Manyandahealthy

Manyandahealthy ManyandaHealty ni Mtandao wenye mjumuiko wa taarifa na makala mbalimbali zinazohusu Afya ya binadamu na Mazingira yake. www.manyandahealthy.co.tz

MANYANDAHEALTHY
ManyandaHealty ni Mtandao wenye mjumuiko wa taarifa na makala mbalimbali zinazohusu Afya ya binadamu na Mazingira yake. Ambazo lengo lake ni kuhakikisha jamii ya kitanzania inafaidika na kupata habari na elimu juu ya maswala ya afya. lengo ni kuleta mwamko wa kufahamu umuhimu wa kuwa na afya bora kwa njia ya mawasiliano ya Mtandao, elimu,ushauri na mengineyo yahusuyo afya. MANYANDAHEALTHY
Manyandahealthy.co.tz ni Blog itakuwa ikijadili magonjwa na maradhi mbalimbali kwa kuangazia sababu zinazosababisha magonjwa hayo, dalili zake na hata matibabu na kinga za baadhi ya maradhi bila kusahau namna ya kupambana na maradhi hayo ili kuziimarisha afya zetu. Katika Makala za Blog hii pia nitajitahidi kuwajulisha wasomaji wangu matokeo na tija za chunguzi na tafiti mbalimbali zinazohusiana na masuala ya afya na tiba hasa zile ambazo ni mpya au zimefanywa hivi karibuni. Vile vile makala afya katika blog hii hazitoacha kuwajulisha wasomaji wangu umuhimu wa vyakula mbalimbali kwa afya ya mwanaadamu. Pia pale itakapowezekana tutakuwa tukiwasiliana mimi na wewe ukiuliza swali lako nami nitalifanyia kazi na pia kwa kuwashirikisha wataalamu zaidi wa tiba na madaktari mbalimbali ili kujibu maswali yenu mbalalimbali na masuala tofauti yanayohusu afya. Ni matumaini yangu kuwa mtajumuika nasi na kufaidika na makala zangu katika blog yako ya www.manyandahealthy.co.tz

Lengo likiwa ni kutuwezesha kuziimarisha afya zetu na kujikinga na maradhi mbalimbali sambamba na mazingira yake. Tafadhalini msikose kuungana nami kila unapopata muda wa kuingia mtandaoni ili kufaidika na habari na makala mbalimbali zaidi kuhusu afya yako. www.manyandahealthy.co.tz

Afya Bora, Taifa Imara

HALI YA KUSAHAU KUMEZA HUJITOKEZA HASA KWA WANAWAKE WANAOFANYA KAZI NYINGI ZINAZOCHOSHA AKILI IKIWAMO WAFANYAKAZI SOMA Z...
22/06/2019

HALI YA KUSAHAU KUMEZA HUJITOKEZA HASA KWA WANAWAKE WANAOFANYA KAZI NYINGI ZINAZOCHOSHA AKILI IKIWAMO WAFANYAKAZI

SOMA ZAIDI HAPA NAMNA YA KUFANYA

uzazi wa mpnago, uzazi,

KWA NINI MAJI? JE, YANA UMUHIMU GANI KATIKA MWILI. Umuhimu huo ni miongoni mwa mambo yaliyotiliwa mkazo na madaktari wa ...
22/09/2018

KWA NINI MAJI? JE, YANA UMUHIMU GANI KATIKA MWILI.

Umuhimu huo ni miongoni mwa mambo yaliyotiliwa mkazo na madaktari wa binadamu wakati walipokutana na wagonjwa mbalimbali wenye magonjwa sugu.

Mtaalamu wa Magonjwa ya Moyo, wanaelelezea umuhimu wa maji ya kunywa ili kuepuka magonjwa ya moyo.

“Moyo hauwezi kufanya kazi bila maji ambayo ni asilimia 70 ya mwili wa binadamu. Kwa hiyo, unywaji wa maji ni muhimu kwa utendaji wa mwili na hasa zaidi kwa mishipa ya moyo,”

“NINI KINATOKEA K**A MTU HATAKUNYWA MAJI?

Kwanza, mishipa midogo ya damu katika mwili itafunga. Hii itasababisha upinzani katika mzunguko wa damu na kusababisha kuongezeka kwa shinikizo la damu. Ukosefu wa maji huongeza hatari kwa moyo.”

“Kutumia glasi tano za maji au zaidi kwa siku kwa kiasi kikubwa hupunguza mashambulizi ya moyo kwa kiasi kikubwa, ikilinganishwa na kunywa chini ya glasi mbili za maji kwa siku.”

Zipo faida nyingi za matumizi ya maji iwapo yatatumika kwa kiwango kinachotosheleza. Maji hufanya damu kuwa nyepesi k**a inavyotakiwa kuwa, hurahisisha mzunguko wa damu kwenda kwenye moyo, hufanya moyo kutumia nguvu kidogo kusukuma damu na hata kupunguza hatari ya damu kuganda.

Wataalamu wanashauri matumizi ya kubadili tabia k**a sehemu ya kukabiliana na maradhi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kufuata ushauri wa kitaalamu.

manyandahealthy@gmail.com

HII NDIO MAANA YA CHANJO YA DHIDI YA MAGONJWABOFYA HAPA
29/04/2018

HII NDIO MAANA YA CHANJO YA DHIDI YA MAGONJWA

BOFYA HAPA

chanjo

UJUE UGONJWA WA MALARIA KWA MAMA MJAMZITOSOMA HAPA
29/04/2018

UJUE UGONJWA WA MALARIA KWA MAMA MJAMZITO

SOMA HAPA

UGONJWA WA MALARIA KWA MAMA MJAMZITO

MCHUNGUZE ANAEKUHUDUMIA CHAKULA.BOFYA HAPA
29/04/2018

MCHUNGUZE ANAEKUHUDUMIA CHAKULA.

BOFYA HAPA

Mchunguze anayekuhudumia chakula

25/04/2018

Leo ni siku ya malaria duniani ugonjwa unaoua Mtoto kila baada ya dakika 2

✔Fanikisha :
- Kulala kwenye chandarua chenye dawa kila siku
- Kupuliza dawa za kuua mbu ndani ya nyumba
- Kutafuta tiba hospitali mara tuonapo dalili za malaria.

Mimi Natokomeza Malaria, Wewe Je?

KWA NINI MAJI? JE, YANA UMUHIMU GANI KATIKA MWILI. SOMA ZAIDI HAPA
14/04/2018

KWA NINI MAJI? JE, YANA UMUHIMU GANI KATIKA MWILI.

SOMA ZAIDI HAPA

Umuhimu wa Maji ni muhimu mwilini.

NUSU YA WATU WANAOTUMIA KONDOMU KWA AJILI YA KUJIKINGA NA MIMBA AMA MAGONJWA YA ZINAA, HAWAJUI NAMNA YA KUITUMIA MIPIRA ...
11/04/2018

NUSU YA WATU WANAOTUMIA KONDOMU KWA AJILI YA KUJIKINGA NA MIMBA AMA MAGONJWA YA ZINAA, HAWAJUI NAMNA YA KUITUMIA MIPIRA HIYO.

BOFYA HAPA>>>>>>>

Jifunze jinsi ya kutumia kondom za kiume na za k**e kiufasaha

Address

Usa River

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manyandahealthy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Manyandahealthy:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram