiju...
24/03/2026

Ukipuuza hili… unaweza kuendelea kupunguza uzito bila kuona matokeo ya kweli.”
Kuna sababu moja ambayo watu wengi hawaijui —
na sio kula sana wala kukosa mazoezi.
Wapo wanaojinyima, wanapunguza milo, wanafanya mazoezi…
lakini bado mwili hausikii k**a wanavyotarajia.
Ukweli ni kwamba, kuna kitu kidogo sana kinaweza kuwa kinazuia mabadiliko yote —
na bila kukielewa, unaweza kuendelea kujitahidi bure.
👉 K**a umechoka kujaribu bila mafanikio,
kuna maelezo muhimu ambayo naweza kukushirikisha binafsi.
📩 Nitumie ujumbe “MABADILIKO” inbox/WhatsApp 0797914519
nikuonyeshe hatua sahihi ya kuanza.
Usikae ukisubiri mabadiliko… anza kuyasababisha.

Ni BURE hutalipia chochote

13/03/2026
Pata OFA ya vipimo vya mwili mzima yaani(full body check up) kwa gharama ya shilingi 30000 TU kisha upate:-1.majibu ya k...
12/03/2026

Pata OFA ya vipimo vya mwili mzima yaani(full body check up) kwa gharama ya shilingi 30000 TU kisha upate:-
1.majibu ya kina kutoka kwa daktari bingwa
2.ushauri wa kina kutoka kwa daktari bingwa
3.matibabu ya uhakika kutokana na changamoto itakayoonekana
4.daktari mwangalizi mpaka utakapopona.
TUNATIBU MAGONJWA K**A
*kisukari
*Pressure
*Madonda ya tumbo sugu
*Bawasiri
*Tezi dume bila upasuaji
*Mshipa wa ngiri bila upasuaji
*Changamoto za figo
*Matatizo ya moyo
*Matatizo ya masikio
*Matatizo ya mifupa
*Miguu kuwaka moto/kuvimba
*Mwili kufa ganzi
*Kupooza/kiharusi
*Pumu
*Afya ya macho
*Meno
*Changamoto sugu za uzazi
*Vimbe aina zote
*Matatizo ya ini
*Changamoto za bandama
*Matatizo ya fahamu (kifafa)
*Sickle cell(seli mundu)
*NA MAGONJWA MENGINE MENGI. OFA HII NI KWA SIKU CHACHE

Njoo WhatsApp Kwa maelezo zaidi 0797914519

OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA NI ELFU 30,000 TU. Kwa kutambua umuhimu wa afya yako, tunakuletea ofa maalumu ya vipimo vy...
09/03/2026

OFA YA VIPIMO VYA MWILI MZIMA NI ELFU 30,000 TU.

Kwa kutambua umuhimu wa afya yako, tunakuletea ofa maalumu ya vipimo vya mwili mzima ambapo kipimo kitaonyesha:
1. Chanzo cha tatizo
2. Ukubwa wa tatizo
3. Suluhisho la kuondoa tatizo lako.

Tuna wataalamu waliobobea kwenye upimaji na matibabu. Tunashughulika na magonjwa yote sugu yasiyo ambukiza k**a vile kisukari, tezi dume, magonjwa ya moyo, pressure ya damu, bawasiri, allergy, pumu, matatizo ya uzazi kwa wanaume na wanawake ambao wamekuwa wakishindwa kabisa kupata mtoto na mengineyo

Karibu sana upate huduma zetu, mawasiliano piga simu au tufate WhatsApp Kwa namba 0797914519

Usikubali ofa hii ikupite, vipimo vyote ni elfu 30 tu kwa mwili mzima. Karibu sana

👉 Unatumia dawa bila majibu ya uhakika?👉 Tatizo linajirudia mara kwa mara?Tatizo SI dawa, tatizo ni kutokujua chanzo ❌📌 ...
07/03/2026

👉 Unatumia dawa bila majibu ya uhakika?
👉 Tatizo linajirudia mara kwa mara?
Tatizo SI dawa, tatizo ni kutokujua chanzo ❌
📌 Pata vipimo vya mwili mzima
💰 Shilingi 30,000 tu
✔ Uzazi
✔ Presha
✔ Sukari
✔ Vidonda vya tumbo
✔ Moyo
✔ Uvimbe
✔ Tezi (Thyroid)
✔ Mifupa & Viungo
📩 Inbox sasa / Wasiliana nasi ; 0797914519
Afya yako ni kipaumbele 💙

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI MTAJI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share