05/12/2025
UTABIRI WA NYOTA LEO JUMAMOSI
0749700783
MAPACHA
Mambo kuhusu ndugu,watu wako wa karibu yatakufanya uwe na hofu lakini pia leo unaweza kua mtu mwenye wasiwasi
KAA
Kufanikisha,kuweka sawa mambo kuhusu mtu ulie zaa nae, kiongozi,mambo ya nyumbani unatakiwa kufanya mageuzi lakini pia leo unaweza kusafiri,kupokea mgeni,ujumbe kwa ajiri ya kuweka sawa mambo yako
SIMBA
Leo fuatilia,shughulikia mambo yako utafanikiwa
MASHUKE
Kufanikisha, kuweka sawa mambo yako unatakiwa kumshilikisha rafiki,mpenzi au watu utakao fanya nao mkutano
MIZANI
Mambo kuhusu mapatano,Mapenzi au nia yako ya kufanikisha jambo yanaweza kua na shida,upinzani au kukosana
NG'E
Kufanikisha,kuweka sawa mambo yako unatakiwa kuanza tena au kuboresha mambo ambayo ulisha anzisha
MSHALE
Mageuzi utakayo fanya yatakupa pesa,kazi lakini pia safari,mgeni au ujumbe utakao pokea utaimalisha shughuli zako za kiuchumi
MBUZI
Kufanikisha, kuweka sawa mambo yako unatakiwa kuwashilikisha watu wako wa karibu
NDOO
Mambo kuhusu mpenzi,rafiki au watu utakao fanya nao mkutano ili ufanikishe au kuweka sawa mambo hayo unatakiwa kuwashilikisha watu wa nyumbani, kiongozi au mtu ulie zaa nae
SAMAKI
Kufanikisha au kuweka sawa mambo yako fuatilia au shughulikia mambo hayo
PUNDA
Mambo unayo anzisha au mambo ambayo ulisha anzisha yatakufanya uwe na wasiwasi lakini pia leo unaweza kupata changamoto kwenye mambo yako
NG'OMBE
Kufanikisha,kuweka sawa shughuli zako za kiuchumi na mambo kuhusu pesa na kazi unatakiwa kuweka nia,kufanya mapatano lakini pia unatakiwa kuweka sawa mambo kuhusu mapenzi
0749700783