05/09/2025
JE, ULIKUWA UNAJUA?
Mwani ni mmea ulio sheheni madini kwa kiwango kikubwa k**a vile Magnesium na Calcium. Madini haya huimarisha afya ya mifupa, neva, macho na utendaji mzuri wa akili.
FAIDA NYINGINE ZA MWANI NI K**A IFUATAVYO:
1. Huzuia uvimbe wa tezi shingo
2. Hutupatia madini mbalimbali k**a vile madini joto, madini chuma, calcium, magnesium, copper, zinc na aina mbalimbali za vitamini k**a vile vitamini A, B-12, C, D, E na K.
3. Hutupatia mafuta mazuri ya aina ya omega-3, ambayo ni mazuri kwa afya na utendaji wa moyo, ini na ubongo.
4 Hupunguza kiasi cha mafuta mabaya mwilini,
5. Husaidia kupunguza unene na kupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo, kiharusi, kisukari, mafua yatokanayo na mzio pamoja na saratani.
6. Mbogamboga zinazotokana na mazao ya baharini zina kiasi kikubwa cha viinilishe aina ya lignans ambavyo husaidia kudhibiti homoni za oestrogen zinazoweza kuchochea kutokea kwa tatizo la saratani ya matiti. Utumiaji wa mboga hizi kwa wingi, kunaweza kuwa ndicho kigezo cha kuwa na kiwango cha chini cha tatizo la saratani ya matiti.
7. Mazao ya baharini pia huimarisha afya ya mifupa, neva, macho na utendaji mzuri wa akili.
8. Pia chakula hiki hufyonza tindikali za tumboni na kupunguza kiungulia.
9. Mwani, hulainisha kinyesi na kufanya mtu ajisaidie vizuri bila kutumia nguvu nyingi za kusukuma au bila kupata maumivu wakati wa haja kubwa.
10.Tafiti kadhaa pia zinaonyesha kuwa chakula hiki huimarisha afya ya ngozi laini inayofunika sehemu ya ndani ya njia ya mfumo wa chakula na kuongeza idadi ya bakteria rafiki wanaoishi tumboni ambao wanaosaidia mtu kuwa na afya njema.
BEI ZA SEAMOSS POWDER:
Seamoss powder 250gm - 30,000/=
Seamoss powder 500gm - 45,000/=
Seamoss powder 1kg - 80,000/=
BEI ZA SEAMOSS GEL:
Seamoss gel 250gm - 10,000/=
Seamoss gel 500gm - 20,000/=
Seamoss gel 1ltr - 30,000/=
TUNAPATIKANA ARUSHA, MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KWA GARAMA ZA MTEJA
MAWASILIANO YETU NI 0716-786-871
KARIBU TUKUHUDUMIE