Paul martin Mlawa

Paul martin Mlawa Thanks SirGod JEHOVA

10/16/2025
03/25/2024

Mnyama anasifa sana huyu😏😏😏

10/15/2023
09/30/2023

Tanapa ni vile tu hawajui kinachoimbwa hapa😆😆😆

Zaidi ya watu 250 wenye maumivu ya kiuno, mgongo na magoti wamepona kabisa.!Je nawe ni miongoni mwa watu ambao wanasumbu...
08/30/2023

Zaidi ya watu 250 wenye maumivu ya kiuno, mgongo na magoti wamepona kabisa.!

Je nawe ni miongoni mwa watu ambao wanasumbuliwa na matatizo yafuatayo?

✓Maumivu kwenye magoti
✓Maumivu kwenye mgongo
✓Kusikia ganzi kwenye mapaja na miguuni
✓kusikia milio ya mifupa kwenye magoti
✓Magoti kushindwa kujikunja
✓Kushindwa kunyanyua mikono au kusikia maumivu makali kwenye bega
✓Kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi

Kwa mda mrefu nimeweza kuwasadia watu mbali mbali wenye matatizo k**a hayo niliyoyaorodhesha hapo juu hivyo basi nawe ondoa hofu kabisa ya kupona tatizo hilo. Ili kuweza kupata tiba kwa gharama za kawaida kabisa usisite kunitafuta kwa namba 0684669352

Mtu awaye yeyote Asiudharau ujana wako,Neno hili halikumaanisha atakayekudharau amefanya makosa kwasababu Bible imekataz...
08/18/2023

Mtu awaye yeyote Asiudharau ujana wako,
Neno hili halikumaanisha atakayekudharau amefanya makosa kwasababu Bible imekataza, bali lilimaanisha Wewe kijana usifanye matendo katika jamii uliyopo yatakayopelekea watu wakudharau, UVUTAJI, UKAHABA, USHOGA, ULEVI, WIZI, UTAPELI n.k

Waliosema Yanga hatuendi mbali hapa ni wapi😁😁😁
07/19/2023

Waliosema Yanga hatuendi mbali hapa ni wapi😁😁😁

Ukikutana na waliofanikiwa wote (from Zero to Hero) watakwambia walipunguza kiherehere cha kujitoa sana kwenye kila shid...
07/12/2023

Ukikutana na waliofanikiwa wote (from Zero to Hero) watakwambia walipunguza kiherehere cha kujitoa sana kwenye kila shida za watu✍️✍️✍️

Ebrania 4:9
06/17/2023

Ebrania 4:9

05/02/2023

HONGERA YANGA: Azam Media tunawapongeza kwa kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yake.

Kampuni ya kimataifa ya vifaa vya kielectronic ijulikanayo kwa jina la HAIER ambayo awali iliweka udhamini wa shilingi B...
05/02/2023

Kampuni ya kimataifa ya vifaa vya kielectronic ijulikanayo kwa jina la HAIER ambayo awali iliweka udhamini wa shilingi Bil 1.5 kwa Yanga sc kwenye michuano ya kimataifa imetangaza rasmi kuongeza fedha za udhamini na kufikisha Bil 5.5.

Ongezeko hili limekuja mala baada ya Yanga sc kuonyesha muendelezo mzuri katika michuano hii ya CAF ambapo Yanga sasa imefikia hatua ya Nusu fainali ya michuano hii.

Ili kuweza kupata update mbalimbali za kimichezo like page yangu kisha gusa alama ya kengele👆👆

Address

New City, NY

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paul martin Mlawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram